Umenena kweli mkuu!Me nahisi Jamaa ndo anajielewa pamoja na kukuelewa ww kuliko unavyojielewa.
brain is the beautiful part of the body.
Umenena kweli mkuu!Me nahisi Jamaa ndo anajielewa pamoja na kukuelewa ww kuliko unavyojielewa.
Wakati mwengine huwa hawaombi hela kubwa MKUU,huwa wanajifanya wanaomba hela ya kukodi boda lakini timing zao ni utume zaidi.Dear naomba elfu 50![emoji53][emoji53][emoji53]
Hawa hadi maombi yahusike.Hamueleweki nyie.![]()
Big up Kwa Mshikaji.
Sitaki kusema chochote hapa zaidi ya hayo niliyosema.....unanijua na unajua ulichofanya sio naomba niishie hapa maana wewe unatumia ID nyingine sitakujibu tenaNow you're talking baby, kwanini usingekuwa na subira na ukauliza wakati ule? Kwanini hata baada ya mimi kukupigia usingevuta subira nianze kuelezea. Uzuri ni kuwa nilikwambia nakutumia ila unipe muda kidogo. Sasa, kosa ni kutokukutumia pesa, kosa ni kutopokea simu? Tatizo Curious gal you're lacking communication skills baby. You should talk to me sasa!! We ain't fighting, we just try explaining the actual scenario ili watu wajudge hun!!
Sawa hata kama ni pesa ya nini sijui ..ila not to that extent... Hapo ukute hata papuchi yako hajawahi ionja lol! BadilikeniKwani uliambiwa hiyo hela ilikuwa kwa ajili ya kwenda kwake????? Acha kuongea tu
IndeedHehe possibly!
brain is the beautiful part of the body.
Aiseee......Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Tubadilike tuwe rangi ganiSawa hata kama ni pesa ya nini sijui ..ila not to that extent... Hapo ukute hata papuchi yako hajawahi ionja lol! Badilikeni
[emoji2] [emoji2]Hawa hadi maombi yahusike.
brain is the beautiful part of the body.
Acheni tabia za kutugeuza kama ATM zenu!Nikupe tu pesa eti kisa umeniahidi papuchi lol!Tubadilike tuwe rangi gani
Sijasema mwanaume anaomba hela but mambo yale mengine mnajua kuomba sana
Poleeee na ukomeeeee(Gwajima's voice)[emoji2] [emoji2] [emoji2]Curious gal hakuwahi kuniomba pesa ama msaada wowote kwa kipindi cha mwezi mmoja tulichokuwa nacho. Na pesa aliyoomba jana niliomba niiforward kwa ndugu yake (offcourse it can be her trick but sikufikiria hivyo) ukiangalia hakikuwa kiasi kikubwa. The problem is nilimwambia asubiri for abt 45 to an hours coz sikuwa kwa position ya kuniwezesha kufanya transaction kwa haraka (i was in the middle of something serious) na sikuwa na simu muda mwingi wakati nafanya hiyo shughuli. Sasa, mwenzangu alipiga sana simu na simu haikupokelewa (xo she concluded kama alivyoleta uzi). A bad thing nilipomalizana na shughuli ili niende kibanda cha MPESA kufanya transaction nikawa natembea huku nasoma text zake alizonitumia. It was disappointments. Nikasema amefikiria vibaya tu, wacha nimpigie simu nimueleweshe. Aiseeee, Nilipokea kejeli kwa sauti kama, yaani nikabaki tu kimya nimesimama namsikiliza yeye. Kafooooka, alipomaliza akakata simu. Nikachoka, ikabdi nigeuke nirudi zangu. Jana pia tulipanga tumeet but kutokana na hyo scenario, kila kitu nikawa THE END......
Huyo wala hakupendi na hakuna mapenzi hapo zaid ya ngono. Mpenzi wako kukuomba hela ni kitu cha ajabu? Ni mambo ya kawaida katika mahusiano. Huyo hata akikuoa jiandae kisaikolojia maana utateseka sana. Hawa ndiyo wale wanaume baada ya kupata watoto anaoa mke wa pili na kukuacha. KUWA MAKINI UNAPOINGIA KWENYE MAHUSIANONilikuwa mbali na sehemu ya kuweka hela na uwa sina tabia ya kuomba hela......
Oohooooooo!!!Did you ask, why sikupokea simu? Ulipoomba ile pesa nilikwambia usubiri baada ya muda gani? Do you know nilikuwa nipo wapi na kwa situation gani? I admit you called several times, and i missed your calls, but ukatuma message ambazo hakuna mwanaume atakayeweza kuzivumilia. But nikaamua kunyanyua simu kupiga tena. Sijaanza hata kuongea kuelezea scenario nzima ukaanza kunishushia mvua ya maneno ya kejeli ambayo tangu nizaliwe hahahaaaaa it was my first time. Nilibaki kustaajabu tu haki ya mungu, nilibaki kimya as usual nikuache utawale jukwaa.
Huyo wala hakupendi na hakuna mapenzi hapo zaid ya ngono. Mpenzi wako kukuomba hela ni kitu cha ajabu? Ni mambo ya kawaida katika mahusiano. Huyo hata akikuoa jiandae kisaikolojia maana utateseka sana. Hawa ndiyo wale wanaume baada ya kupata watoto anaoa mke wa pili na kukuacha. KUWA MAKINI UNAPOINGIA KWENYE MAHUSIANO
Haha wewe jamaa unakesi ya kujibu walai.Poleeee na ukomeeeee(Gwajima's voice)[emoji2] [emoji2] [emoji2]