Ujio wa 50/50 umewafanya wanawake waonekane hawana thamani tena mbele za wanaume na jamii

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wana jf na wasalimu kwa masikitiko makubwa sana

Enzi na enzi za mababu zetu, mitume na manabii kwa imani zetu tofauti tofauti , tamaduni, mila na desturi zetu kama wanadamu natokea iwekwe misingi ya dunia hii mwanaume alikuwa ni kichwa na mtawala dhidi ya dunia na viumbe vyote ikiwemo na mwanamke humo humo anatawaliwa.

Ili Mwenyezi Mungu aongee na mwanadamu na kutoa taratibu za kimaisha na maelekezo ya kazi pamoja na kuulizia hali ya mwanamke alikuwa lazima apitie kwa mwanaume na hata kule bustanini mnaona alivyo kuwa anapitia kwa mwanaume

Ndugu wana jf katika vitabu vya dini sambamba na imani zetu na baadhibya mafundisho kwa wale wasio na imani wala upande wowote, pia katika fasihi simulizi na tamthilia nyingi sana mwanamke alikuwa akizungumziwa kama chombo cha starehe na kisicho na nguvu hata kidogo ndiyo maana tunaona wakitetewa katika vyama vyao na madawati mbali mbali ya wanawake.

Hivyo mwanamke kama chombo dhaifu na cha starehe kiliitaji matunzo kutoka kwa mwanaume ili kiweze kuwa bora zaidi katika kumstarehesha mwanaume na kuishi kwa udhaifu wake alio nao pamoja na kubadili huo mtazamo wa jamii wa kumuona mwanamke ni chombo cha starehe dhidi ya wanaume na kuweka chachu ya kuinua thamani ya mwanamke mbele za jamii

Japo mwanamke alitumika kama chombo cha starehe na kisicho na nguvu kabisa na wakati mwingine kutokuhesabiwa katika sensa mbali mbali zilizo kuwa zikifanyika miaka na miaka ila thamani yake kama mwanamke ilikuwa ni kubwa sana mbele ya mwanaume na jamii tofauti na tulivyo kuwa tukiaminishwa na wakiaminishwa.

Thamani ya mwanamke ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba mwanamke alikua akilia au kupiga yowe au kuomba msaada au vyote kwa pamoja alikuwa akiishtua jamii ya wanaume na jamii nzima ya wanaume ilikuwa ikiamka na kwenda kutoa msaada haraka kadiri iwezekanavyo kwa lengo la kumsaidia mwanamke huyu ambaye hana nguvu wala hana ujasiri na ambaye ni chombo cha starehe.

Thamani ya mwanamke ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba wanaume tulipokuwa tukipigana kwa namna yeyote ile mwanamke akiingilia kati na kutupatanisha au kuongea lolote basi tunarelax na kuheshimu uwepo wake

Thamani ya mwanamke ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba mwanaume/ baba ukipiga mtoto na mwanamke/ mama akizungumza maneno machache basi tulikua tunaacha na hatupigi tena mtoto

Thamani ya mwanamke huyu huyu ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba mwanamke alikuwa akisimaa mbele ya jamii na kutoa madukuduku basi wanaume tunaitana ,tunakaa chini ya mti au huko porini na kuelekezana kwa siri ni nini cha kufanya haraka.

Pia ijulikane thamani ya mwanamke ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba kila mtoto wa kiume/ vijana kwa marika yako/ wanaume na wazee wetu walikuwa wana tamani sana kuishi na mwanamke katika misingi ya ndoa na kuifurahia pamoja na kuona ni jambo jema sana mbele za jamii na Mwenyezi Mungu.

Ndugu wana JF na wasio wana JF au kufungamana na upande wowote kwa hali zetu za kimaisha popote mlipo na kwa namna zetu.

Ujio wa 50/50 baina ya mwanaume na mwanamke umefanya wanawake waonekane hawana thamani tena wala hakuna haja ya kuwao au kukaa karibu nao.

