#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

Unaweza kutwambia kwanza wewe ni nini madhara ya bia au KVANT mtakayopata baada ya miaka elfu ijayo ?

Au madhara ya unga wa mashineni mnaopikia ugali baada ya miaka 50 ijayo, maana yale meno ya kusagia huwa yanaisha ?

Unataka definition ?

Huu muda unaoutumia kutafuta video za kijinga jinga na articles za kijinga mtandaoni unashindwa nini kutafuta maana ya chanjo ni nini ?

Kirusi kinanadilika kama kikiachwa active ndani ya HOST. Ndio maana leo unaweza kumeza dawa za ALU zikamaliza maralia ila ikitokea ukaanza kuharibu dose, wale plasmodium wa Malaria wanatengeneza drug resistance kiasi kwamba huwezo kuwaua tena kwa ALU.

Muhimu ni kudhibiti mapema ili kuepusha virusi visijiimarishe zaidi maana huwezi jua itakuwaje huko mbele.

Kwa kawaida virus havijawahi kutibika. The only solution ya rahisi ni chanjo.

Kama ikitokea zaidi ya 96% ya watu wamechanja, hakuna sababu ya kuvaa barakoa. Otherwise tahadhari ni muhimu.

The same applies kwa watu wa UKIMWI, mwathirika wa UKIMWI akianza kumeza ARV virusi vinakuwa dormant kabisa na viral load yake inakuwa vizuri tu. Ila akianza kuvuruga tena akakutana na virusi kutoka kwa mtu mwingine inakuwa ni hatari zaidi kwake.

Hii nayo ni HOJA ???

Anyway, internet ni JALALA unaweza kuchagua chochote unachoona kinakufurahisha
1.) Kvant ni pombe ambayo active ingridient yake haina tofauti na pombe zingine zozote zile (ni OH based molecule),. Kwa chanjo active ingridients hutofautiana kutoka chanjo moja hadi nyingine, ambapo kirusi (pathogen husika) ndio huyo huyo hutumika, huwezi kutumia attenuated virus wa polio kuchanja Corona, au kama ni ya MRNA huwezi ukatumia DNA ya kirusi cha surua kukituma kikazalishwe ili kuzuia Corona, ni vitu viwili tofauti. Sasa kwakuwa pombe (-OH based) imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka tangu enzi za Yesu, madhara yake kwa kipindi kifupi na cha muda mrefu kiafya yanafahamika, most notable ni kuzeeka haraka, kuharibika kwa ini (Liver failure), kuharibika kwa figo (Kidney failure) among many other side effects. Ila sasa hili swali lako linajibu vipi hoja namba 1? Tunaomba hiyo hoja ijibiwe.

2.) Hoja namba 2 iko wazi, tunataka kujua chanjo ili iitwe chanjo inatakiwa i-meet criteria zipi? Na hii inayoitwa chanjo, ina-meet hivyo vigezo?
Tunaomba hiyo hoja pia ijibiwe.

3.) Hilo namba 3 sijakataa na wala haikuwa ndio inquiry hiyo, inquiry ilikuwa ni kwamba tunahitaji kujua, hii iliyoletwa ni kwa ajili ya variant ipi? Na je, kikibadilika na kikaja cha lamda au delta variant, tutalazimika kuchanja tena, na tena, na tena, hadi lini? Tunaomba hiyo hoja ijibiwe pia.

4.) Hiyo namba 4 kusema 96% tukichoma ndio tuache kuvaa barakoa, ndio tukahoji, je, tukichoma tunaacha kuambukiza wengine? Tuna kuwa hatuwezi kuambukizwa, tunakuwa hatuwezi kuugua tukiambukizwa, tunakuwa hatufi tukiambukizwa? Hizo hoja tunahitaji zijibiwe pia. Zikijibiwa hizo ndio tutapata usahihi au upotofu wa hicho ulichosema juu ya 96%.

5.) Nk. Nk ni kifupisho cha neno ‘Na kadhalika’, ambapo nimetoa nafasi kwa wachangiaji kuongezew za kwao, zitafute walizoongezea na zijibiwe accordingly.

Nadhani kwa sasa hizi hoja zingejibiwa kwanza
 
Unapinga chanjo ya COVID-19 au unapinga chanjo zote ?

Mimi naona huu muda angalau ungeutumia kujifunza kuandika vizuri.

Maana naamini unajielewa zaidi mwenyewe.
 
Unapinga chanjo ya COVID-19 au unapinga chanjo zote ?

Mimi naona huu muda angalau ungeutumia kujifunza kuandika vizuri.

Maana naamini unajielewa zaidi mwenyewe.
Mimi sipingi chanjo, bali napinga waTz kufanyiwa majaribio. Either way, tunaomba hizo hoja zijibiwe kwanza, kinyume cha hapo, hii itaonekana ni nchi inayoongozwa na watu wa hovyo sana, seriously....,
kujibu hoja kwa vijembe ni kitu cha ajabu mno (mfano kukosoa spelling badala ya kujibu hoja), inasikitisha sana. Na hii tabia yabkujibu hoja kwa vijembe hata wakuu wa nchi na mawaziri na manaibu wao wanayo, inatia aibu kuongozwa na watu wa namna hiyo.

Tunaomba hizo hoja zijibiwe.
 
Hakuna hoja hapo. Hicho unachoita hoja ni upumbavu tu wa mtu aliyeshiba chimpumu.
 
Hakuna hoja hapo. Hicho unachoita hoja ni upumbavu tu wa mtu aliyeshiba chimpumu.
Upumbavu wa hizo hoja utadhirika kwa kujibiwa tu, onyesha upumbavu wa hizo hoja kwa kuzijibu.

Kwa sasa nadhani ni vyema hizo hoja zikajibiwa.
 
Nchi zilizochanja sana ndizo zenye maambukizi sana!!! Mmmhhh!!
🤔
🤔
🤔
🤔

Mwandishi wa makala haya katika geopolitic dot org anauliza maswali ya msingi sana:

Anasema:
"Ask yourself. What is the cause of this trend among the vaccinated? The SARS-2 Delta Variant or the Killer Vaccine?"
Na ukisoma makala unaona kuwa wanapiga marufuku kufanyia maiti autopsy. Kwa nini? Mnaficha nini? Mna mipango gani?

......
Ni mambo ya kujiuliza na kuchunguza badala ya kukimbilia kusema "mbona tulishachanjwa?" Kwani kuuliza jambo ni dhambi?

Source: Most Vaccinated Countries Have Most COVID Cases - geopolitic
 
SARS-COV-2
By GEOPOLITIC.ORGAUGUST 30, 20212:18 AM

MOST VACCINATED COUNTRIES HAVE MOST COVID CASES​

covid-vaccine-injuries-vaers-july-2-feature-800x417-1.jpg

Scotland Reveals True Vaccination Death Rate. Vaccinated Are More Infectious. Official Vaccine Lies

The causality remains to be fully ascertained. There is another important factor which must be investigated.
Vaccinated persons suffering from injuries will seek medical attention at a health clinic or at the hospital where he/she was vaccinated. These individuals will immediately be subjected to a medical diagnosis as well as to a routine RT-PCR test, which will contribute to pushing up the numbers, which are then categorized to the “vaccinated”.
It’s statistics 101. It pertains to “probabilities”. The probability of a vaccinated individual suffering from adverse effects (seeking medical attention) being subject to the PCR-test (in a clinic or a hospital) is much higher than that pertaining to a healthy unvaccinated individual.
Moreover, there is rising trend in vaccine deaths and injuries which the health authorities are anxious to obfuscate.
Ask yourself. What is the cause of this trend among the vaccinated? The SARS-2 Delta Variant or the Killer Vaccine?
The vaccinated person subjected to the flawed RT-PCR test is categorized as “positive” or is diagnosed as a “probable” Covid-19 positive. And the numbers of covid positive cases assigned to the “vaccinated” go fly high.
In turn, in the US, the “certifiers” are instructed to indicate Covid-19 as “the underlying cause of death” “more often than not”. And no autopsy is allowed.
The deaths and injuries resulting from the mRNA vaccine are now being assigned to the “deadly” SARS-2 Delta Variant.
.
Michel Chossudovsky, August 28, 2021

THE MOST VACCINATED COUNTRIES HAVE THE MOST CASES AND DEATHS PER MILLION POPULATION AND THE LEAST VACCINATED COUNTRIES HAVE THE FEWEST CASES AND DEATHS PER MILLION POPULATION.

Devastating Israel figures show 80-90% of cases are vaccinated and an Oxford University study shows the vaccinated could be super spreaders. This was all predicted by leading authorities in the field but on both sides of the Atlantic Government vaccine lies continue.
As Dr Janci Lindsay, MD Toxicology & Molecular Biology, Technology Support Services LLC asserts:
“It is the vaccinated not the unvaccinated spreading the mutant variants” (thus confirming Nobel Prize Winner Professor Luc Montagnier’s theory – RA) This is what has happened with numerous other “leaky” (non neutralising) vaccines. The classic example is Marek’s Disease in chickens. I warned the CDC (the USA Centre for Disease Control) of this in April this year. Other scientists warned the CDC as well“
I have compiled these tables below which set out the cases per million population and the deaths per million population of, firstly, the most vaccinated countries and secondly the least vaccinated countries. The final column in the first table is the date at which the country started vaccinations and after which the majority of all their cases and deaths occurred.Only in Saudi Arabia did the majority of cases occur before the vaccination start date but the cases did start to rise again after that.
I took the stats on the 12th August 2021. Average cases for the most vaccinated countries stood at 77,491 per million compared to only 19,672 in the least vaccinated. Average deaths in the most vaccinated countries were 1,647 per million compared to only 427 deaths in the least vaccinated.
To those who would counter that “naturally the worst affected countries would ensure the most vaccinations which is not the same as the vaccinations causing the cases” I would point to the majority of ALL their cases occurring AFTER they started vaccinating – the start date is in the third column.
Most Vaccinated Countries (More than 50%)

Least Vaccinated Countries (less than 23%)

After 8 months of frenetic vaccination activity there was a total for the EU/UK/USA of 34,052 Covid-19 injection related deaths and over 5.46 million injuries reported as at 1 August 2021. The above country figures are backed up by detailed evidence from Israel and the UK of vaccine induced deaths and/or the failure of vaccines to protect the vaccinated.
In the UK between 1st Feb 2021 and 2 Aug 2021 deaths within 28 days of positive specimen were 402 for the (double) vaccinated but only 253 for the unvaccinated. See this.

Vaccinated More Infectious
A groundbreaking preprint paper by the prestigious Oxford University Clinical Research Group, published Aug. 10 in The Lancet makes a complete mockery of the dangerous and ignorant corporations and governments who are seeking to punish the unvaccinated and promote the vaccinated. DELTA AIRLINES in the USA for instance is charging their unvaccinated employees a $200 a month “health insurance”.
But this study found vaccinated individuals carry 251 times the load of COVID-19 viruses in their nostrils compared to the unvaccinated. Vaccinated individuals therefore carry unusually high viral loads without becoming ill making them into presymptomatic superspreaders.
So DELTA should be charging the vaccinated – or indeed stopping them from coming to work as a danger to everyone else.
Israel’s Vaccine Disaster
Israel is one of the most highly vaccinated countries in the world and yet by far the greatest number of cases are in the vaccinated. If the vaccine had been effective of course the vast majority of the cases would be in the unvaccinated. But in the period 27th June to July 3rd 79% of the cases in the 20-29 age group were in vaccinated people ranging up to 100% in the 90+ age group.
 
Mleta mada ni mpumbavu Na mjinga. Tafakari ulichotuma na uone haki na mantiki. Tafuta kazi ufanye.
 
Back
Top Bottom