Matokeo ya Sensa yametoka rasmi, idadi ya wanawake ni kubwa kuzidi wanaume, kwanini ugegede mke wa mtu?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,286
92,345
Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa tupo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group yani wasenge na wapo pia watawa ambao hawaoi kabisa kwa nadhiri zao za kitawa, idadi ya wanaume hapo inapunguwa zaidi.

Sasa hoja yangu kwako wewe mwanaume kwa takwimu hizi ni kwa nini utembee na Mke wa mtu?

Na wewe mwanamke usiyekuwa na heshima, umeolewa tulia na mume wako ulikubali kuolewa naye huyo ndio chaguo lako, waachie nafasi wanawake wenzako waliopo single ili nao wapate wenza wao, binadamu msipoacha ubinafsi itabidi wanaume wenye uchumi mzuri ndio waowe Mke zaidi ya mmoja ili tuwastiri Dada zetu.

Kataa kumvulia chupi mume wa mtu Sasa, na mwanaume acha kugegeda wake za watu, there are plenty of beautiful single woman/ Ladies are waiting for you.

Tubadirike Sasa.

Updates:
SENSA 2022: Idadi ya Watu Tanzania imefikia milioni 61,741,120 ambapo Wanawake ni 31,687,990 na Wanaume ni 30,053,130

Dar es Salaam inaoongoza kwa idadi kubwa ikiwa na Watu 5,383,728, ikifuatiwa na Mwanza wenye Watu 3,699,872

Soma Breaking News: - Rais Samia: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

#Sensa2022
 
Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa typo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group yani wasenge na wapo watawa ambao hawaoi, idadi ya wanaume hapo inapunguwa zaidi.

Sasa hoja yangu kwako wewe mwanaume kwa takwimu hizi ni kwa nini utembee na Mke wa mtu?

Na wewe mwanamke usiyekuwa na heshima, umeolewa tulia na mume wako ulikubali kuolewa naye huyo ndio chaguo lako, waachie nafasi wanawake wenzako waliopo single ili nao wapate wenzako, binadamu msipoacha ubinafsi itabidi wanaume wenye uchumi mzuri waowe Mke zaidi ya mmoja ili tuwastiri Dada zetu.

Kataa kumvulia chupi mume wa mtu Sasa, na mwanaume acha kugegeda wake za watu, there plenty of beautiful single woman/ Ladies are waiting for you.

Tubadirike Sasa.
Na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group na wapo watawa ambao hawaoi, idadi ya wanaume hapo inapunguwa zaidi.
 
Lete mkeka tuone ,usianze siasa na ushawishi usio na tija kwa vijana
 
Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa tupo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group yani wasenge na wapo pia watawa ambao hawaoi kabisa kwa nadhiri zao za kitawa, idadi ya wanaume hapo inapunguwa zaidi.

Sasa hoja yangu kwako wewe mwanaume kwa takwimu hizi ni kwa nini utembee na Mke wa mtu?

Na wewe mwanamke usiyekuwa na heshima, umeolewa tulia na mume wako ulikubali kuolewa naye huyo ndio chaguo lako, waachie nafasi wanawake wenzako waliopo single ili nao wapate wenza wao, binadamu msipoacha ubinafsi itabidi wanaume wenye uchumi mzuri ndio waowe Mke zaidi ya mmoja ili tuwastiri Dada zetu.

Kataa kumvulia chupi mume wa mtu Sasa, na mwanaume acha kugegeda wake za watu, there are plenty of beautiful single woman/ Ladies are waiting for you.

Tubadirike Sasa.
Amen! Taarifa nzuri hii! Ngoja tujitwalie vigori.ninavyo 9 mpaka sasa...
 
Nashauri serikali itoe tamko rasmi la wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja.. Hii ifanywe sheria na ipitishwe na bunge halafu iingizwe kwenye katiba mpya
BTW wizard ya afya na wale makungwi kwenye ndoa waanze kuwafundisha watu namna ya kupata watoto wa kiume
Mchawi ni financial freedom tu, labda maccm yakapate lekcha kwa Gaddafi aliwezaje kuwapa vijana nyumba na ela wanapotaka kuowa
 
Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa tupo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group yani wasenge na wapo pia watawa ambao hawaoi kabisa kwa nadhiri zao za kitawa, idadi ya wanaume hapo inapunguwa zaidi.

Sasa hoja yangu kwako wewe mwanaume kwa takwimu hizi ni kwa nini utembee na Mke wa mtu?

Na wewe mwanamke usiyekuwa na heshima, umeolewa tulia na mume wako ulikubali kuolewa naye huyo ndio chaguo lako, waachie nafasi wanawake wenzako waliopo single ili nao wapate wenza wao, binadamu msipoacha ubinafsi itabidi wanaume wenye uchumi mzuri ndio waowe Mke zaidi ya mmoja ili tuwastiri Dada zetu.

Kataa kumvulia chupi mume wa mtu Sasa, na mwanaume acha kugegeda wake za watu, there are plenty of beautiful single woman/ Ladies are waiting for you.

Tubadirike Sasa.
Lakini kwanini vijana wengi wa kitanzania akili zetu zinajikita sana kwenye kuwaza ngono, ni elimu duni, kukosa kazi au ufinyu wa akili zetu tu.
 
Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa tupo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group yani wasenge na wapo pia watawa a, na mwanaume acha kugegeda wake za watu, there are plenty of beautiful single woman/ Ladies are waiting for you.

Tubadirike Sasa.
Tatizo haijulikani kati ya hao watoto ni wangapi. Ikute watoto wa kike 0-18 yrs old ni wengi kuliko wanawake adult.
 
Back
Top Bottom