Kwanini basi nayasema haya yote

1: Ujio wa hamsini kwa hamsini umemfanya mwanamke aote mapembe na kuona mwanaume ni kama mwanamke mwenzake tuu na umemgeuza mwanamke kuwa feminist, mwana harakati wa kupindua misingi ya Mungu na mwanaume

2: Ujio wa 50/50 umefanya wanawake waonekane na jamii ya wanaume kana kwamba wamechanganyikiwa na viumbe vilivyopoteza uelekeo wa kimaisha kabisa kabisa

3: Ujio wa 50/50 umefanya wanaume tupoteze ladha ya kutamani kuwa na wanawake kwani wanawake wamekuwa wakisababisha hasara kubwa kwa mwanaume ikiwemo kiimani, kiuchumi na hata kuondoa uhai wa wanaume

4: Ujio wa 50/50 umefanya wanawake wengi sana kuwa single mother na kuwageuza asilimia kubwa sana ya wanawake kuwa wadangaji na hata wengine dada poa wa wazi wazi

5: Ujio wa 50/ 50 umeweka uadui mkubwa baima ya mwanaume na mwanamke na kupelekea mauaji ya pande zote mbili kutokana na sababu mbali mbali za kimapenzi na zingine za kimaisha kwa namna yake

6: Ujio wa 50/50 umefanya wanawake wengi waonekane omba omba na hii ni kutokana na wanaume kuwa puuza wanawake na kuwaona sii kitu tena na hawana thamani kama hapo awali enzi za mababu zetu

7: Ujio wa 50/50 umewafanya wanawake wengi wazidi kuwehuka na kugeuzwa misukule na chuma ulete na hawa wamiliki wa nyumba za ibada za manabii na mitume wa uongo wakidanganya huku na huko kana kwamba wamelogwa na wachawi kwa lengo la kuwaibia mapato yao

8: Ujio wa 50/50 umewafanya wanawake waonekane kama ni wachawi na viumbe hatari zaidi kwa mwanaume tena zaidi hata ya nyoka, na kumfanya mwanaume kutomsikiliza tena mwanamke kwa namna yeyote

9: Ujio wa 50/50 umewafanya wanawake wakose soko katika taasisi ya ndoa , waonekane wanataka ndoa kama biashara za kujinufaisha wao wenyewe na chanzo cha umasikini katika jamii nyingi za wanaume na hata Taifa ikiwemo

10: Ujio wa 50/50 umewafanya wanawake wasiwe na maadili, nidhamu wala utii kwa wanaume pamoja na wazazi wao wenyewe, umewafanya wawe na viburi vya uzima, watoro wa nyumbani kwao, wabebeshwe mimba zisizo eleweka hata baba ni nani, watumie P-2 kupita kiasi na hata kuatarisha maisha yao wenyewe

11: Ujio wa 50/50 umefanya wanawake wakae uchi hivyo, wawe wa baridi miili yao kwa kuvaa mavazi ya kiume , wawe hawana mvuto wa kike na waonekane kama midoli wanapojipitisha mbele za wanaume na hata wengine kuwa matom boy huku wakiwasaga wenzao

12: Ujio wa 50/50 umevunja ndoa nyingi sana, umeondoa heshima ya mwanamke na kuwafanya wanawake wengi sana waonekane hawana adabu na wenye kuwapigia makelele wanaume kwa kila namna na kila hali ,hivyo kusababisha upotevu wa amani ndani ya familia na jamii husika

13: Ujio wa 50/50 umegeuza majukumu ya mwanamke na kumfanya mwanamke na yeye kujiona ana haki ya kupenda na kusahau jukumu lake la unyenyekevu na utii, bali kuingilia majukumu ya wanaume

14: Ujio wa 50/50 umefanya wanawake waombwe sana rushwa ya ngono kila pale wanapohitaji huduma kwa namna yake

15: Ujio wa 50/50 umeharibu Muundo wa dunia ulio wekwa na Mungu baina ya mwanaume na mwanamke ,umeongeza vita duniani, manyanyaso ya kijinsia , manyanyaso ya kingono, mauaji, udini na ukabila , chuki , usaliti, kukosa ubinadamu na mambo mengine mengi yanayofanana na haya.

