Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,130
Habari!
Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe.
Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake.
Hivi kwa mfano tar 12 Ukonga wanaandika tangazo tena ndani ya gereza wakihitaji vijana haraka ndani ya siku 2 wawe wameshafanyiwa usaili unategemea nini?
Ni wangapi wana access ya kuongia gerezani kuulizia mambo ya usaili.
Tangazo uweke leo na uwatake vijana waende kwenye usaili siku hiyohiyo hiyo ni sawa?
Jeshi la Polisi nao wametoa matangazo zaidi ya mara 2 bila kutaja idadi ya wanaohitajika.