Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Unamtongoza leo, kesho anakulalamikia simu yake imepasuka imevujia kioo, gesi imekata na anatumia mtungi mkubwa hujakaa sawa kodi 100k kwa mwezi inakaribia kuisha na mwenye nyumba wake anachukua ya miezi sita tu, hajui atalipaje, ghafla atakuambia mama yake mgonjwa na yeye ndio dada mkubwa wa familia, hujakaa sawa ATM kadi yake imemezwa na hajui afanyeje...

Yani binti anakua tegemezi kwako kwa kila kitu, ukiangalia kitu pekee anachoweza ku-offer ni mbususu ambayo hata pale riverside zinapatikana bwerere. Yani hata mawazo ya maendeleo hakupi zaidi ya stress na matatizo yasiyokwisha.
huu ujinga ulinifanya ni dharau hawa pusi. una kuta daa nyingne mtu anajieza ila mpaka atumie hela zako
 
Unamtongoza leo, kesho anakulalamikia simu yake imepasuka imevujia kioo, gesi imekata na anatumia mtungi mkubwa hujakaa sawa kodi 100k kwa mwezi inakaribia kuisha na mwenye nyumba wake anachukua ya miezi sita tu, hajui atalipaje, ghafla atakuambia mama yake mgonjwa na yeye ndio dada mkubwa wa familia, hujakaa sawa ATM kadi yake imemezwa na hajui afanyeje...

Yani binti anakua tegemezi kwako kwa kila kitu, ukiangalia kitu pekee anachoweza ku-offer ni mbususu ambayo hata pale riverside zinapatikana bwerere. Yani hata mawazo ya maendeleo hakupi zaidi ya stress na matatizo yasiyokwisha.
Bro mbona unataka nianze kuji-access.
 
Huyo kwanza kashazaa, kwahiyo thamani yake ishashuka, achana nae, now tutadili na vigoli vibichi wakati wa kuchakata, wakati wa kuoa tutaoa bikra tu.

Na mwanaume ukikuta Binti bikra tafadhali usimtie, utapunguza idadi ya waolewaji, maana tukimkuta hatumuoi, hiyo ndo sheria mpya itakayoenda kutungwa na bunge.
Huyo aliyekupa mimba hakukutongoza? Mbona umeliwa za kichwa na mimba juu labda awe amekuowa
 
Shida ukijichanganya umtongoze ghafla anakuwa yatima, gesi inaisha, nywele zinaanza kuwasha so anatakiwa asuke na ukikaa vibaya na kodi ya nyumba inaisha. Mi nimejichanganya kwa mmoja kumbe ana simu ya mkopo tigo anatakiwa alipe buku kila siku sijui kwa mwaka mzima. Nimelipa kama buku 3 hivi nimemwambia buku buku zilizobaki utakuwa unaijia lodge
 
Hii thread inasadifu level niliyoko kwa sasa. nikiwaza kumtuza demu ambaye sio mke wangu ni ubwege kabisa uko nae kumbe yupo na wengine. kuna demu niliwahi kumzimikia kipindi cha nyuma kidogo miaka 3 imepita akawa ananizungusha. nikatemana nae juzi kati nikakutana nae story mbili tatu,

nikamwambie tukutane kesho tunyanduane hakuna mtongozo nikanunua mpira wangu nikapiga kesho yake siku mtafuta nae aka mute juzi ananitafuta anataka tukanyanduane tena nimtoa na kidogo,
kifupi hawa mademu sio wa kuwapa moyo wako atakula vihela vyako baadae anatimkia kwa mwingne.

mimi nimeshuhudia wanaume wanao hudimiaga hizi pisi huja kulia vibaya sana kwasababu waliwekeza mioyo na Mitaji yao hapo.
 
Shida ukijichanganya umtongoze ghafla anakuwa yatima, gesi inaisha, nywele zinaanza kuwasha so anatakiwa asuke na ukikaa vibaya na kodi ya nyumba inaisha. Mi nimejichanganya kwa mmoja kumbe ana simu ya mkopo tigo anatakiwa alipe buku kila siku sijui kwa mwaka mzima. Nimelipa kama buku 3 hivi nimemwambia buku buku zilizobaki utakuwa unaijia lodge
😅😅😅
 
Back
Top Bottom