Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

hivi hii dhana ya kuitana ma griti sinka ilitokana na nini?

JF ni "User generated content", wanachama ndio watoa taarifa, watoa habari, watoa maoni, wafichuzi wa maovu, hoja mbalimbali za kunoa bongo za kila nyanja. Kazi ya mods, ni kuhariri na kusimamia jukwaa tuu na sheria zake.

Kahusu swali lako ni kwamba; Jukwaa hili lilikuwa linajitambulisha kabisa kuwa ni "The home of great thinkers".
Na ni kweli jukwaa hili kwa kipindi flani likawa ni kitovu cha fikra, mijadala ya kujenga, tafiti mbalimbali. Kutokana na mijadala hiyo JF, ilichukuliwa kama sehemu ambayo watu wenye upeo mkubwa, uwezo wa kujenga hoja, kunoa bongo na ufichuzi wa maovu ndio kwao.

Kwa hiyo "Great thinkers" ni dhana iliyojengwa na jukwaa hili hili kutokana na mijadala, fikra pevu, uwezo wa kujenga hoja, uelewa mpaja wa wanachama wakw kwemye mambo mbalimbali.

Ndio dhana hiyo ikajengeka "JamiiForums; The home of great thinkers". Hii ilikuwa ni utambulisho rasmi kabisa wa jukwaa hili miaka flani. Ukiingia tuu ulikuwa unakutana na kauli mbiu hiyo, ambayo ilikuwa inaakisi mijadala na wanachama.
 
Mada kama hizi kwa mtu ambaye ni Great thinker hawezi kuzipokea bila ushahidi.
Hapa inatakiwa ukimtaja mtu uweke na ushahidi wa mada zake mbili au tatu zilizokufanya wewe uone ni Great thinker ili na wengine wakuunge mkono; hii kutaja taja tu; haiendani na Great thinker....
Sasa huo muda wa kusaka thread mbongo anatoa wapi, kukiwa labda ataje then watu waaprove au wakatae that's it.
 
JF ni "User generated content", wanachama ndio watoa taarifa, watoa habari, watoa maoni, wafichuzi wa maovu, hoja mbalimbali za kunoa bongo za kila nyanja. Kazi ya mods, ni kuhariri na kusimamia jukwaa tuu na sheria zake.

Kahusu swali lako ni kwamba; Jukwaa hili lilikuwa linajitambulisha kabisa kuwa ni "The home of great thinkers".
Na ni kweli jukwaa hili kwa kipindi flani likawa ni kitovu cha fikra, mijadala ya kujenga, tafiti mbalimbali. Kutokana na mijadala hiyo JF, ilichukuliwa kama sehemu ambayo watu wenye upeo mkubwa, uwezo wa kujenga hoja, kunoa bongo na ufichuzi wa maovu ndio kwao.

Kwa hiyo "Great thinkers" ni dhana iliyojengwa na jukwaa hili hili kutokana na mijadala, fikra pevu, uwezo wa kujenga hoja, uelewa mpaja wa wanachama wakw kwemye mambo mbalimbali.

Ndio dhana hiyo ikajengeka "JamiiForums; The home of great thinkers". Hii ilikuwa ni utambulisho rasmi kabisa wa jukwaa hili miaka flani. Ukiingia tuu ulikuwa unakutana na kauli mbiu hiyo, ambayo ilikuwa inaakisi mijadala na wanachama.
ooh kumbe!,, asante kwa ufafanuzi
 
Sasa huo muda wa kusaka thread mbongo anatoa wapi, kukiwa labda ataje then watu waaprove au wakatae that's it.

Ukiandika jina lake tu hapo kwa search.... mada zake zinakuja na unatuwekea ushahidi.... tofauti na hapo unakosa sifa ya kutaja mtu kama Great thinker....
Ukishasema mada ni ya Great thinker...ni vizuri tuende na mtazamo wa Great thinker...
 
Kwa sisi wenye kuleta mada fikirishi, na kwa faida ya member ambao wanahitaji wa kupata suluhu ya jambo, au kupata like minds, ambao wanaweza kujadili vitu kwa mapana. Inaweza hata kuwa mwanzo wa kupata idea zenye kisaidiana kwenye hustle zetu za kila leo.

Naomba leo tuwekane wazi ni wakina nani waki comment wanakupa ile activation ya kufikiria zaidi?

Mtag tumjue na ikiwezekana mwekee na u genius wake unapotea wapi. Ili tujue namna ya kumtumia endapo unataka kujua kitu katika angle hiyo..

Tiririkeni wakuu.
Wewe apo!
 
Ukiandika jina lake tu hapo kwa search.... mada zake zinakuja na unatuwekea ushahidi.... tofauti na hapo unakosa sifa ya kutaja mtu kama Great thinker....
Ukishasema mada ni ya Great thinker...ni vizuri tuende na mtazamo wa Great thinker...
Mimi naona muda mwingine mawazo yao na ubora wa kufikiri wao upo kwenye comments hasa hasa na wasomaji ndo wanaelewa kwa ukubwa zaidi
 
Back
Top Bottom