Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Huko kupanga kumeet halafu inabadilika kuomba pesa inakuwaje hapo? Hamna mapenzi hapo tena huyo mwanaume akimbie mpaka avunjike mguu anaishi na Bomu ndani. Be loyal to ur maan. Girl
Hela ni ndogo mno niliyomuomba ila nilimshangaa sana.......uwa sipendi kuomba hela kwa mwanaume ila nilijikuta nimemuomba kutokana na situation niliyokuwa nayoBahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume mwambie kuwa nyie ndo chanzo cha sisi kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna mwanaume anayependa kuombwa hela
Not to that extentConfidence[emoji123] [emoji123] lazima
Yaani hivi viumbe ukiondoa sifa ya kiutwa mama zetu, huwa ni viumbe vya ajabu kuwahi kuumbwa duniani.Ndiyo mkuu sasa kama mtu yupo sanawari na mimi nipo kijenge au hata mto wa mbu halafu tunaonana kwanini aseme nimrushie pesa?
Je kama na mimi yalinifika????Mwanamke anaekupenda kweli wala haombi.unajikuta inatoka tu automatically. Siku akikwambia ujue yamemfika makubwa na ujue amewaza kuanzia asubuhi namna ya kukueleza ili umpe hiyo pesa.
Baadae mnasema wanaume wabaya wanapita na kuondoka kumbe mnajifanyia udalali kwenye miili yenu.Confidence[emoji123] [emoji123] lazima
Na angetoa tu ndio basi tena. Pengine akili ilimwambia utajifanya umesahau kuwa umepigwa assist. Na hapo alikuwa na haki ya kudai.Hiyo sio shida ya pesa ila nilimuomba kwa kuwa nilikuwa mbali na hela nilikuwa nayo sema yeye ndo alikuwa mtu wa karibu angeweza kunisaidia
Wenzako wanapewa bila hata ya kuomba.mwanamke ukishakuwa na tabia kama paka shume hela ya mwanaume anaejitambua utaisikia tu.Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Kwani we unavyomuomba ni mkeo au mama yako?Uniombe hela, kwani mimi ni baba yako....[emoji34] [emoji34]
Yaani uniombe hela, utadhani wewe ni mke wangu....[emoji51] [emoji51]
Hata kama ni shida, ebu acha kusingizia mambo ya umbali wa money transactions...[emoji45] [emoji45]
Kwani hilo tatizo la hela, limekuja ghafla kama kimbunga.....[emoji15] [emoji15]
Ebu acha mambo yako bhana.....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ila nyinyi mkiwa na shida zenu mnataka kupewa bila pingamizi.....OMGUniombe hela, kwani mimi ni baba yako....[emoji34] [emoji34]
Yaani uniombe hela, utadhani wewe ni mke wangu....[emoji51] [emoji51]
Hata kama ni shida, ebu acha kusingizia mambo ya umbali wa money transactions...[emoji45] [emoji45]
Kwani hilo tatizo la hela, limekuja ghafla kama kimbunga.....[emoji15] [emoji15]
Ebu acha mambo yako bhana.....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wanatengeneza mazingira tu unatoa mwenyeweWenzako wanapewa bila kuomba.mwanamke ukishakuwa na tabia kama paka shume hela ya mwanaume utaisikia tu.
Hahahahahaaaaaa yani alinichekesha sana nikamuona wa ajabu ila nashukuru nimeweza kumjua ni mtu wa aina gani na tungepotezeana muda tuNa angetoa tu ndio basi tena. Pengine akili ilimwambia utajifanya umesahau kuwa umepigwa assist. Na hapo alikuwa na haki ya kudai.
Sasa jamaa alicalculate risk ya kuto lipwa na kuchomeshwa mahindi akaona isiwe shida bora akaushe tu