Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

Huu ulikua ukatili mkubwa sana kuvichoma moto vifaranga vikiwa hai...hili jambo Jiwe litamtafuna japo ni wanyama lakini aliwafanyia ukatili.

Sio ukatili tu, Bali inaonyesha jiwe ana asili ya uchawi, unyama na gubu
 
Kwa hiyo wewe unataka wakenya wafanye wanachotaka wao siyo?? Subiri tunapiga stop bidhaa zao zote kuja TZ tuone nani ataumia zaidi.

Unaweza kuwa sababu kwa nini umasikini hauishi TZ kwa fikra zako

Maaana hapo ulipo kama si unategemea hela unayolipwa na TISS au CCM na basi unajiona umefika mwenyewe
 
Wakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko, Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua hainingii akilini kununua debe la Mahindi 20,000 wakati mengine yanapelekwa Kenya huko.. hii Ni Vita ya kiuchumi na Kenya wameshaona Kuna uwezekano wakageuka koloni la Tanzania.. Punguzeni Uoga Vijana, maendeleo hayaji bila changamoto.. Sengwile Makamanda!!
We jamaa mjinga kweli kweli, au baba ako hawalijui hata jembe, Pembejeo zinaongezeka bei kila mwaka mfano ni Mbolea ya kupandia DAP serikali imepeleka bei elekezi ya juu kuliko iliyokua inauzwa na makampuni kutoka tsh58000 hadi tsh63000, gharama za kulima zinakua kubwa afu serikali ya kijinga isiyojali wakulima wake inaua soko wwe unafurahia
 
Mkataba ulisainiwa 2017 ukiwa bado uko shule ya msingi, ama hukumbuki uzinduzi wa mradi kule Chongoleani Tanga, hadi Makonda na Marehemu Ruge wakapatanishwa na Magufuli? Ama unadhani tumesahau? Bado hujapanick, utapanick vizuri we kima.
Hujui kitu huo mkataba wa 2017 ulikuwa mkataba wa serikali ya Uganda na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kupitishia bomba nchini TZ wala siyo Mkataba wa Mwekezaji na Serikali ya Uganda. Mkataba wa Mwekezaji ambaye ni Total na Serikali ya Uganda umesainiwa mwishoni mwaka 2020 na baada ya hapo Rais Kaguta akaja Chato kwa JPM kumjulisha kusainiwa kwa mkataba huo. Unajifanya unajua kumbe ni UTOPOLO tupu. Inaonekana shuleni ulienda kusomea ujinga.
 
We jamaa mjinga kweli kweli, au baba ako hawalijui hata jembe, Pembejeo zinaongezeka bei kila mwaka mfano ni Mbolea ya kupandia DAP serikali imepeleka bei elekezi ya juu kuliko iliyokua inauzwa na makampuni kutoka tsh58000 hadi tsh63000, gharama za kulima zinakua kubwa afu serikali ya kijinga isiyojali wakulima wake inaua soko wwe unafurahia
Hama nchi uende Kenya very simple!
 
Sumu kuvu ipo kwenye mahindi yetu au haipo?
sababu ukisoma kuhusu kuvu ni kwamba inaweza kuzalishwa ama muda wa kuoteshwa, kuvuna, kuyachakata/kupuchua, utunzaji au yanaposafirishwa.

njia gani tutumie kuthibiti sumu kuvu, kwa sababu kama ina madhara itatuua au kutuathiri pia watanzania.
ndio maana booster kila kona

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kilimanjaro kuna kilimo cha tangawizi na vitunguu, mazao ambayo yana soko Kenya..kwa muda sasa soko la hayo mazao limeyumba kweli..kiwanda chenyewe cha tangawizi huko Miamba kina taralila sio za kitoto. Dahhh!!
Tatizo wizara yetu ya Biashara pamoja na Wizara ya Kilimo hawana ubunifu zaidi ya kuitisha makongamano na kutoa ahadi chungu mzima - Serikali ya Kenya pamoja na raia wake ni watu tofauti na hapa kwetu, Wakenya ni wabunifu na uchangamukia fulsa - sisi kiswahili mirefu kama barabara na kulalama tu.

Ntatoa mifano michache ya kuonyesha jinsi wafanya biashara wa Kenya walivyo tuzidi kete, wanatumia produce zetu kunufahisha Taifa lao, hapa mnasema wanavyo nunua tangawizi na vitunguu kwa wingi kutoka Tanzania mnacho sahau ni kwamba Wakenya u-repack bidhaa za Kilimo za Tanzania na kuziuza huko Ulaya na Middle East kwa fahida kubwa, wala sijui kama Wizara zetu hilo wanalijua.

Miaka ya nyuma Kenya ilikuwa na kawaida ya kununua mahindi kwa wingi kutoka Tanzania wakijifanya ni kwa ajili ya matumizi ya wananchi wake dhidi ya baa la njaa - kumbe sababu hizo zilikuwa ni za kutunga tu, Wakenya walichokuwa wanafanya ni kusaga mahindi nakupata unga wanaweka kwenye magunia na kuwauzia UNHCR kwa bei kubwa, Tanzania wala hilo hawakuwahi kulishtukia, mwaka jana au juzi ndio niliona waziri mbunifu Mh. Bashe kama alilishtukia hilo baada ya Serikali ya Kenya kusema inataka kununua mahindi kwa wingi kutoka Tanzania, Mzalendo Bashe aliwakatalia akasema mnunue unga uliyo sagwa Tanzania badala ya mahindi, Wakenya wakaja na gea mpya kwamba wanafunzi wengi waKenya upendelea zaidi kula makande kuliko ugali, hivyo ni vema tukinunua mahindi! Bahati nzuri Bashe alisha wasoma janja ya Wakenya akawakatalia kidiplomasia akawambia nunueni unga kutoka Tanzania sio mahindi ambayo Wakenya wangesaga repack na kuuzia shirika la Umoja wa mataifa linalo husika na makambi ya wakimbizi. Angekuwa ni Waziri mwingine ambaye si mbunifu ange wambia Wakenya waje na malori kusomba mahindi bila kizuizi!
 
Wakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko, Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua hainingii akilini kununua debe la Mahindi 20,000 wakati mengine yanapelekwa Kenya huko.. hii Ni Vita ya kiuchumi na Kenya wameshaona Kuna uwezekano wakageuka koloni la Tanzania.. Punguzeni Uoga Vijana, maendeleo hayaji bila changamoto.. Sengwile Makamanda!!
Lakini unazunhumziaje kuhusu hiyo sumu ya kwenye mahindi? Au kwa sababu sisi ndio wenyewe tufe tu. Huoni kama wakenya wametufumbua macho? Kuanzia leo sili dona tena!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Sasa umekuwa mwongo.

Kilimo gani wanachokimbizana na ulaya?

Chai?, ulaya hawalimi chai. Makampuni makubwa yanayolima chai ni ya walowezi waingereza.

Maua? Mkenya gani analima maua kama sio kampuni za ulaya.

Mahindi? Mkulima wa mahindi Uasini Gishu, Kitale na sehemu zote za Rift Valley sasa hivi wanatelekeza mahhindi kwa sababu ardhi imechoka ile mbaya, pamoja na kupewa ruzuku ya mboleakila mwaka!

Sasa tueleze wewe unayedanganya hapa bila aibu, hao wakenya wanalima kitu gani kutuzidi.

Ngoja nikusaidie sehemu moja, ambayo ni uzembe wetu tu, lakini na yenyewe tukiweka juhudi kidogo muda si muda tunawatupilia mbali - Maziwa - uzalishaji wa maziwa..., lakini na wenyewe sasa Uganda anawaliza, halafu wewe unakuja kusifia hapa na kuwalinganisha na ulaya?
Tafuta data za horticulture na top ten producers and exporters wa avocado, macadamia, sugar snaps, green peas, mangetouts, french beans etc haya ni mazao hot soko la ulaya.
Tea, coffee, cotton, mahindi nk ni mazao yasiyo na tija tulishaachana nayo wewe upo dunia ya wapi?
Unaposema wanaolima ni wazungu kumbe bado upo dunia ya kuangalia skin color
 
Hujui kitu huo mkataba wa 2017 ulikuwa mkataba wa serikali ya Uganda na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kupitishia bomba nchini TZ wala siyo Mkataba wa Mwekezaji na Serikali ya Uganda. Mkataba wa Mwekezaji ambaye ni Total na Serikali ya Uganda umesainiwa mwishoni mwaka 2020 na baada ya hapo Rais Kaguta akaja Chato kwa JPM kumjulisha kusainiwa kwa mkataba huo. Unajifanya unajua kumbe ni UTOPOLO tupu. Inaonekana shuleni ulienda kusomea ujinga.

Endelea kupiga Siasa mfu hapa jukwaani, siku inafanyika uzinduzi huko Chongoleani Tanga wazungu wa Total walikuwepo, na tuliambiwa kufikia 2020 mwishoni mradi utaanza kazi. Hapa unajichoresha tu maana hata uzi wa jambo hilo upo humu ndani. Nipe dakika chache nikutag huo uzi ndio uje kichwani umejaza haja Kubwa.
 
