Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,947
- 1,797
Hasa wali wa jana Mkuu (kiporo)Kuna wali maharage mazee
Hasa wali wa jana Mkuu (kiporo)Kuna wali maharage mazee
Ulikuja lia humu nauli ya kwenda kumuona mmeo aliyekuzalisha na kukuacha. Leo umesahau na kuanza sema Ugali Dagaa ni shida ambazo hazipaswi ambukizwa kwa wengineShida zako usiwaambukize wengine!
Katika pitapita na ulizauliza zangu nimegundua hiki ni moja ya chakula kinachopendwa na wengi wa hadhi zote.
Mimi binafsi niko tayari kula ugali dagaa mwaka mzima bila kunikifu.
Sababu kuu ni unyumbulifu wa Dagaa wakati ugali unabaki vilevile bila kujali ni Dona, Sembe, Udaga au Mtama.
Dagaa ananyumbulika sana wakuu asikuambie mtu.
Mfano kuna
Ugali Dagaa wakukaanga wasio na mchuzi.
Ugali Dagaa wa Kukaanga amerostiwa
Ugali Dagaa wa kawaida walio na mchuzi.
Ugali Dagaa aliyetiwa nazi.
Ugali dagaa aliyetiwa karanga
Ugali Dagaa aliyechanganywa na mchicha au mboga nyingine ya majani.
Ugali Dagaa wabichi(Ambao hawajakauka) walioungwa
Ugali Dagaa Wabichi(Ambao hawajakauka) waliokaangwa bila mchuzi.
Ugali Dagaa Wabichi( Ambao hawajakauka) waliokaangwa na kuungwa na mchuzi
Ugali Dagaa wabichi (Ambao hawajakauka) Rost.
Ugali Dagaa wa Mayai.
Ugali Dagaa kachanganywa na Bamia
Wakuu hapa hazungumziwi Dagaa wa Baharini (Dagaa mchele/Uwono), Hapa anazungumziwa Dagaa kutoka katika ziwa safi na pendwa Victoria.
Ila Kuongezea na kutanua wigo zaidi
Ugali Dagaa Uwono wa Kuungwa
Ugali Dagaa Uwono wa kukaangwa bila mchuzi
Ugali Dagaa wa Kigoma
Ugali Dagaa wa Ziwa Nyasa
Napendekeza chakula hiki kifanywe chakula cha kitaifa, kama vazi la taifa mmeshindwa.
Naomba kuweka mezani hoja wajumbe yatari kwa kuungwa mkono au kupingwa kwa hoja.
Mukule kwa picha, hadi nimesikia njaa daah...
Ugali Dagaa...
View attachment 1279943
View attachment 1279944
View attachment 1279945
View attachment 1279947
View attachment 1279948
View attachment 1279950
View attachment 1279951
VS Wali Harage (kiisiiimmmi)....
View attachment 1279953
View attachment 1279954
View attachment 1279955
View attachment 1279956
View attachment 1279957
Aahahahhahaa Wali ndondo....
Kama wametoka droo vilee..... Kama vipi ipigwe kolabo tuu....
Pilipili isikosekane tafadhali.
Matata the K.
itakuwa tunajuana na Mimi wa hapo nduli stendiNduli
Hahahaaaaaa haya jiraniitakuwa tunajuana na Mimi wa hapo nduli stendi
Huu wali mbona mweupe sana?. Sio ule wa prastic huu kweli?Katika pitapita na ulizauliza zangu nimegundua hiki ni moja ya chakula kinachopendwa na wengi wa hadhi zote.
Mimi binafsi niko tayari kula ugali dagaa mwaka mzima bila kunikifu.
Sababu kuu ni unyumbulifu wa Dagaa wakati ugali unabaki vilevile bila kujali ni Dona, Sembe, Udaga au Mtama.
Dagaa ananyumbulika sana wakuu asikuambie mtu.
Mfano kuna
Ugali Dagaa wakukaanga wasio na mchuzi.
Ugali Dagaa wa Kukaanga amerostiwa
Ugali Dagaa wa kawaida walio na mchuzi.
Ugali Dagaa aliyetiwa nazi.
Ugali dagaa aliyetiwa karanga
Ugali Dagaa aliyechanganywa na mchicha au mboga nyingine ya majani.
Ugali Dagaa wabichi(Ambao hawajakauka) walioungwa
Ugali Dagaa Wabichi(Ambao hawajakauka) waliokaangwa bila mchuzi.
Ugali Dagaa Wabichi( Ambao hawajakauka) waliokaangwa na kuungwa na mchuzi
Ugali Dagaa wabichi (Ambao hawajakauka) Rost.
Ugali Dagaa wa Mayai.
Ugali Dagaa kachanganywa na Bamia
Wakuu hapa hazungumziwi Dagaa wa Baharini (Dagaa mchele/Uwono), Hapa anazungumziwa Dagaa kutoka katika ziwa safi na pendwa Victoria.
Ila Kuongezea na kutanua wigo zaidi
Ugali Dagaa Uwono wa Kuungwa
Ugali Dagaa Uwono wa kukaangwa bila mchuzi
Ugali Dagaa wa Kigoma
Ugali Dagaa wa Ziwa Nyasa
Napendekeza chakula hiki kifanywe chakula cha kitaifa, kama vazi la taifa mmeshindwa.
Naomba kuweka mezani hoja wajumbe yatari kwa kuungwa mkono au kupingwa kwa hoja.
Mukule kwa picha, hadi nimesikia njaa daah...
Ugali Dagaa...
View attachment 1279943
View attachment 1279944
View attachment 1279945
View attachment 1279947
View attachment 1279948
View attachment 1279950
View attachment 1279951
VS Wali Harage (kiisiiimmmi)....
View attachment 1279953
View attachment 1279954
View attachment 1279955
View attachment 1279956
View attachment 1279957
Aahahahhahaa Wali ndondo....
Kama wametoka droo vilee..... Kama vipi ipigwe kolabo tuu....
Pilipili isikosekane tafadhali.
Matata the K.
Nakumbuka mabomu ya mbagala.....!ndo chakula walichokuwa wanagaiwa wahanga...!Ugali maharage chakula cha taifa hata yakitokea majanga au njaa serikali inagawa mahindi na maharage kazi kwako kusaga unga
lazima uwe mbobevu wa kukata mitama kale kauziUgali kwa mlenda vipi wananzengo?
ugali chumvi mkuu unakuwa unatamani uwahi kushiba
lazima uwe mbobevu wa kukata mitama kale kauzi
Weee Mkara acha hizo!hii kitu mkuu mimi nilikuwa kama nimerogwa. nikiwa dogo siku ya wali ndondo nakuwa mtiifu sana na sichezi mbali. ila dagaa ugali vinatamba kwa sababu ktk hali zote unatumia.
Wali ndondo mkuu familia ikifulia utasikilizia kwa jirani harufu. ila wali ndondo pia hatari saana
Kumbe una ushamba hivyo!Shida zako usiwaambukize wengine!