Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
- Thread starter
- #181
Kaka,Mimi sihitaji mwanaumeMwanamke akishajiita Ana Maria, happy upendo ,marry Diana na sio jina la baba yake kimbia uvunjike ,kataa ndoa 3:17 soma mpaka mstari wa 21.
Kaka,Mimi sihitaji mwanaumeMwanamke akishajiita Ana Maria, happy upendo ,marry Diana na sio jina la baba yake kimbia uvunjike ,kataa ndoa 3:17 soma mpaka mstari wa 21.
unakidhije haja zako za kimwili sasa?Tangu niachike mwaka Jana sijawahi na sitaki mwanaume
Umenufaika na nini hasa maana ushauri wa humu kwa sasa kejeli ni nyingi sio enzi zetu zile 2009Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Acha tabia mbaya weweHapa ulikuwa ukisachi dalili za mimba, Ukimwi au U.T.I 😂
Haya bisha nimekaa pale
sina kero wala, niko poa sana.Sasa kero yako nini
Kwani ni lazima?unakidhije haja zako za kimwili sasa?
Mpaka muda huu najuta, nilichotegemea siyo kabisa,watu sijui wapojeUmenufaika na nini hasa maana ushauri wa humu kwa sasa kejeli ni nyingi sio enzi zetu zile 2009
Siwezi kukutania Marry kwa sababu hatujawahi kuwa na utani me na wewe before. 😊Hahaaa weweee acha utani
Mmmh akuSiwezi kukutania Marry kwa sababu hatujawahi kuwa na utani me na wewe before. 😊
Nimeangalia picha yako nikiwa kwenye utulivu wa kimwili na kihisia,, itoshe kusema You look absolutely ravishing! 🤗
Halafu uzuri wewe wa kienyeji kabisa 😊
Kuachika ni njia ya kukutanisha na mwanaume sahihi wa maisha yako. Hivyo fungua mlango wako kwa mara nyingine tena. Huwezi kushindana na nature. Lazima uwe na mwanaume wa kukusisimua mwili.Tangu niachike mwaka Jana sijawahi na sitaki mwanaume
Umesema tukuulize, tunauliza na wewe unauliza?Kwani ni lazima?
sina kero wala, niko poa sana.
Sawa nimekuelewa ila siyo kwasasaKuachika ni njia ya kukutanisha na mwanaume sahihi wa maisha yako. Hivyo fungua mlango wako kwa mara nyingine tena. Huwezi kushindana na nature. Lazima uwe na mwanaume wa kukusisimua mwili.
😂😂😂😂Hapa ulikuwa ukisachi dalili za mimba, Ukimwi au U.T.I 😂
Haya bisha nimekaa pale
Tunapiga tu stories bible japo mwanamke kuwindwa hiyo kawaida tu ni kuonyesha jinsi gani una mvutoKaka,Mimi sihitaji mwanaume
😂😂😂😂😂Mambo ya humu we yasikie tu. Nina mabinti 7 (nimeoza 6 bado mmoja) na kuna wakati huwa napata uchungu na haya mambo. Binti asipojitambua yaani anageuzwa lab na mabaharia kama Rosa wa kwenye Rosa Mistika. Sipendi!
Ahaaa sikujua, karibu chai kakaTunapiga tu stories bible japo mwanamke kuwindwa hiyo kawaida tu ni kuonyesha jinsi gani una mvuto
Naelewa wasiwasi wako , pengine unawaza nitakuwa lizee according na avatar niliyoiweka 😂,, unaonaje tukahamia pm bibie ili tuwe huru zaidi kufahamiana kiundani zaidi. 😊Mmmh aku