Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Hakuna mwanaume anayependa kuombwa hela
Duh, mi ukitaka tukosane tu niombe hela
Hakuna mwanaume anayependa kuombwa hela
CORRECTKwanini umuombe yeye na siyo wazazi wako?
Kumbe part two inakuja eeh!! Basi safi sana.Umeambiwa usubiri part 2. Kweli ndugu wakigombana shika jembe ukalime
Kwa niaba ya la familia yangu na kipenzi changu Curious gal tunachukua fursa hii kuwashukuru kwa michango yenu ya dhati kabisa ambayo tumeifanyia kazi ipasavyo na imetusaidia sana kwa kweli. Mmeongea mengi ya kujifunza na ya kuzingatia kwenye mahusiano na niwahakikishie tu kuwa hamkuwa mkipoteza muda wenu bure kwenye kila comment iliyokuwa ikiandikwa. each comment valued several $ kwetu 😉😉. Sasa tusubiri part 2 kama wadau walivyokuwa wakihitaji. Kuna mengi sana hayakuongelewa kwenye hii part 1 one sasa kaa mkao wa kula. This weekend kufahamu zaidi
Daby Nalendwa luckyline palsa Gregoire's Al-Watan atlas copco espy Heaven Sent Manga ML cocochanel daudthefarmer Neybright miss chagga Ushimen BOMBAY Curious gal
Na tuwaache walale tehHongera mmeyamaliza vizuri, tunasubiri part 2. [emoji2]
Sent from my SM-T337T using JamiiForums mobile app
Kumbe part two inakuja eeh!! Basi safi sana.
Yah sweetheart wasubirie tu
Aleyo ba Sungusungu baleho ha Kayenze kwenuko?
Loshiko lomo nale nizaga kaya kwenuko, bakohaya konipeja kongono e baiskeli yise ite na kodi.
Onene mna ng'wani natamanile mamihayo sagala genago nawawela.
Bebe nang'ho.Ba sungu sungu ateho, twaleo mupolisi
Hahaha.....ohajaga ange doho kodi, uzage na mazawadi menge gete
Msalimie bwana shemeji...Eheee
Mwanaume utashindwaje kujua kuwa mkeo/ mpz ana matumizi mengi inabidi ujiongeze umtumie kiasi yeye atajua la kufanya.
Wanaume wanatofautiana na hilo tunalijua na wengine tushagakutana nao. Kuna mwanaume haijarishi yeye anapata sh ngapi ukifika mwisho wa mwezi yeye anamtumia mpz wake kiasi atakachokipenda.na atakwambia " hivyo vijisent vitakusaidia matumizi yako."
Hivi mwanaume kama huyo utaanzia wapi kumwomba? Au kumsariti? Na kuna kuna mwanaume anaweza kukupigua simu akuulize vip una shida yoyote? Vip hali yako kiuchumi? Then hapo yunaweza kufunguka umwambie then yeye ajiongeze.
Watu wa hivi wa kujiongeza bila kuombwa tumekutana nao sana. Na unakuta mwanamke hajawahi kumwomba. Binafisi nina experience ya hiki kitu.
Wewe Valey ntakuchapa! Afu siku hizi umejigayaMsalimie bwana shemeji...
Mama nipo huku US nimekuja kumsabahi Nyani Ngabu kichaa wa kolomije huyuWewe Valey ntakuchapa! Afu siku hizi umejigaya
Hivi uko tz hii kweli? Mm nipo kolomije
mkitwistiwa....vilio viingiiiConfidence[emoji123] [emoji123] lazima
povuBahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Mama nipo huku US nimekuja kumsabahi Nyani Ngabu kichaa wa kolomije huyu
Nikitaja takwambia,si ntakukuta hapo call me jay eeh[emoji3]
Kwani we unavyomuomba ni mkeo au mama yako?
Hivi shida huwa ina muda au taarifa!!! Mbona mnakuwa na roho mbaya hivyo!!
Pole sana kwa stress zilizotukuka!Uchoyo tu na roho mbaya ndio maana wanatafutia na majina oooh "unajiuza" ili ujisikie vibaya usiombe, mara si umuombe mzazi wako, yeye why asimuombe mzazi wake!!!
Kama kapotezea nawe mpotezee tu, mwanaume mchoyo hivyo hata mkiingia kwenye ndoa atakuwa ni tatizo tu, ndio wale wa "nyumba yang,kochi langu,tv yangu" full uchoyo na ubinafsi.
Duuuh nchi ngumu kweli hii[emoji23][emoji23][emoji23] hapo mshatengana tayari daaah[emoji23][emoji23]Nimeshampotezea muda tu.......mimi hajaniboa kutonipa hela ila kwanini alikuwa hapokei simu yani hapo ndo nikamuona huyu hajielewi
Naunga mkono hoja!!Kwahiyo unaamua kuachana nae kwa sababu hakukupa pesa. Unaona unavyojionesha kuwa wewe ni mtu wa aina gani. Hukumpenda huyo wala usitudanganye hapa.