Hehehe, kasemaje vile? Kwamba jimbo liko wazi nigombee nn?Kumbe umerudi tena, shemeji alishatoa conclusion
brain is the beautiful part of the body.
Hehehe, kasemaje vile? Kwamba jimbo liko wazi nigombee nn?Kumbe umerudi tena, shemeji alishatoa conclusion
Natamani kujua I'd yako ya mwanzoits almost a month. One month
Sawa bwana... Kinyang'anyiro chemaHaha.
Mimi ule msemo wa wahenga kwamba mwenzako akinyolewa zako tia maji naenda nao kinyume.
Jimbo limekosa muwakilishi na vigezo ninavyo sasa kwanini nisigombee mkuu. Na kujinadi nipo vizuri sana.
Jaribu bahati yako ila yakikukuta usisite kutueleza ukweli dadazako tutakusaidia hususani gharama za hospital maana shemeji abby hawezi kukuacha salamaHehehe, kasemaje vile? Kwamba jimbo liko wazi nigombee nn?
brain is the beautiful part of the body.
Usipoelewa basi bwana utajua mwenyewe [emoji39]Kwa niaba ya la familia yangu na kipenzi changu Curious gal tunachukua fursa hii kuwashukuru kwa michango yenu ya dhati kabisa ambayo tumeifanyia kazi ipasavyo na imetusaidia sana kwa kweli. Mmeongea mengi ya kujifunza na ya kuzingatia kwenye mahusiano na niwahakikishie tu kuwa hamkuwa mkipoteza muda wenu bure kwenye kila comment iliyokuwa ikiandikwa. each comment valued several $ kwetu 😉😉. Sasa tusubiri part 2 kama wadau walivyokuwa wakihitaji. Kuna mengi sana hayakuongelewa kwenye hii part 1 one sasa kaa mkao wa kula. This weekend kufahamu zaidi
Daby Nalendwa luckyline palsa Gregoire's Al-Watan atlas copco espy Heaven Sent Manga ML cocochanel daudthefarmer Neybright miss chagga Ushimen BOMBAY Curious gal
KumbeHakuna mwanaume anayependa kuombwa hela
Nawewe kwanini unataka papuchi Yangu na siyo Ya Dada zakoKwanini umuombe yeye na siyo wazazi wako?
Ubahili tuNi ishara kuwa unajiuza
mwenzio anategemea sex na mpenzi wake
na wewe unachomekea shida ya pesa hapo hapo...
Mwanamke anaejiheshimu haleti shida ya pesa siku ya kukutana na mpenzi wake
subiri siku ingine kabisa zungumza shida zako
ikija siku ya kukutana...iwe ni mapenzi tu na sio kuuziana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama jamaa kasusa na bado hiyo shida uko nayo naomba uni PM...sina masharti!
Namchukulia form rafiki yangu wala sio mimi mama.Sawa bwana... Kinyang'anyiro chema
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haha eti Abby na mpenzi wake.
Vale hatufiki huko nikisha like comment yake tu makosa yote ananisamehee.
Wana part two basi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Safi sana, ngoja siye washauri wakuu tusubirie part two in espy's voice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wana part two basi.
Ndiyo ushaishia hapo ile pesa isharushwa. Ndiyo maana sipendi kubishana na mwanamke maana mwisho wa siku utabonyeza I agree [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ewaa... wanawaacha wazazi wao wanatukimbilia sisi. Nadhani hawajui majukumu yetu makubwa ya kuhudumia michepuko mingi.
Bebe nang'ho.
Gashinagi otamanile olo niza nateho kwiza olo nate na e mazawadi ga $ 20,000.
Pye ba sengi, pye banamhala, pye baniisale.
Oyo watogwile e Samsung eye aha. Yenayo mashikolo.
Oyo watogwile e handbag, eyo mwaniisale.
Oyo watogwile ma pafyumu ga gharama gete.
Onene nabona unyalali gete kobiza mno wa koja kaya na mazawadi gete gete.
Pye banegene bapandike Tommy Hillfiger ja New York. Eteho ya Manzese ng'wene omo.
Pye bayanda bapandike Air Jordan.
Pye banamhala balohaya kweta mamihayo ga dola bapandike.
Pye banamhala balohaya shilatu sha Clarks olo hamo Bally bapandike.
Pye baanike balohaya mamihayo ga baanike, Zuhura ateho kolema.
Kongono onene mno wa bano, nyanda wa kaya. Nkoro wa bazuna.
Shikolo shimo shiteho henaho.
O walwa.
Kongono hakaya henaho, pye bazunya.
Seba akojiwe namhala.
Sent from my Kimulimuli