Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Ila nyinyi mkiwa na shida zenu mnataka kupewa bila pingamizi.....OMG
Ndio lilikuja ghafla na sikumlazimisha anipe sema alichonishangaza mimi nampigia simu nimwambie mambo mengine yeye anaogopa kupokea yani alinichekesha kwa kweli maana nilimuona hajielewi
Mwanamume haombi hela kwa mwanamke.
Haya ni mambo wanayo fanya wavulana.
Nimesha sema sitoi hela....[emoji34] [emoji34]
 
Ni ishara kuwa unajiuza
mwenzio anategemea sex na mpenzi wake
na wewe unachomekea shida ya pesa hapo hapo...

Mwanamke anaejiheshimu haleti shida ya pesa siku ya kukutana na mpenzi wake
subiri siku ingine kabisa zungumza shida zako
ikija siku ya kukutana...iwe ni mapenzi tu na sio kuuziana
Jibu zuri na limenyoka
 
Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.

Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.

Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.

Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.

Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Hayana kichwa wala miguu, mmezidi dhiki nyinyi mnaomba km vipofu mnapenda maisha yenu yaende kupitia migongo ya wanaume na hamwishi vijisababu vya kuomba hela, kuhusu wanaume kuwa ndo ssb ya michepo hilo c kweli tamaa zenu ndo ssb ya michepuko, utakuta mke wa mtu anakushobokea kwa style za aina iliyo dhahiri kuwa anakutaka kisa anataka dira aende kitchen party au send off, harusini na kwengineko, next time
 
Mwanamume haombi hela kwa mwanamke.
Haya ni mambo wanayo fanya wavulana.
Nimesha sema sitoi hela....[emoji34] [emoji34]
Sijasema mwanaume anaomba hela but mambo yale mengine mnajua kuomba sana
 
Kuna mazingira mtu akikueleza ni lazima umuelewe. Huyu anasema walipanga kukutana halafu mmmhh sijiui ikawaje.hapo mmh kuna utata.
Ni akili zenu mmeziweka negative tu.
Mazingira yapi saa? Maana mazingira yanatofautiana. Basimkianzisha mahusiano muwe mnakuwa clear umuelezee mwenzio kuwa "mazingira yafuatayo ndio nitayaelewa ukiniomba pesa".
 
Ila wanawake mmezidi kuomba hela jamani, hii tabia mmeambukizana wapi!? Yaani mfano wiki hii si chini ya wanawake sita walioniomba hela tena wengine sina hata mazoea nao
 
Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.

Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.

Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.

Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.

Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Stress hzo!
 
Labda ulikuwa una tatizo kweli!wakati wa uitaji iyo ela ndio tatizo!bora ungefika eneo ka tukio na kuomba ela..vinginevyo...!
 
Mnajifarijigi hivyo hivyo wakati kiuhalisia mnaomba sana tu.
Muulize kana namuombaga...[emoji34]
Na akikubali, nitatembea bila nguo tokea Ushirombo hadi Chato...[emoji12]
 
Hahahahahaaaaaa yani alinichekesha sana nikamuona wa ajabu ila nashukuru nimeweza kumjua ni mtu wa aina gani na tungepotezeana muda tu
Ah....kwa sababu co mtoaji ndio angekupotezea muda eeeee sawa tumekuelewa dada hii kauli yko imenishtua sana naona km jamaa machale yalimcheza hv big up to him ingawa kwa upande wng siungi mkono mwanaume kutomsaidia mpnz wke ple inapoonekana kweli ana shida mwanaume anaejielewa hasubiri kuombwa na siungi mkono pia mwanamke ombaomba mwanamke anaejielewa haombi ombi ila "anaomba" kuna tofauti hpo kati ya kuombaomba na kuomba ple inapobidi kweli!
 
Back
Top Bottom