Habari za Leo wapendwa!
Leo nawaletea biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na kuifurahia. BIASHARA YA DAGAA NYAMANONO yaan dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza.
Dagaa Hawa wakiwa wabichi, huoshwa vizuri na kuwekewa viungo Kama Chumvi, Swaum, tangawizi na limao. Baada ya hapo hukaangwa na huwa tayari kwa KULIWA! Unaweza kuuza popote kwani n biashara inayogusa kila mwananchi wa Hali yoyote.
Mimi nafanya biashara hii, karibuni sana. SADO 18000, NDOO KUBWA 78000 TU. NAPATIKANA MBEZI MWISHO DAR. KILA WEEK MZIGO MPYA UNAINGIA ISIPOKUWA MUDA AMBAO ZIWA HUFUNGWA!
NIPIGIE 0789222279. NJOO ULE DAGAA WATAMU KUTOKA KWA DADA MPAMBANAJI.
#0789222279