Napendekeza ugali dagaa kuwa chakula cha taifa

Katika pitapita na ulizauliza zangu nimegundua hiki ni moja ya chakula kinachopendwa na wengi wa hadhi zote.

Mimi binafsi niko tayari kula ugali dagaa mwaka mzima bila kunikifu.

Sababu kuu ni unyumbulifu wa Dagaa wakati ugali unabaki vilevile bila kujali ni Dona, Sembe, Udaga au Mtama.

Dagaa ananyumbulika sana wakuu asikuambie mtu.

Mfano kuna

Ugali Dagaa wakukaanga wasio na mchuzi.
Ugali Dagaa wa Kukaanga amerostiwa
Ugali Dagaa wa kawaida walio na mchuzi.
Ugali Dagaa aliyetiwa nazi.
Ugali dagaa aliyetiwa karanga
Ugali Dagaa aliyechanganywa na mchicha au mboga nyingine ya majani.
Ugali Dagaa wabichi(Ambao hawajakauka) walioungwa
Ugali Dagaa Wabichi(Ambao hawajakauka) waliokaangwa bila mchuzi.
Ugali Dagaa Wabichi( Ambao hawajakauka) waliokaangwa na kuungwa na mchuzi
Ugali Dagaa wabichi (Ambao hawajakauka) Rost.
Ugali Dagaa wa Mayai.
Ugali Dagaa kachanganywa na Bamia

Wakuu hapa hazungumziwi Dagaa wa Baharini (Dagaa mchele/Uwono), Hapa anazungumziwa Dagaa kutoka katika ziwa safi na pendwa Victoria.

Ila Kuongezea na kutanua wigo zaidi

Ugali Dagaa Uwono wa Kuungwa
Ugali Dagaa Uwono wa kukaangwa bila mchuzi
Ugali Dagaa wa Kigoma
Ugali Dagaa wa Ziwa Nyasa

Napendekeza chakula hiki kifanywe chakula cha kitaifa, kama vazi la taifa mmeshindwa.

Naomba kuweka mezani hoja wajumbe yatari kwa kuungwa mkono au kupingwa kwa hoja.

Mukule kwa picha, hadi nimesikia njaa daah...

Ugali Dagaa...

View attachment 1279943
View attachment 1279944

View attachment 1279945

View attachment 1279947

View attachment 1279948

View attachment 1279950

View attachment 1279951

VS Wali Harage (kiisiiimmmi)....

View attachment 1279953

View attachment 1279954

View attachment 1279955

View attachment 1279956

View attachment 1279957

Aahahahhahaa Wali ndondo....

Kama wametoka droo vilee..... Kama vipi ipigwe kolabo tuu....

Pilipili isikosekane tafadhali.

Matata the K.

NAOMBA KUUNGA MKONO HOJA KWA 100%
 
Huu wali mbona mweupe sana?. Sio ule wa prastic huu kweli?
 
hii kitu mkuu mimi nilikuwa kama nimerogwa. nikiwa dogo siku ya wali ndondo nakuwa mtiifu sana na sichezi mbali. ila dagaa ugali vinatamba kwa sababu ktk hali zote unatumia.

Wali ndondo mkuu familia ikifulia utasikilizia kwa jirani harufu. ila wali ndondo pia hatari saana
Weee Mkara acha hizo!
Hivi unajua mbuzi choma mwenye harufu ya kikwapa cha beberu?
Hii ndo iwe national menu.

Na maji ya dhahabu juu?
Dagaa bia havipandi
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom