Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,670
Kama kwel una tabia hii,Mwanaume uliyenaye au kumpata ndoa itadumu,milele na mileleBahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Shikamoo zako uko uliko
nahisi wewe una uprofesa kabisa sio kwa ushahuri huu. Namkasa wangu naomba ruhusa yako nije PM unishauri vizuri
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app