Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Ndio uanaume huo, pambana na hali yako.
Nanyie wenyewe muwe mnawaambia ambao tunawapiga nakuondoka,tena muda mwingine eanadhalilishwa nakupewa pesa,pale wanapoona hatuwaoi tunaenda kuoa wanawake wanaojitambua,wasilalamike,badala yake wajue kua ndio uanamke huo.
 
Nilivyosoma thread ya mtoa uzi na ya mwenzake ni misscommunication. Ila suala kuombana pesa ni kitu cha kawaida sana. Siwezi kushangaa ubavu wangu unaomba hela. Usipompa hela unataka nani ampe?
Hebu saidia kuelimisha hao wanaume wenzio labda watakuelewa wewe.
Wakishindwa basi njia ipo nyingine wajiunge nayo tu na hawatolialia tena.
 
Mambo ya ushahidi sio mazuri aiseeh, maadam kila mtu ametoa la moyoni mwake basi yaishe kila mtu ashike ustaarabu wake.

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli basi wamefikia hatua mbaya!

Binafsi nikikuta nimeletewa uzi humu ndani nakausha kama sijaona vile, sasa wakimaliza kusutana hapa watatafutana tena waweke mambo clear?

brain is the beautiful part of the body.
 
Sikatai kuombwa pesa ila iwe kwa kiasi na huridhike na kushukuru ukipewa, kuna wanawake wengine hawaridhiki wala hawashukuru.
Heeeh kama vile tu ambavyo wanaume wengine hawaridhiki hata uwafanyie nini!! Kwahiyo pambana tu na hali yako mkuu na huyo wako asieridhika.
 
Hapa shemeji katuigizia kabisaaaa, maana muda alosema atatuma ulipita sana baadae akawa hapokei hata simu!! Kwanini asitoe taarifa!!! Hii ni futuhi tu shemeji katuchezea.
Atafute zake[emoji3][emoji3]

brain is the beautiful part of the body.
 
Hehehe wamekusikia ngoja waje!

Na hiki nahisi kama wanakijua ndo kinawafanya watuombe pesa kila dakika iendayo kwa MUNGU.

brain is the beautiful part of the body.
Ngoja waje.. wanaboa sana hawa wadada,yaani helahela,utadhani sisi hatuzipati kwa jasho,na wanatakiwa wajue kua wanawake wa aina hii ni wakuwalala nakuoa wengine ambao wanajitambua,na nina uhakika wanawake wa hivi hawatakuja kuisha,wengi wao umri ukienda wanakua single mothers na mwishowe watoto wao wanakuja kurithi hali yakufanya mapenzi na wanaume ili wahongwe hayakama wanavyo vipato.
 
Na hili suala la pesa si kwa mwanaume tu hata mwanamke anaweza akatoa.

Kumbe kuongea koooote kule shida yako ndio ilikuwa hapo!!! Si ungesema tu tangu awali kuwa shida ni kuwa unataka nawe mwanamke wako awe anakupa pesa!!
 
Hawa wawili kinachoonekana hapa ni kwamba mmoja wao hajaridhika/ hajaamini kuwa watafikia ukomavu katika mahusiano yao!
Kama wanategeana vile.

Na hili suala la pesa si kwa mwanaume tu hata mwanamke anaweza akatoa pale inapobidi unless kuna mmoja yuko kwenye uhusiano kwa RIBA.

brain is the beautiful part of the body.
Upo sawa kbsa. Ninavyojua mkiwa kwenye mahusiano unaweza kuomba msaada ktk wakati wote.
Usipompa hela au kumsaidia unataka nani amsaidie? Kusaidiana ni jambo la muhimu sana tena ukizingatia hajawahi kukuomba hela b4 kwann usimpe km unayo?
 
Heeeh kama vile tu ambavyo wanaume wengine hawaridhiki hata uwafanyie nini!! Kwahiyo pambana tu na hali yako mkuu na huyo wako asieridhika.
[emoji19] [emoji19] [emoji19] ndoivo mkuu ila nafikiria kumpga chini.
 
Mambo ya ushahidi sio mazuri aiseeh, maadam kila mtu ametoa la moyoni mwake basi yaishe kila mtu ashike ustaarabu wake.

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Sasa yanaishaje jamani wakati hawajatuambia hiyo id nyingine ni ipi? Au ndio huyu daudi maana limemkaba kweli hili.
 
Nanyie wenyewe muwe mnawaambia ambao tunawapiga nakuondoka,tena muda mwingine eanadhalilishwa nakupewa pesa,pale wanapoona hatuwaoi tunaenda kuoa wanawake wanaojitambua,wasilalamike,badala yake wajue kua ndio uanamke huo.
Yaani mtiane wote wawili ila adhalilike mmoja!! Acha sifa za kijinga dogo. Pambana na hali yako.
 
Kumbe kuongea koooote kule shida yako ndio ilikuwa hapo!!! Si ungesema tu tangu awali kuwa shida ni kuwa unataka nawe mwanamke wako awe anakupa pesa!!
[emoji3][emoji3][emoji3]personally huwa napewa!

Namshangaa mleta uzi kwa nini analilia pesa za wanaume wakati wanawake wenzake wanatoa kwa waume zao.

brain is the beautiful part of the body.
 
Kama ni kweli basi wamefikia hatua mbaya!

Binafsi nikikuta nimeletewa uzi humu ndani nakausha kama sijaona vile, sasa wakimaliza kusutana hapa watatafutana tena waweke mambo clear?

brain is the beautiful part of the body.
Hata mimi najiuliza kama wewe

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Kwani sisi tuliambiwa tuishi nanyi kwa akili? Ukijibu hapo utaona ni nani hana brain.
Sitaki kuamini kama madaktari wanaotibu vichaa hawana akili.

Maana wanatumia akili kubwa sana kuwa-handle!

brain is the beautiful part of the body.
 
Kumbe kuongea koooote kule shida yako ndio ilikuwa hapo!!! Si ungesema tu tangu awali kuwa shida ni kuwa unataka nawe mwanamke wako awe anakupa pesa!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anazunguka tuu mpaka karudi kwenye point

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom