Naomba kujuzwa bei ya chumba na fremu Morogoro Mjini na maeneo mengine nje ya mji

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
2,035
2,686
Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka.

Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k

Natanguliza shukraniđź‘Źđź‘Źđź‘Ź
 
Morogoro ina maeneo mengi yalochangamka.... be specific.... unataka eneo gani? Msamvu pamechangamka! MASIKA pamechangamka! Boma Road pamechangamka! MODECO pamechangamka! Kihonda pamechangamka! Mazimbu Rd pamechangamka! Hata Kigurunyembe pamechangamka!
 
Ndugu yangu morogoro nimeishi kilombero tu maeneo ya mkamba,ila kiukweli kwa hapo town sipajui popote,nilikuwa nataka nilinganishe bei natarifa uatakayonipa kwa maeneo yote uliyotaja,then nije mwenyewe kufanya research
 
Back
Top Bottom