nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Ahadi ni deni....nimerudi na majibu yangu Bishanga sijakupotezea.
Nitawataja wachache tuuu ambao kwakweli nikifungua thread yoyote bila kuona michango yao roho huwa inasononeka sanaaaaa na kukosa usingizi kabisaaa. Wa kwanza kabisaaaa KONGOSHO akifatiwa na:- Bishanga, NN,Husninyo, SL, Smile, Asprin, Mtambuzi(Nyie watu huwa mnanifanya nipaliwe kama na kitumdomoni serious!), AfrdoD, The finest, Lizzy, Mwali, Preta, Mamndenyi,King'asti, AshaD, Kipipi(naomba niwe nakuita Kipipi wangu,haijalishi jinsia yako....aiiii wewe kubaliii basi) My husband(anajijua)+mke mwenzangu(anajielewa), The Boss(huyu sijui kapotelea wapi siku hizi).

% kubwa ya wana JF nawapenda kwa ujumla ni wachache huwa wananikwazaaaa ila huwa nawapotezea......ni mambo ya kawaida katika jamiii.
Bishanga rudi hapa haraka sana utuambie unaemgwaya nani?????
 
Ahadi ni deni....nimerudi na majibu yangu Bishangasijakupotezea.
Nitawataja wachache tuuu ambao kwakweli nikifunguathread yoyote bila kuona michango yao roho huwa inasononeka sanaaaaa na kukosausingizi kabisaaa. Wa kwanza kabisaaaa KONGOSHO akifatiwa na:- Bishanga, NN,Husninyo, SL, Smile, Asprin, Mtambuzi(Nyie watu huwa mnanifanya nipaliwe kama na kitumdomoni serious!), AfrdoD, The finest, Lizzy, Mwali, Preta, Mamndenyi,King’asti, AshaD, Kipipi(naomba niwe nakuita Kipipi wangu,haijalishi jinsi yako....aiiii wewe kubaliii basi) My husband(anajijua)+mke mwenzangu(anajielewa), The Boss(huyusijui kapotelea wapi siku hizi).

[/QUOT]
Yummy,ahsante kwa kutambua uwepo wangu,baada ya hapo naomba nijilipue kama ifuatavyo:
ninayemkubali: anajifahamu.
Ninayemgwaya: Lizzy
Sababu za kumgwaya:
1.She is un predictable,hakawii kulipuka
2. Ana short fuse
3. Lovely akiwa akiwa kwenye good mood
4.Sa ingine kana dharau
Naomba nikiri sina ushahidi kama ashawahi kumsababishia mtu ban,but i will not be surprised.
 
hivi wewe bishanga hadi nimedondosha sketi hunioni???

Hivi na wewe unawaroga??

Ujue mie nakugwaya sana wewe?
Hasa ukiwa kifua wazi.

Kha! kumbe?
 
Back
Top Bottom