Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

Katakuwa katoto cha chuo hako kanaishi kwa boom la serikali.
We unaeandika utumbo huu ni mkulima au umejiskia tuu uandike!!?
Unajua shida tunayoipata sisi mipaka ikifungwa mbeha wewe!!?

Alafu nmekumind kishenzi yaan.
 
Wakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko.

Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua hainingii akilini kununua debe la Mahindi 20,000 wakati mengine yanapelekwa Kenya huko..

Hii Ni Vita ya kiuchumi na Kenya wameshaona Kuna uwezekano wakageuka koloni la Tanzania.. Punguzeni Uoga Vijana, maendeleo hayaji bila changamoto.. Sengwile Makamanda!
Nina mashaka na uwezo wa uwelewa wako juu ya muingiliano wa kiuchumi na majirani [Economic Integration]. Na Kama ulienda shule bhas ulipoteza muda na neno lako la mwisho sengwire makamanda limenifanya nikuelewe zaidi. Jua kuwa kila jambo so lakulikimbilia na kuropoka tu, mengine yanahitaji weredi. Upo kamanda?
 
Katakuwa katoto cha chuo hako kanaishi kwa boom la serikali.
Hapana yule chuo kwa aliyoongea hajafika na ukimpendelea sana form four tena failure. Anachoamini kwamba nchi inaweza ikajitosheleza kwa kilakitu au kujiendesha yenyewe na ikapiga hatua kimaendeleo.
 
Hilo bomba la hoima liko wapi? Mmeuza mafuta mapipa mangapi mpaka sasa? Maana tuliambiwa linakamilika 2020.
Unadhani hilo bomba ni kama la Dawasa tu yaani ni kuamka asubuhi unaazima chepe na sururu kwa mzee mwalubadu unachimba,unachimbua,unafukia...ee!
 
Unadhani hilo bomba ni kama la Dawasa tu yaani ni kuamka asubuhi unaazima chepe na sururu kwa mzee mwalubadu unachimba,unachimbua,unafukia...ee!

Ulikuwa wapi 2017 wakati tunaambiwa litakamilika 2020?
 
Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya.

Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya.

Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo soko. Sisi sijui Wataalamu wa mahusiano wanaona Nini huko ofisini Hadi kila siku waibue migogoro na Kenya.

Sasa hivi wenzetu wanaona ni vyema waagize chakula kutoka Brazil na Mataifa mengine ya mbali kuliko kutegemea Tanzania, matamko yamekuwa mengi na yasiyo na tija kwa ustawi wa wakulima wetu.

Na hii imepelekea hata uhusiano wetu na nchi nyingine za Afrika Mashariki uwe na mashaka.... protocol ya free movement of goods and services imebaki kuwa kwenye makaratasi tu. Tubadilike, tukitaka kukua kiuchumi tuwekeze kwenye mahusiano na waliotutangulia kiuchumi, tujifunze kwa china na Marekani.
TATIZO NI MEKO.
 
1. Acheni kulia lia ovyo ovyo.
2. Dhana ya uchumi wa viwanda bado haijaingia kichwani.
3. Value addition ni muhimu sana
4. Soko siyo lazima liwe kenya. Acha kukariri
 
Back
Top Bottom