Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Kwa hiyo umemuacha kwa sababu hajakupa ela??Hiyo umesema wewe......ulishawahi kufanya research ya wanawake?
Kwa hiyo umemuacha kwa sababu hajakupa ela??Hiyo umesema wewe......ulishawahi kufanya research ya wanawake?
Elfu 15 ni ndogo?? Unaishi nchi gani mleta mada??Sijawahi kumuomba hela hata siku moja na analijua hilo na isitoshe hiyo hela niliyomuomba sikuwa na shida nayo binafsi bali kuna mtu nilitaka ampe na ni hela ndogo sana elfu 15 au ulijua nimemuomba shilling ngapi labda.........yani mwanaume mzima unaombwa elfu 15 umtunie mtu unakimbia tena ni boyfriend huyo na nilimuambia nimeshindwa kutoka kutokana na hiyo sehemu ipo mbali na tigo pesa........yani elfu 15 ndo anione najiuza😀😀 narudia tena kusema ni mjinga
Ha haa unidunge mara ngapi baba? Afu nilitaka nikusuprise lolWe kwa nini umetoa siri kuwa umekuja US?
Itabidi nikudunge mimba kabla hujarudi Arusha 😀
Sitaki kusema chochote hapa zaidi ya hayo niliyosema.....unanijua na unajua ulichofanya sio naomba niishie hapa maana wewe unatumia ID nyingine sitakujibu tena
Haya sasa mtulie mkapatane!! Mahusiano hayavunjwi kwa visababu vya kipuuzi kama hivi!!Now you're talking baby, kwanini usingekuwa na subira na ukauliza wakati ule? Kwanini hata baada ya mimi kukupigia usingevuta subira nianze kuelezea. Uzuri ni kuwa nilikwambia nakutumia ila unipe muda kidogo. Sasa, kosa ni kutokukutumia pesa, kosa ni kutopokea simu? Tatizo Curious gal you're lacking communication skills baby. You should talk to me sasa!! We ain't fighting, we just try explaining the actual scenario ili watu wajudge hun!!
Tulieni muyamalize wakuu!!Curious gal hakuwahi kuniomba pesa ama msaada wowote kwa kipindi cha mwezi mmoja tulichokuwa wote. Na pesa aliyoomba jana aliomba niiforward kwa ndugu yake (offcourse it can be her trick but sikufikiria hivyo) ukiangalia hakikuwa kiasi kikubwa. The problem is nilimwambia asubiri for abt 45 to an hour coz sikuwa kwa position ya kuniwezesha kufanya transaction kwa haraka (i was in the middle of something serious) na sikuwa na simu muda mwingi wakati nafanya hiyo shughuli. Sasa, mwenzangu alipiga sana simu na simu haikupokelewa (xo she concluded kama alivyoleta uzi). A bad thing nilipomalizana na shughuli ili niende kibanda cha MPESA kufanya transaction nikawa natembea huku nasoma text zake alizonitumia. It was disappointments. Nikasema amefikiria vibaya tu, wacha nimpigie simu nimueleweshe. Aiseeee, Nilipokea kejeli kwa sauti kama, yaani nikabaki tu kimya nimesimama namsikiliza yeye. Kafooooka, alipomaliza akakata simu. Nikachoka, ikabdi nigeuke nirudi zangu. Jana pia tulipanga tumeet but kutokana na hyo scenario, kila kitu nikawa THE END......
Bado kuna upendo hapa. Tulieni mmalizane..muombane msamaha!!Halafu acha kunisingizia hapa mpaka nakupigia simu masaa zaidi ya 2 yalishapita na haukujibu kitu
O[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha haa unidunge mara ngapi baba? Afu nilitaka nikusuprise lol
Sasa kakiwa kabaya katakua kamefata kwako tu[emoji12]O[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ole wako unizalie katoto kabaya [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Thubutu!Sasa kakiwa kabaya katakua kamefata kwako tu[emoji12]
Umeacha lini hiyo tabia?Nilikuwa mbali na sehemu ya kuweka hela na uwa sina tabia ya kuomba hela......
Basi jiandae huyu atatoka kisu kikali zaidi coz mbegu zako hazijawahi kukuangusha he heeThubutu!
Kisura asingekuwa kisura kama isingekuwa mimi...
Mi huwa nafyatua vifaa tu hata kama niko libaya [emoji12] [emoji23] [emoji23]
Point ya msingi hiyo! Yani kama ulikuwa unafikiria kumuoa ameshajitilia doa tayari.Kwanini umuombe yeye na siyo wazazi wako?
Ila wao wanapenda kuomba papuchi eehHakuna mwanaume anayependa kuombwa hela
Aisee! Hili halina mwenyewe tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125]Duuuh nchi ngumu kweli hii[emoji23][emoji23][emoji23] hapo mshatengana tayari daaah[emoji23][emoji23]
Kumbe umerudi tena, shemeji alishatoa conclusionAisee! Hili halina mwenyewe tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125]
brain is the beautiful part of the body.