#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

 
Haya, dose ya nne hiyo, itakuja ya tano, ya sita na kuendelea, hadi lini?!
1F69E839-3874-4784-A438-BF5DCA2A07E8.jpeg
 
Djokovic : Niko tayari kukosa ‘French open’ na ‘Wimbledon’ kuliko kuchoma chanjo ya Corona mwilini mwangu.

25D6928A-D6CC-46D1-BD4D-88CCAB4A8B6D.jpeg
 
Back
Top Bottom