Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
156
Nataka kuwa nifuate Nyayo za John Githongo..
In January 2003 he was appointed to the position of Permanent Secretary for Governance and Ethics by the incoming president Kibaki, who had been elected on an anti-corruption platform. He resigned from his position on February 7 2005 without comment, though it was reported that he felt the government lacked commitment to ending corruption and that he had received death threats. As a result of his resignation international aid to Kenya was cut. He remains a powerful advocate against corruption.

On 22 January 2006, Githongo named Vice-President Moody Awori as one of four top politicians (with Kiraitu Murungi, former justice minister and present energy minister; finance minister David Mwiraria and former transport minister Chris Murungaru) as being involved in scams worth $600m – known as the Anglo Leasing scandal. He also claimed that President Kibaki was complicit in the affair. The scandal centred around the award of a huge contract given to Anglo-Leasing – a company that did not exist.

Githongo claimed that the money raised would have funded the government's forthcoming election campaign. These allegations were denied by Awori and Murungaru and an investigation was promised
 
Kazi hamna.

Ila UMESHAJIFUKUZISHA KAZI KWA MANUFAA YA UMMA (mafisadi)
Mkuu natafuta kazi kwa nguvu,nataka RAis aniteue ili nichukue nafasi ya Ukrugenzi.

Mheshimiwa Rais Naomba japo kwa Miezi Miwili tu
 
Usalama wa Taifa ilikua zamani, sasa hivi vimejaa vitoto vya mafisadi ambavyo vikilewa tu vinajigamba vinafanya kazi kule.Undugulization on its prime.Yaani ile kitu waiscrap yote isukwe upya from scratch.

Sasa hivi kule juu wamejaa watu hawana taaluma.agency za wenzetu huwa wanaajiri the best people kuongoza taasisi kama hizi.just like kipindi cha nyerere, the best ndo walikua wanashika top notch.

Kwahiyo hata kama una nia nzuri ya kujiunga nao, think again, watakuua, wamejaa watu wanaolindiana maslahi na ndo maana wakiacha kazi kule wanakua wabunge wa CCM, hivi ni nani yule alimwangusha arcado ntagazwa?
 
Mmmmh Aisee kwa style hiyo watakutowesha duniani haraka sana!

Ila nimependa attitude hiyo.
 
Wee Gembe wewe!! Wee Gembe we haya tu! Unataka kuvuta sigara kule pa kuwashia!!!
 
Gembe umenichekesha sana,
Leo hii umeshasahau yale yaliyomkuta kijana wa shule kule Ukerewe alipoumuuliza EL swali la kiongozi mmoja kuhodhi madaraka mengi?

Aisee Nenda tu ofisi hizo kuu za serikali jitambulishe,Wapo pia misikitini,makanisani,mashirika ya umma na hata katika vyuo vingi utawapata ilimradi tu ukubali kufa kutetea maslahi yao.

Nakutakia kila la heri
 
Unless unataka kutumia rhetoric kupeleka ujumbe, wanaotaka kazi usalama wa taifa hawaandiki kwenye forum wazi kama hii na wanaoandika kwenye forum wazi kama hii hawataki kazi usalama wa taifa.
 
unless Unataka Kutumia Rhetoric Kupeleka Ujumbe, Wanaotaka Kazi Usalama Wa Taifa Hawaandiki Kwenye Forum Wazi Kama Hii Na Wanaoandika Kwenye Forum Wazi Kama Hii Hawataki Kazi Usalama Wa Taifa.

Kwa Hiyo Sisi Tukiomba Tutumie Anuani Ipi?
 
Kama unasema hujui njia sahihi ya kuomba kazi usalama wa Taifa, utajuaje ambayo sio sahihi?
 
Gembe ukiingia huko Usalama wa taifa utashanga sana kufahamu kuwa Usalama wa taifa wanajua zaidi kuliko tunayojua. Lakini utashangaa zaidi utakapoona wanalinda usalama wa hao wanaojua kuwa ndio wezi.Nakushauri ni afadhari uje hapa tusaidieane kuendesha cafe yangu. Hapa uchungu ni kusikia tu, n\hakuna uchungu wa kulinda wahalifu na kuadhibu wasio wahalifu.
 
Kama unasema hujui njia sahihi ya kuomba kazi usalama wa Taifa, utajuaje ambayo sio sahihi?

Kwa sababu si lazima kujua njia sahihi ili ujue njia isiyo sahihi.

Naweza kuwa sijui kupika pilau, lakini najua hupiki pilau kwa kutumia unga wa mahindi.
 
kuhani,
it used to be, "u dont choose them, they choose u" but its different now, its like, "choose us and bring a good memo"
 
Kwa sababu si lazima kujua njia sahihi ili ujue njia isiyo sahihi. Naweza kuwa sijui kupika pilau, lakini najua hupiki pilau kwa kutumia unga wa mahindi.

Nilikuwa nakusubiri ujibu hivyo.

Elewa tofauti kati ya kujua kupika pilau na kujua nini kinatumika kupika pilau. Kama hujui -tena awali ulisema "huna clue" - ni nini kinatumika kupika pilau, basi huwezi kusema unajua nini hakitumiki. Na kama hujui pilau inavyopikwa -tena "huna clue"- basi huwezi kujua haipikwi vipi. Mantiki inakataa.

Mfano wako umesaidia kuonyesha kwamba ulijichanganya. Uliposema "huna clue" kazi za usalama wa Taifa zinapatikana vipi, basi usinishauri chochote kuhusu jinsi ya kupata kazi usalama wa Taifa. Umesema "huna clue," hivyo usinipotoshe. Mwache Gembe aanjie kukamata usawa huko sehemu sehemu, akafanye mambo.
 
unless Unataka Kutumia Rhetoric Kupeleka Ujumbe, Wanaotaka Kazi Usalama Wa Taifa Hawaandiki Kwenye Forum Wazi Kama Hii Na Wanaoandika Kwenye Forum Wazi Kama Hii Hawataki Kazi Usalama Wa Taifa.

Kwa Hiyo Sisi Tukiomba Tutumie Njia Ipi?
 
Nilikuwa nakusubiri ujibu hivyo.

Elewa tofauti kati ya kujua kupika pilau na kujua nini kinatumika kupika pilau. Kama hujui -tena awali ulisema "huna clue" - ni nini kinatumika kupika pilau, basi huwezi kusema unajua nini hakitumiki. Na kama hujui pilau inavyopikwa -tena "huna clue"- basi huwezi kujua haipikwi vipi. Mantiki inakataa.

Mfano wako umesaidia kuonyesha kwamba ulijichanganya. Uliposema "huna clue" kazi za usalama wa Taifa zinapatikana vipi, basi usinishauri chochote kuhusu jinsi ya kupata kazi usalama wa Taifa. Umesema "huna clue," hivyo usinipotoshe. Mwache Gembe aanjie kukamata usawa huko sehemu sehemu, akafanye mambo.

Kuhani,

Swali nililosema "sina clue" ni hili

Kwa Hiyo Sisi Tukiomba Tutumie Anuani Ipi?

Ama unapotosha au hujajua tofauti ya kujibu "sina clue" kwa swali la anuani na "sina clue" ya jinsi ya ku apply.

Nisichokijua hata chembe ni anuani ya kutuma maombi usalama wa taifa, hiyo haimaanishi kuwa sijui hata chembe namna ya kutuma maombi ya kazi usalama wa taifa.

Big difference.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom