Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,955
Nunua hizi wanazonunua wanawake Wenzako IST
Mkuuu hutaki IST alafu unaowaomba ushauri wote wantumia hiyo IST.. subiri kejeli na matusiHabarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk.
Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani itanifaa kwa kuanzia kulingana na bajeti hiyo kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo.
1. Kumbuka ni gari yangu ya kwanza.
2. Muonekano wa gari ni kipaumbele cha kwanza.
3. IST sio chaguo langu kabisa
4. Ulaji wa mafuta ni suala la pili kuzingatia baada ya mwonekano/shape
Asanteni sana na karibuni kwa mawazo.
Passo,cami ni toyota mkuu,mimba zake zinakujaje mkuu tuelekezane tusiingie mikengeHapo chukua gari yoyote ndogo ila hakikisha cc iwe chini ya 1500. napendelea Toyota naonaga mafundi wake ni weng na spea sio shida. usinunue demio cjui Mazda, passo, cami/terios, nissan xtrail hizo ni mimba
Crown nasikia nikishainunua nijenge na kisima cha mafuta kabisa nyumbaniSisi, ( EAPGS )
Hatukushauri sana kuhusiana na subaru, hii ni kwa sababu ya kuzingatia angalizo ambalo umelitoa kwamba, ndio garibya kwanza, hivyo experience ni kipaumbele.
Kwa budget yako, gari ambazo zingekufaa sana ,
- Premio ( F )
- Corolla Rumion
- Corolla Spacio
Optional :
- Crown Athlete
Hizo ndizo tungeweza kupendekeza
Kulingana na budget yako
Ha ha ha!Crown nasikia nikishainunua nijenge na kisima cha mafuta kabisa nyumbani
Premio G sio CC 1490 Mkuu. Premio F ndo cc 1490Nunua primio G cc1490
N premio F na sio G!! Premio G Ina cc 1990 nadhanNunua primio G cc1490
PremioKulingana na bajeti yangu magari nikiyokuwa nafikiria ni Nissan Xtrail, Nissan Tiida, Toyota Volts, Premio, Subaru Forester na brand nyinginezo mtakazonishauri
Japo umeonesha kutoitaka lakini ist ingekufaa ni gari nzuri sana ina sifa zote ni ngumu, spea kibao, matumiz mazuri ya wese, dizaini yake bado si mbaya. ila agiza nje usinunue hiz za watu mikononi.Hamna Premio wala Subaru humo
Just because it's a Toyota, it doesn't mean that hazisumbui....Passo,cami ni toyota mkuu,mimba zake zinakujaje mkuu tuelekezane tusiingie mikenge
chukua bmw series 1 au bmw x1Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk.
Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani itanifaa kwa kuanzia kulingana na bajeti hiyo kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo.
1. Kumbuka ni gari yangu ya kwanza.
2. Muonekano wa gari ni kipaumbele cha kwanza.
3. IST sio chaguo langu kabisa
4. Ulaji wa mafuta ni suala la pili kuzingatia baada ya mwonekano/shape
Asanteni sana na karibuni kwa mawazo.