Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Sasa hao watoto waliopenyezwa penyezwa wanaweza kupewa kazi kwenye field lets say kwenda kuingia ndani ya Idara za Serikali ya Rwanda, Uganda etc.

Lakini mwisho wa siku whether ni desk officer ama Field kinachotakiwa ni Loyalty kwa nchi yako, familia,marafiki.

2.Stay squeaky clean. The CIA requires security clearances for all positions, and you’ll need to be able to pass a very thorough background check to get this clearance. It’s not made public exactly what the background checks look for, but as a general rule you should be a model citizen starting quite young. Don’t get involved with criminal activities; be responsible, ethical and dependable at work; maintain good credit; avoid gambling; be trustworthy; and be faithful to your spouse and to the United States of America. You don’t need to be perfect, but the CIA places very high importance on personal integrity, sound judgment, and loyalty to your country. Your parents and friends must also be as squeaky clean as possible.

Ulisema turudi nyumbani, naona umeturudisha kwa Wanyamwezi.

Tanzania hakuna standards za kupata kazi, si Usalama si Utarishi.
 
Ulisema turudi nyumbani, naona umeturudisha kwa Wanyamwezi.

Tanzania hakuna standards za kupata kazi, si Usalama si Utarishi.

Standards zipo sema ndio hivyo zinapindishwa na wachache kwa maslahi binafsi kama ulivyosema mwenyewe watoto wa Wakulu kuliko wamepenyezwa penyezwa....kwa mtaji huo unategemea hao vijana watakuwa na uchungu na taifa?

Bottom line, LOYALTY kwa nchi ni muhimu..sasa kama baba/mjomba/kaka hana hiyo loyalty unategemea wewe unayepigiwa filimbi kuingia uko utakuwa nayo?
 
PM ni nani, na anajuaje?

Mimi nina marafiki watoto wa "Wakubwa Kuliko" ndani ya Usalama, ambao inawezekana walipenyezwa penyezwa tu.

My point is, standard za recruitment ziko shaghala bagala.

Halafu nadhani tutakuwa extremely speculative tukisema tunajua job descriptions za kila ngazi za maofisa wa usalama. Wao wenyewe ndani kwa ndani wengine hawatakiwi kujua kazi ya mwenzako ni nini kwa sababu kuna walinzi wanaochunga walinzi!

...kaka kuhani hatushindani hapa nani anajua zaidi...what we do is sharing information....naweka inputs zangu ninazo jua ,wewe unaweka,icadon anaweka...fm anaweka..then tunapata BODY!!!

HATA MSINGI WA HAWA UPO HIVI...YOU MUST GATHER INFORMATION...AND DO NOT IGNORE ANY!!

SASA UNAPOULIZA MIMI NI NANI .... I AM JUST LIKE YOU!!!...NAJUA NINACHOJUA....HATA DIRECTOR WA CIA ...HAWEZI KUJUA KILA KITU...YUPO PALE KUPATA TAARIFA...NA RAIA WA KAWAIDA ANAWEZA KUJUA ZAIDI YAKE AT SOME ANGLES!!!

moja ya matatizo mengine ya watu wetu wa intelligence siku hizi ..NI KUJIFANYA MUCH KNOW.....na ukikaa unagundua hawajui hata mambo ya kawaida kabisa yanayoendelea ...tuna tatizo la kutosoma au kutofanya utafiti....

..kama mtu anakuwa field au desk ..what ever lazima kuna mahali anaazia...kama anaazia kwenye mtiririko mzuri hata perfomance yake inakuwa tofauti na aliyebebwa...LAKINI PIA TUTAMBUE KUNA AMBAO WANAINGIZWA WAKIWA WAKUBWA ...AIDHA KUTOKANA NA KUFIKIA CHEO FULANI SERIKALINI AU POPOTE KINACHOMPA FURSA YA KUUJUA SIRI FULANI...INALAZIMU AWE RECRUITED....AU ANAWEZA KUWA NA FANI FULANI VERY RARE AMBAYO INAMPA TAARIFA MUHIMU...LAZIMA AWE RECRUITED...pia sometimes at some scenerio KWA MANTIIKI HII HURECRUIT HATA RAIA WA NCHI NYINGINE NA KUWAWEKA KWENYE PAYROLL...ie wafanyakazi wa taasisi nyeti wa kwetu au nchi yeyote wanaweza kuwa recruited kwa siri na mashirika mengine ya ujasusi....
 
