Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Mkuu Kwa Mwalimu mwenye bachelor aliye ajiriwa US kwenye shule za serikali analipwa bei gani kwa mwezi?

Utaratibu wa huko ni kama huku Bongo mpk mwisho wa mwezi?
Walimu wanalipwa hela mbuzi sana, wengi wao wanalipwa around $60,000 - $65,000.

Kutegemea na mazingira,wengine wanalipwa as low as around $40,000 na as high as around $90,000

Cha ajabu, hawatofautiani sana na ma Profesa wa Vyuo wa kozi zisizona misuli.

Halafu nikiangalia Bongo Profesa mtu wa ujikosana nacheka sana.

See How Much Can a High School Teacher Expect to Get Paid?
 
Nimeona ni annual salary.
USD 60,000/12 = USD 5,0000= TSh 11,000,000/=

Je na gharama ya maisha ya kawaida kwa mtu mwenye mtoto mmoja na mke, kodi ya pango kwa nyumba ya kawaida ipoje?
 
Nimeona ni annual salary.
USD 60,000/12 = USD 5,0000= TSh 11,000,000/=

Je na gharama ya maisha ya kawaida kwa mtu mwenye mtoto mmoja na mke, kodi ya pango kwa nyumba ya kawaida ipoje?
Inategemea na mji uliopo na maisha unayotaka kuishi.

Uzuri wa Mnyamwezi kila kitu kipokwenye mtandao anagalia hapa Cost of Living in United States.

Ila huku kwetu kwenye leafy suburbs hatutaki gozigozi, nyumba moja, magari mawili, mke na mtoto mmoja, summer camp, movies, restaurants, trips to the beach, mizinga bongo etc kutegemea na utakavyojipanga, kutumia $10,000 kwa wiki au mwezi sijambo la ajabu.

Mwezi utakaonunua 65 inch LG OLED TV kabla ya mahesabu mengine ushatumia takriban $ 5000.

I just refurnished my living roomand morning room and spent a cool $5,000 just like that, and I was being super frugal.
 
Ila huku kwetu kwenye leafy suburbs hatutaki gozigozi, nyumba moja, magari mawili

Just got home few minutes ago.

Does this qualify as a leafy suburb?

Taken about half an hour ago.

20170709_163954.jpg

20170709_163944.jpg
 
Atakama una msambwanda mwanzonii tuu ukaleta abar za pesaa pita kushoto[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]akuna men anaependa kuombwa pesaaa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwanamke masikini masikini anayeomba omba hela simtaki.

Kwa sababu mimi si masikini masikini ninayeombaomba hela.

Ila bi Zuhura nimempa kadi yake ajinafasi anavyotaka.

Na hana ulimbukeni wa kutokwa macho mtoto wa watu.

Al-watan.

Acha kutuzuga hapa huna hela wewe ndio maana una maneno mengi kama mwalimu mmoja wa history aitwae Kinchuri pale Mwanza secondary.

Huna mabovu wewe acha mikwara hata huyo bi Zuhura naskia ndio anaekulipia kodi ya pango!

Shukuru kumpata bi Zuhura vinginevyo ungekuwa usharudi huku kula vumbi la chamwino.

Ahaaaa....Tombinah.
 
Inategemea na mji uliopo na maisha unayotaka kuishi.

Uzuri wa Mnyamwezi kila kitu kipokwenye mtandao anagalia hapa Cost of Living in United States.

Ila huku kwetu kwenye leafy suburbs hatutaki gozigozi, nyumba moja, magari mawili, mke na mtoto mmoja, summer camp, movies, restaurants, trips to the beach, mizinga bongo etc kutegemea na utakavyojipanga, kutumia $10,000 kwa wiki au mwezi sijambo la ajabu.

Mwezi utakaonunua 65 inch LG OLED TV kabla ya mahesabu mengine ushatumia takriban $ 5000.

I just refurnished my living roomand morning room and spent a cool $5,000 just like that, and I was being super frugal.
Ba Zuhura hahaha
Al-Watan bhana

Bongo bahati mbaya Hollywood yetu masaki.
 
Huyo atakua anatoka Chama chetu cha mabahili. (chamakumata)

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Al-watan.

Acha kutuzuga hapa huna hela wewe ndio maana una maneno mengi kama mwalimu mmoja wa history aitwae Kinchuri pale Mwanza secondary.

Huna mabovu wewe acha mikwara hata huyo bi Zuhura naskia ndio anaekulipia kodi ya pango!

Shukuru kumpata bi Zuhura vinginevyo ungekuwa usharudi huku kula vumbi la chamwino.

Ahaaaa....Tombinah.
Wewe una machungu ya Magufuli. Nitafute PM nikupeleke likizo Bahamas ukale bata.

Halafu usimtaje bure Bi. Zuhura bila ruhusa nina wivu wa Mpemba na hasira za mkizi.

Mwenzako aliomba kuona portfolio hivi hivi akifikiri natania,alizima fegi mwenyewe nilivyomuonyesha mambo niliyofanya kwa masa matatu tu.

Kalagabaho. Zilongwa mbali, zitendwa mbali,sakala kandumbwa.
 
Umebugi sehemu ndogo sana, wee mpe papuchi then akiwa kwenye shoo kali ya kukata na shoka ndio umuombe hela uone kama hatokupa na wallet yote, password ya Atm pamoja na airtel money, m pesa, tigo pesa.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Hiyo sio shida ya pesa ila nilimuomba kwa kuwa nilikuwa mbali na hela nilikuwa nayo sema yeye ndo alikuwa mtu wa karibu angeweza kunisaidia
Mnajidai mko mbali na pesa kumbe ndio style ya kuomba hela,kwan huyo mtu mwenye shida ya hela huwezi kumwambia kuwa upo mbali na hapo ulipo huna hela kwenye sim ila utakaporudi mazingira rafiq basi utamtumia hela!?,achen ujanjaujanja bhana msipojirekebisha tutaendelea kuwakimbia tuu hamna namna...

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Mna mambo ya ajabu sana kuna dada nilikuwa nae kwenye mahusiano kilichosababisha nikaachana nae ni hio tabia ya kuombaomba,siku hana shida yeyote nnaweza nikamtext akakaa kimya kama hajaona vile au akajibu inshort,lkn siku akiwa na mashida yake hizo text zake ss unaweza ukasema huyu si ndio mke aiseee,na mm nikawa nimeshamjulia siku tukichart then nikianza kuona oh baby nimekumiss sijui ni hapo lzm mwishon usikie "luv nikwambie kitu"

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Nimeshampotezea muda tu.......mimi hajaniboa kutonipa hela ila kwanini alikuwa hapokei simu yani hapo ndo nikamuona huyu hajielewi
Acha kujipa moyo ila hali halisi ndio aliona ndio style kutaka kuchukua hela,ww utamuombaje mtu hela kwenye sim na mna mpango wa kuonana kama sio kutaka kumuuzia,na labda mshikaji alishakuweka kwenye kundi la wife material then bila kutarajia anashangaa mzinga wa haja huo...

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom