Nilisoma my opener(her nickname🙂🙂), tatizo hujabalance story sweetpie, najaribu kuweka usawa japo kiduchu tu. Dating ya mwezi mmoja haikutosha mimi kuona userious wako ama wewe kuuona wa kwangu. i did what it takes, kujaribu kupeleka gurudumu but ile ya jana was too much. Nilifumba macho na masikio na kukataa kusikia la mtu. I wanted to prove it by myself na kama kulikuwa na kosa nilitaka nirekebishe.Wewe ndio shahidi wa hilo coz hata nilipoamua kusitisha mawasiliano kwa mara ya kwanza, nilirudi tena. Nikiwa na tumaini jipya. That is the only thing which can prove my seriousness sweetpie🙂🙂🙂🙂🙂