gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,283
- 3,274
Salaam wanabodi,
Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.
Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja hivi nimepambana lakini haikua bahati yangu.
Mbwa wangu walikua ni mchanganyiko wa shepherd na local lakini niliwapenda sana siwezi ishi bila mbwa kwani ninaisha mashambani na mifugo, sio vema mtu mzima kuomba lakini ukweli ninashida sana ya mbwa, lakini kwa dharula hii ilionikuta sijajiandaa.
Nafahamu mbwa ni gharama lakini sijajiandaa, shida yangu ni jike na dume ila offer yangu ni 100,000 kwa wote.
Samahani local hawanifai walau wawe wamechanganyika,
Plz mwenye kunisaidia tafadhali,
Natanguliza shukirani.