16: Ujio wa 50/ 50 umefanya mahusiano yawe ni ghali sana , hasara kwa mwanaume bali utajiri kwa mwanamke, umepelekea vijana wengi kupiga PUNYETO huku wakijisajili CHAPUTA na wengine kuunga mkono HARAKARI ZA WANAUME KUKATAA NDOA kwa sababu mwanaume akiteswa na mwanamke hana wakumsikiliza kabisa popote pale

Ndugu wana JF na wasio wana Jf na wale wasio fungamana na upande wowote nini basi kifanyike kuondoa tatizo hili la wanawake kupoteza thamani yao ukiacha kila mmoja kukaa kwenye nafasi yake kwa jinsi yake
 
NDUGU WANA JF NA WASIO WANA JF AU KUFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE KWA HALI ZETU ZA KIMAISHA POPOTE MLIPO NA KWA NAMNA ZETU.

UJIO WA 50/50 BAINA YA MWANAUME NA MWANAMKE UMEFANYA WANAWAKE WAONEKANE HAWANA THAMANI TENA WALA HAKUNA HAJA YA KUWAO AU KUKAA KARIBU NAO

katoto kakike kadogo tu skuizi,
kanajiona ni mtu mzima sana anaweza kila kitu,
kisa tu kupitiwa na treni ya mizigo na akamudu vizuri,

kwahiyo wanaume wengine anawana kama daladala, bajaji na Bodaboda,

dunia inaenda kwa kasi sana....
 
Wameyataka wenyewe kwenda na Kasi ya mabadiriko ya dunia. Wanaume sisi tumetulia, wapo wanawake wachache wanaojielewa na kusimama pale wanapostahili na kuwapa heshima wanaume kama inavyostahili. Mwanamke anayejifanya mjanja katika ujana wake na ajiandae katika uzee wake
 
Mpango wa 50/50 ni mpango ovu wa wazungu
Ni kama tu wanavyopigia debe ushoga
Na mambo mengine ya hovyo

Mwanamke au mwanaume mwenye akili timamu hawezi kushabikia hili suala
Wanaoshabikia wana maslahi nalo

Hawa ambao wako tayari kuuza utu wao kwa maslahi tunaona tangu zamani

Na Kama huna maslahi na unaunga mkono 50 50 basi huna akili
 
Tafuta pesa

50/50 unaigeuza 95/5 😂

Kama mfuko unayumba, unampiga mizinga mamiloo we pambana na 50/50 ndugu yetu 😁

soma signature yangu itakusaidia/itawasaidia.
 
Mpango wa 50/50 ni mpango ovu wa wazungu
Ni kama tu wanavyopigia debe ushoga
Na mambo mengine ya hovyo

Mwanamke au mwanaume mwenye akili timamu hawezi kushabikia hili suala
Wanaoshabikia wana maslahi nalo

Hawa ambao wako tayari kuuza utu wao kwa maslahi tunaona tangu zamani

Na Kama huna maslahi na unaunga mkono 50 50 basi huna akili
Wakulaumiwa na wanaume walioruhusu huu mfumo
Wanaume ndiyo viongozi sasa mwanaume ametoka kwenye nafas yake akamuachia mwanamke
Ingetakiwa wanaume wasinge support huo upuuz wao badala yake wanaume ndiyo wakawa wanawapigia debe na kampen
Ooh ladies first, empower woman
Hilo ndiyo kosa

Sasa wameshika uskan tulien tuliiii muone show ilivyo
 
NAKAZIA

NDOA NI WIZI

NDOA NI UTAPELI

KATAA NDOA
Ok, mtoto wa nje ya ndoa( wa ukahaba)
 
Wakulaumiwa na wanaume walioruhusu huu mfumo
Wanaume ndiyo viongozi sasa mwanaume ametoka kwenye nafas yake akamuachia mwanamke
Ingetakiwa wanaume wasinge support huo upuuz wao badala yake wanaume ndiyo wakawa wanawapigia debe na kampen
Ooh ladies first, empower woman
Hilo ndiyo kosa

Sasa wameshika uskan tulien tuliiii muone show ilivyo
Kwanza ni ajenda ya wazungu lakini kuna mijitu isiyojielewa ina ipa nguvu hoja hiyo ikifikiri kwamba ni jambo jema la msingi

Dunia inaenda kuwa ya hovyo na wanawake wanaenda kupata tabu sana kwa sababu wanaume hatutakuwa na sababu ya kufanya kazi kwa miaka ijayo
 
Back
Top Bottom