Napendekeza ugali dagaa kuwa chakula cha taifa

aisee nayaona mapinduzi ya wali harage.

binafsi kwa hesima nilioupa wali harage, huwa ni marufuku kutumia kijiko hata kama kuna siku ntakuja kuwa trilionea mwenye hadi vijiko vya dhahabu mezani.

Ugali Dagaa kwangu hauvunji heshima kubwa ya muda wote nilioipa wali maharage.
 
Kwa kweli me kula kwa kijiko huwa siwezi. Ila nikiwa sehemu ya watu nalazimika tu. Ila huwa sienjoy msosi.
aisee nayaona mapinduzi ya wali harage.

binafsi kwa hesima nilioupa wali harage, huwa ni marufuku kutumia kijiko hata kama kuna siku ntakuja kuwa trilionea mwenye hadi vijiko vya dhahabu mezani.

Ugali Dagaa kwangu hauvunji heshima kubwa ya muda wote nilioipa wali maharage.
 
Msilinganishe vitu vingine na ugali, nenda ulaya tafuta hiyo kitu kama utaipata, na ukiupata ujue ni nadra sana, tena na dagaa ndio kabisa, ukiona mtu anasafiri na KLM na kapu la dagaa ujuwe hapo shughuli ipo.
 
Back
Top Bottom