Kama kawaida maneno mengi msaada hakuna, mkuu Gembe tuwasiliane mimi ninaweza kuku-hook up na wanaohusika, ninaamini kuwa uko srious na ujumbe wako kwenye PM nimeupata, nitakuwekea namba yangu ya simu tuwasiliane, usalama ni kazi tu kama zingine za taifa, tuache kuikuza sana, mkuu Gembe tuwasiliane, ninataka kuamini kuwa you are serious, kwa sababu I am alyways huwa sina utani hapa kwenye uwanja wa Taifa wa JF.

Ahsante Mkuu tunataka wananchi kama wewe!

Mkuu FMES,

Mie Nataka Rais Aniteue ili nishike Nafasi ya Ukurugenzi,Simtaki Mkurugenzi aliyeyoko sasa sababu hatupi majibu ambayo tunyataka.

Mzee Mwanakijiji ana Wazo,Wazo tunaliandaa ili liwasilishwe Bungeni katika kikao hiki cha Bajeti.Ni wazo lililo na Msingi.

Ndiyo nataka Kazi usalama wa Taifa,na Nimeshajiandaa vilivyo,nikiwa Tayari Mkuu nitakupa Particulars Zangu uzipeleke ili nipate sehemu ya kusemea,ila nataka Nafasi ya Ukurugenzi wa Usalama wa Mali za umma kama siyo DG.kama ukinihaidi kunipa nafasi hizo nazozitaka Mkuu Fanya Haraka
 
Mkuu naomba kusema hivi, maisha yangu yote nimekua nikiwaona na kushirkiana sana na wafanyakazi wengi wa serikali, binafsi sijawahi kufanya kazi serikalini, lakini watu wengi niliosoma nao na kukua nao wengi wako kila kona ya sekta ya serikali, usalama ikiwemo pia mimi sioni the big deal ya usalama kila ukitajwa hapa JF as if hao ni alliens, wakati ni wananchi kama sisi na usalama ni kazi tu kama zingine za taifa letu,

Ofisi ya usalama naijua ilipo, sasa sielewi kwa nini inakuwa ishu hapa kwa Gembe kusema kuwa anataka kazi huko? Mbona mtoto wenye ugonjwa alipoletwa hapa niliwapigia simu wanaohusika huko serikalini na msaada ukatolewa mbona hakuna aliyesema kitu, sasa what is a big deal na hili?

Tuache huu ujinga na ushamba ndani yake, usalama kazi yao ni kulinda taifa letu na sisi ndio hasa wananchi wenyewe na tuko hapa kwa kulisaidia taifa letu na hasa wao watu wa usalama, sasa what is the buzz?

Nijuavyo mimi ni kuwa kwenye system yoyote ile duniani huwezi kwenda kuomba hiyo kazi, ila ni wao huwa wanakufuata na hasa toka ukiwa shuleni, lakini kuna exceptionals ambapo unaweza kuomba ukiwa mtu mzima na wakakupa, sasa sioni what is the big deal hapa na hii ishu mpaka maneno mengi yasiyokuwa na msingi ni nini hasa the ishu?

MKuu nadhani bado haujaelewa ni nini namaanisha ..Ukiangali kwa undani siyo kwamba nataka kazi ya Usalama wa Taifa ila nataka Mkurugenzi TISS afanye yale ambayo nimeyasema..

YES Nitaitaka kama wakitaka niwasasidie kusema yale wasiyoyapenda
 
Ma instructors wao wa wapi, chuo cha ujasusi?

Unafikaje chuo cha Ujasusi; nani anaku hand-pick kwenda chuo cha ujasusi?

wana mchuo wao mkuuuubwa uko mbweni na wana mjengo wao mwingine kunduchi, na kama alivyosema Icadon na ile nyumba kabla ya kiwanja cha basketball pale gymkhana. wakitoka kule wanaenda kupigwa msasa wa foreign affairs kwenye chuo kingine kurasini.manake wengine hutumika kwenye balozi zetu nje.

saivi hmna handpicking ila kuna kuletwa mkono kwa mkono na mkubwa!!anayetaa kuzijua ofisi, ni zile opposite protea na st.peters njia ya kwenda oysterbay.kulia kwako ukitoka kwenye traffic lights. tehe tehe
 
na wana dummy ofices kibao,nje waweza ona so and so cmpany, au moshe dayan and jonathan netanyahu advocates,etc. pamba house pale zipo si chini ya tatu, kwa hiyo waweza kwenda pale ukilizia vizuri wanaweza kukuonesha
 
Mie sina ya shida ya kuwafahamu coz nachofahamu<kila anayefanya kazi huko ni idiot and am not ila i can change them

Asante Mzee Mwenzage FMES kwa kunielewa..
 
"Man is conceived in sin and born in corruption and he passeth from the stink of the didie to the stench of the shroud. -- Willie Stark in All the King's Men"
 
Gembe, Kwa sheria na katiba iliyopo sasa hivi ata ukipewa hiyo kazi sidhani kama kuna mengi yatatekelezwa.
 
Natafuta kazi Usalama wa Taifa,hata leo naomba mnipe tena naomba mnipe mapema
Nahitaji kazi ambayo nitaifanya kwa malipo madogo ila kwa ajili ya wanajamii
Nataka kuwasaidia kuwajua kwa undani wale waliochukua Pesa za EPA ili wajulikane
Nataka niajiliwe ili nionane na Rais na nimwambie yaliyo moyoni mwa watanzania

Nataka kazi usalama ili na mie nichukue pesa za EPA na niwagawie watanzania Masikini
Nataka tu sababu najua nikiwaomba pesa kwa njia ya kawaida hawatanipa.
Nafuta kazi ili niwape watanzania habari wanazotaka kujua
Niko tayari kufanya nao kazi kwa masharti ya uwazi na ukweli

Nataka Rais Ajue kwamba watu wanafanya ufisadi wa khali ya juu kwasababu ni rafikize
Nataka nimwambie Rais jinsi wachache wanavyowadharau walio wengi
Nataka nimwambie Rais ni watu wangapi mpaka sasa ni mafisadi wakubwa
Nataka kazi usalama ili nimjue vizuri rais wetu na tabia yake ya maamuzi

Nataka kazi usalama ili nifanye uchunguzi kuhusu BOT,
Nataka nimjue mmiliki wa Kagoda alipewa shilingi ngapi ?
Nataka niwajue waliorudisha Pesa za EPA mpaka sasa
Nataka kazi Usalama ili niwaambie watanzania ukweli ni wapi alipo Balali

Nataka kazi Usalama wa taifa ili nitoe majibu kuhusu Chenge
Natafuta kazi usalama ili niwaambie jinsi Dili ya RDC ilivyosukwa
Natafuta kazi ili nijue je Rais anawachukuliaje walihsuika na Richmond
Nataka kujua ni kwanini serikali hawatoi majibu ya Ripoti ya Richmons na EPA

Natafuta kazi siyo kwa ajili ya kumlinda Kada wa CCM wala kiongozi
Natafuta kazi ili kulisnda heshima ya nchi yetu
Natafuta kazi ili nchi hii iwathamini wafanyakazi na wakulima
Niko tayari kwa mshahara mdogo ila niwe huru kuwaambia wananchi
 
niliomba kazi usalama kipindi kile ili nimsaidie kazi rais wetu.

narudia tena naomba tena kazi hiyo ili nimwambie Mkulu kuna watu wanataka kumng'oa sababu wanamharibia

Back
Top Bottom