Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Na uzuri ni kuwa kila mmoja anajiona "griti sinka"🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa humu jukwaani, Great thinker ni mtu mwenye uelewa mpana wa mambo mengi ya kawaida na hata yale ya kisayansi. Mtu anayeweza kutoa majibu kwa yale wengine wanaona hayana majibu au kuelezea mada kwa ushahidi na sio kwa porojo....
Lakini pia ni mtu ambaye hata kukitokea ubishi anajibu kwa hoja na sio kwa matusi;
na sifa muhimu zaidi...huwa hana msamiati unaitwa matusi....
 
Lakini pia ni mtu ambaye hata kukitokea ubishi anajibu kwa hoja na sio kwa nguvu au kwa matusi;
na sifa muhimu zaidi...huwa hana msamiati unaitwa matusi....
Hii tafsiri umeitoa wapi?
 
Kwa humu jukwaani, Great thinker ni mtu mwenye uelewa mpana wa mambo mengi ya kawaida na hata yale ya kisayansi. Mtu anayeweza kutoa majibu kwa yale wengine wanaona hayana majibu au kuelezea mada kwa ushahidi na sio kwa porojo....
Lakini pia ni mtu ambaye hata kukitokea ubishi anajibu kwa hoja na sio kwa matusi;
na sifa muhimu zaidi...huwa hana msamiati unaitwa matusi....
Je mtu akiwa na matusi ndo inamuondolea kigezo cha kuwa great thinker?
 
Kwa sisi wenye kuleta mada fikirishi, na kwa faida ya member ambao wanahitaji wa kupata suluhu ya jambo, au kupata like minds, ambao wanaweza kujadili vitu kwa mapana. Inaweza hata kuwa mwanzo wa kupata idea zenye kisaidiana kwenye hustle zetu za kila leo.

Naomba leo tuwekane wazi ni wakina nani waki comment wanakupa ile activation ya kufikiria zaidi?

Mtag tumjue na ikiwezekana mwekee na u genius wake unapotea wapi. Ili tujue namna ya kumtumia endapo unataka kujua kitu katika angle hiyo..

Tiririkeni wakuu.
Kwangu mimi, Great Thinker ni yule anayejadili hoja kwa mantiki, ushahidi na mtazamo mpana bila kushambulia watu. JF ina members wengi wenye uwezo huo, na mara nyingi hoja nzuri ndiyo hunifanya nikubali mtu ana fikra pana kuliko jina lake. 👏
 
Back
Top Bottom