Ushabiki wa Simba Vs Ysnga na maneno mengi bila mipango/actions zenye tija, zinazoonekana,mwisho wa siku tutabakia siku zote kuwa wasindikizaji..
Kwa kusoma mstari huu tu, ninaweza kwa uhakika kabisa kusema kuwa "mipango/actions zenye tija" hapa hakuna kabisa.

Sasa sijui mipango hiyo itawezekana vipi kwa hali hii unayoionyesha hapa.

Na sio ajabu kabisa hata usielewe nilichokujibu!
 
Tafuta data za horticulture na top ten producers and exporters wa avocado, macadamia, sugar snaps, green peas, mangetouts, french beans etc haya ni mazao hot soko la ulaya.
Tea, coffee, cotton, mahindi nk ni mazao yasiyo na tija tulishaachana nayo wewe upo dunia ya wapi?
Unaposema wanaolima ni wazungu kumbe bado upo dunia ya kuangalia skin color
Afadhali kidogo hapaumekuwa 'specific', na tunaweza kuanza mjadala wenyewe.

"Horticulture", (French beans, n.k.) ndio ni kweli hii sehemu imeinukia na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa hilo, nadhani inaweza kuwa namba 3 hivi nyuma ya utalii na sekta nyingine; lakini huwezi kamwe kusema chai kwa Kenya ni zao la zamani. Ukiondoa chai uchumi unaporomoka.

Tunarudi hapo hapo, ni wazungu/wawekezaji wa nje zaidi wanaojihusisha na sehemu kubwa ya haya.

Sio swala la "kuangalia 'skin color'"; hata kama wawekezaji hao wangekuwa weusi toka nje ya nchi na kubeba faida kubwa na kuipeleka kwao na kuwaacha wananchi wa hapo wakishikilia masalia, bado ningesema hivyo.

Swala hapa ni nani mnufaika mkubwa.

Hapo unaposema "Tea, coffee, cotton, mahindi, n.k.) ni mazao yasiyo na tija", unaelewa maana ya hili neno "TIJA"?

Hiyo "horticulture" kwani ni kitu gani hadi kiwe na 'tija' kuliko mazao hayo unayoyadharau?

Mwisho: hata kwa hiyo 'horticulture' unayoipapatikia, Kenya haina uwezo wa kuzizidi nchi nyingine katika uzalishaji wake. Kwanza sehemu ya mazao hayo huyakusanya toka nje ya Kenya na kuyafunganisha kama yanatokea Kenya. Sasa Kenya wanapata taabu sana walaji wa mazao hayo wanaposisitiza vyanzo vyake vijulikane.

Na hapa ni swala la muda tu, miaka miwili mitatu Kenya hawana tena tambo juu ya hiyo 'horticulture', kwa sababu nchi nyingine zenye hali bora zaidi watakuwa wazalishaji wakubwa zaidi.
 
Wakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko.

Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua hainingii akilini kununua debe la Mahindi 20,000 wakati mengine yanapelekwa Kenya huko..

Hii Ni Vita ya kiuchumi na Kenya wameshaona Kuna uwezekano wakageuka koloni la Tanzania.. Punguzeni Uoga Vijana, maendeleo hayaji bila changamoto.. Sengwile Makamanda!
Brother unaongea as if uko peponi, laiti Kama ungekuwa duniani ungewahurumia kidogo wakulima brother.
 
Endelea kupiga Siasa mfu hapa jukwaani, siku inafanyika uzinduzi huko Chongoleani Tanga wazungu wa Total walikuwepo, na tuliambiwa kufikia 2020 mwishoni mradi utaanza kazi. Hapa unajichoresha tu maana hata uzi wa jambo hilo upo humu ndani. Nipe dakika chache nikutag huo uzi ndio uje kichwani umejaza haja Kubwa.
Itakuwa akili zako zinaupungufu fulani boma la km zaidi 2000 limalizike chini ya miaka 3? Kwani total kuwepo ndiyo mkataba ulkkuwa wao?
 
Itakuwa akili zako zinaupungufu fulani boma la km zaidi 2000 limalizike chini ya miaka 3? Kwani total kuwepo ndiyo mkataba ulkkuwa wao?

Kuna uzi nimekutag, pitia huko ukaone kiwango cha ujinga wako na serikali ya wapika data na majizi ya kura.
 
Back
Top Bottom