AfroMonster
Member
- Jun 7, 2018
- 69
- 83
Hello JF: nawasalimu wakuu, poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
Nina mdogo wangu form four leaver, div IV points 29, anatamani sana kuwa mtangazaji/redio presenter, pamoja na kuwepo vyuo (vya private) vinavyotangaza kutoa kozi za redio broadcasting & journalism nikiangalia kwenye guidebook ya NACTE sioni kozi inayotambulika kwa jina hilo, naona tu kozi ya ICT,, je hizi kozi zinaelekeana au kuhusiana?
Naomba ushauri jinsi ya kumuwezesha mdogo wangu kufikia ndoto yake.... Hasa kupitia pathway ya certificate[emoji654] diploma
Pia ushauri wa chuo kizuri, cheap.
Au ushauri wowote mbadala.
Shukrani.
===========================