Shida ni pale vizinga vikizidiUchoyo tu na roho mbaya ndio maana wanatafutia na majina oooh "unajiuza" ili ujisikie vibaya usiombe, mara si umuombe mzazi wako, yeye why asimuombe mzazi wake!!!
Kama kapotezea nawe mpotezee tu, mwanaume mchoyo hivyo hata mkiingia kwenye ndoa atakuwa ni tatizo tu, ndio wale wa "nyumba yang,kochi langu,tv yangu" full uchoyo na ubinafsi.
Nimeshampotezea muda tu.......mimi hajaniboa kutonipa hela ila kwanini alikuwa hapokei simu yani hapo ndo nikamuona huyu hajielewiUchoyo tu na roho mbaya ndio maana wanatafutia na majina oooh "unajiuza" ili ujisikie vibaya usiombe, mara si umuombe mzazi wako, yeye why asimuombe mzazi wake!!!
Kama kapotezea nawe mpotezee tu, mwanaume mchoyo hivyo hata mkiingia kwenye ndoa atakuwa ni tatizo tu, ndio wale wa "nyumba yang,kochi langu,tv yangu" full uchoyo na ubinafsi.
Mimi sina mkosi kwa kweli😉😉DADA SAFISHA NYOTA YAKO HUO NI MKOSII[emoji41][emoji41][emoji41]
Hivi kuna watu wanaomba wanawake pesa? Mi siwezi kumuomba mwanamke hela.aamue kunipa na si mkopo.siwezi kuomba hela kwa mwanamke mimiKwani we unavyomuomba ni mkeo mama yako?
Hivi shida huwa ina muda au taarifa!!! Mbona mnakuwa na roho mbaya hivyo!!
Ndo umepata yaliyokupata sasa! Lesson learned.Je kama na mimi yalinifika????
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Kwahiyo unaamua kuachana nae kwa sababu hakukupa pesa. Unaona unavyojionesha kuwa wewe ni mtu wa aina gani. Hukumpenda huyo wala usitudanganye hapa.Hahahahahaaaaaa yani alinichekesha sana nikamuona wa ajabu ila nashukuru nimeweza kumjua ni mtu wa aina gani na tungepotezeana muda tu
"Asimuombe mzazi wake" nini hicho!?Uchoyo tu na roho mbaya ndio maana wanatafutia na majina oooh "unajiuza" ili ujisikie vibaya usiombe, mara si umuombe mzazi wako, yeye why asimuombe mzazi wake!!!
Kama kapotezea nawe mpotezee tu, mwanaume mchoyo hivyo hata mkiingia kwenye ndoa atakuwa ni tatizo tu, ndio wale wa "nyumba yang,kochi langu,tv yangu" full uchoyo na ubinafsi.
Huwa mnasema hivyo hivyo in public, ila ukweli ni kuwa mnaomba sana tu.Hivi kuna watu wanaomba wanawake pesa? Mi siwezi kumuomba mwanamke hela.aamue kunipa na si mkopo.siwezi kuomba hela kwa mwanamke mimi
Ona sasa usikute huyo ndo mr right wako unampotezaNimeshampotezea muda tu.......mimi hajaniboa kutonipa hela ila kwanini alikuwa hapokei simu yani hapo ndo nikamuona huyu hajielewi
Dear naomba elfu 50![emoji53][emoji53][emoji53]Nilikuwa mbali na sehemu ya kuweka hela na uwa sina tabia ya kuomba hela......
Sasa amepatwa na shida na wewe ndio mwandani wake asikuambie? Akikuambia ndio unaanza kumtungia majina kweli!!!Mimi sipendi kabisa mwanamke aniombe pesa.naijisikia raha sana nikitoa bila kuombwa. Yaani ukiniomba naona kama unataka tufanye biashara fulani hivi. Am sorry girls kama hamtopendezwa na tabia yangu.
Hiyo umesema wewe......ulishawahi kufanya research ya wanawake?Wanawake wengi ni waongo na wamekuwa wadanganyifu, kuwa mvumilivu na usiwe mwepesi kumwomba hela, kuna wakati atakupa bila hata kumwomba (Ila kuna washenzy unaweza usipewe milele)
Sikatai labda wapo.but not me.siombi mimi huwa nataka kama ninajua mkewangu anayo.na ninapewa.Huwa mnasema hivyo hivyo in public, ila ukweli ni kuwa mnaomba sana tu.
Akili yako imewaza mgegedo tu maana ndipo ilipoishia!!!"Asimuombe mzazi wake" nini hicho!?
Ndo maana mtafsiriwa Kama wauzaji. Na hii ni mentality mbovu kudhani kwamba kwenye mgegedo nyie ni watoaji na wanaume ni wapokeaji.
Aende tuOna sasa usikute huyo ndo mr right wako unampoteza
Lazima uweke bajeti ya mpenzi wako kwa mwezi.Wanawake wengi ni waongo na wamekuwa wadanganyifu, kuwa mvumilivu na usiwe mwepesi kumwomba hela, kuna wakati atakupa bila hata kumwomba (Ila kuna washenzy unaweza usipewe milele)
Kuna mazingira mtu akikueleza ni lazima umuelewe. Huyu anasema walipanga kukutana halafu mmmhh sijiui ikawaje.hapo mmh kuna utata.Sasa amepatwa na shida na wewe ndio mwandani wake asikuambie? Akikuambia ndio unaanza kumtungia majina kweli!!!