atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,806
"Asimuombe mzazi wake" nini hicho!?
Ndo maana mtafsiriwa Kama wauzaji. Na hii ni mentality mbovu kudhani kwamba kwenye mgegedo nyie ni watoaji na wanaume ni wapokeaji.
Wanawake wengi ni waongo na wamekuwa wadanganyifu, kuwa mvumilivu na usiwe mwepesi kumwomba hela, kuna wakati atakupa bila hata kumwomba (Ila kuna washenzy unaweza usipewe milele)
Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app