FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
- Thread starter
- #121
#COVID19 - Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa
Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19. Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13...
www.jamiiforums.com