atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,806
Haya bhana ww si ulidai huna time na nae na umempotezea mazima auMbona amenipa sasa zaidi ya hiyo hela niliyomuomba......muulize akuambie
Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
Haya bhana ww si ulidai huna time na nae na umempotezea mazima auMbona amenipa sasa zaidi ya hiyo hela niliyomuomba......muulize akuambie
Ninon'goneze bac PM aiseee,ila kuna ID fulan nna mashaka nazoHaha mwenyeji saana.
Unahitaji jicho la tatu kumjua. Usiniulize swali lingine [emoji125] [emoji125]
We acha tu, nisiseme sana nikaonekana mlalamishi bure hapa.
Aleyo ba Sungusungu baleho ha Kayenze kwenuko?Hahaha....mimi likizo yangu huwa naimalizia hapa kayenze ufukweni, nyakati kama hizi nikishavuta zangu mpunga kwenye mifugo nampitia kiportable wangu Wankuru. Kwa rahaa zetu tunajiachia hapa batani, tunadokoa tilapia huku tukiwaona wengine kwenye maji wanacheza cheza!
Na huko Bahamas kuna mwenyeji wangu ananiambiaga fukwe zake hazina tofauti sana na Agakhan beach ya pale posta ya zamani. Ila ntakuja nihakikishe mwenyewe kabla sijaenda na wankuru.
Aisee!!! Hiyo portfolio nadhani ilikuwa combined na ya Bi Zuhura kwa huo muda yaani mpaka akazima fegi, mimi nikimuonyesha yangu hatahamiki mpaka kesho, kwanza nikianza na mifugo nilioachiwa na Mzee Ruchunguraa hauwezi ukasimama hata sekunde.
Bebeshi nang'ooo ale ntajirii
Kama jamaa kasusa na bado hiyo shida uko nayo naomba uni PM...sina masharti!
Vyovyote no uzinzi na no kuhongana basi hakutakua na tatizo.Nilichogundua wanawake ( baadhi yenu) huuona mwili wao kama source ya kupata pesa. Haya kila la kheri .usi assume kwamba chanzo ni kunyimwa penzi na je kama alikuwa hana hiyo pesa .angefanyaje?
Ukiwa na mtu lazima cha kwanza umsome sasa kama najua hana mkono wa kutoa kwa nn uangaike kumwomba? Maana unaweza kumwomba akutafutie sababu kama kilichompata mleta Mada so. Ndo hivo vitu vingine ni kutumia akiri kuepusha tanayoweza kutokeaKama huna dharula sawa lakini kama inakupata husemi utakua na roho mbaya wewe
Mwanaume utashindwaje kujua kuwa mkeo/ mpz ana matumizi mengi inabidi ujiongeze umtumie kiasi yeye atajua la kufanya.Sasa kama wewe ukikaa kimya mi ntajuaje kama unashida?
Mkuu hebu fikiria. Uhusiano wako una mwezi mmoja na haujawahi kuombwa hata mia na wakati mwingine unapigiwa simu. Inatokea unaombwa hela unalalamika hiyo ni halali?Ww bado hayakukuta ndg ila siku yakikukuta kila mwanamke utaemwona utahisi ndio walewale so sioni haja ya kuwatetea
Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
Ukiwa na mke anayejitambua hutapata wazo la kugonga hovyo hovyo wanawake wasiojitambua.Nanyie wenyewe muwe mnawaambia ambao tunawapiga nakuondoka,tena muda mwingine eanadhalilishwa nakupewa pesa,pale wanapoona hatuwaoi tunaenda kuoa wanawake wanaojitambua,wasilalamike,badala yake wajue kua ndio uanamke huo.
Nishasoma mkuu. Nilicomment kabla sijaona post za mshikaji.Oya mbona kama vile hujasoma maelezo ya huyu dada vizur,kwa ushauri tuu hebu jaribu kupitia maelezo ya jamaa kwasababu yumo humu na ya huyu manzi ndio uje ucomment tena
Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
Sweeheart achana nao hao, waambie wasubirie Part 2 lolKwanza yameshaisha.......tunashukuru kwa mawazo yako cc Abby Olla
Mzee naona umeni cc wakwanza na kadi ya Harusi iwe hivyo basi mzee.Kwa niaba ya la familia yangu na kipenzi changu Curious gal tunachukua fursa hii kuwashukuru kwa michango yenu ya dhati kabisa ambayo tumeifanyia kazi ipasavyo na imetusaidia sana kwa kweli. Mmeongea mengi ya kujifunza na ya kuzingatia kwenye mahusiano na niwahakikishie tu kuwa hamkuwa mkipoteza muda wenu bure kwenye kila comment iliyokuwa ikiandikwa. each comment valued several $ kwetu 😉😉. Sasa tusubiri part 2 kama wadau walivyokuwa wakihitaji. Kuna mengi sana hayakuongelewa kwenye hii part 1 one sasa kaa mkao wa kula. This weekend kufahamu zaidi
Daby Nalendwa luckyline palsa Gregoire's Al-Watan atlas copco espy Heaven Sent Manga ML cocochanel daudthefarmer Neybright miss chagga Ushimen BOMBAY Curious gal
Yaani nakuunga mkono kabisa kuomba ela mwanaume hapana kabisa,japo wenyewe siku hizi ndo waombaji wakubwa yan wananiuzi sana nina boyfriend na yeye kila kukicha ni kuomba ela tu na sijawahi kumpa ila hakomi.kama kuna kitu mwanaume ataniuzi mno ni kuniomba ela kwakwelBahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Unaakili sana kaka mwanaume kuomba ela kwa mkaka nu fedheha kubwa sanaaaaa.Hivi kuna watu wanaomba wanawake pesa? Mi siwezi kumuomba mwanamke hela.aamue kunipa na si mkopo.siwezi kuomba hela kwa mwanamke mimi
Hahahaaaaa!!!! Wavumilie tu maana hamna namna!
Tunashukuru kama mnaendelea vizuri. Na part 2 tunaisubiri kwa hamu kubwa kabisaKwa niaba ya la familia yangu na kipenzi changu Curious gal tunachukua fursa hii kuwashukuru kwa michango yenu ya dhati kabisa ambayo tumeifanyia kazi ipasavyo na imetusaidia sana kwa kweli. Mmeongea mengi ya kujifunza na ya kuzingatia kwenye mahusiano na niwahakikishie tu kuwa hamkuwa mkipoteza muda wenu bure kwenye kila comment iliyokuwa ikiandikwa. each comment valued several $ kwetu 😉😉. Sasa tusubiri part 2 kama wadau walivyokuwa wakihitaji. Kuna mengi sana hayakuongelewa kwenye hii part 1 one sasa kaa mkao wa kula. This weekend kufahamu zaidi
Daby Nalendwa luckyline palsa Gregoire's Al-Watan atlas copco espy Heaven Sent Manga ML cocochanel daudthefarmer Neybright miss chagga Ushimen BOMBAY Curious gal
Umeambiwa usubiri part 2. Kweli ndugu wakigombana shika jembe ukalimeHahahaaaaa!!!! Wavumilie tu maana hamna namna!
Ahasaaa mbavu zangu.Yaani nakuunga mkono kabisa kuomba ela mwanaume hapana kabisa,japo wenyewe siku hizi ndo waombaji wakubwa yan wananiuzi sana nina boyfriend na yeye kila kukicha ni kuomba ela tu na sijawahi kumpa ila hakomi.kama kuna kitu mwanaume ataniuzi mno ni kuniomba ela kwakwel
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app