sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Ntakutajia badae usijali.Ni nani anayekuboa mpenzi wangu nipo kwa ajili yako
Ntakutajia badae usijali.Ni nani anayekuboa mpenzi wangu nipo kwa ajili yako
kwani siri? kwa hiyo wote wanaomsegelea SL una feel uncomfortable kwao?
Nani baby?...lol. Ingekuwa zamani ndio Bishanga kauliza hili swali ningekutaja kwenye nnaemgwaya.
Hilo sio swali Bishanga lol.kwani siri? kwa hiyo wote wanaomsegelea SL una feel uncomfortable kwao?
kwa hiyo siku hizi hunigwai tena? huo ujasiri umeutoa wapi wewe?
Umesahau kama ulinifundisha mwenyewe?kwa hiyo siku hizi hunigwai tena? huo ujasiri umeutoa wapi wewe?
Umesahau kama ulinifundisha mwenyewe?
Honey wala Ngabu hana tatizo kabisa, usiwe na wasi. Ni kakangu wa hiari.Ngoja niangalie mtaishia wapi
Honey wala Ngabu hana tatizo kabisa, usiwe na wasi. Ni kakangu wa hiari.
100% , yaani hapa nasubiri mtu anichokoze nije kumshtakia kwako! Najidai ati.heheheheee nakumbuka.
zoezi lilifanikiwa
Honey wala Ngabu hana tatizo kabisa, usiwe na wasi. Ni kakangu wa hiari.
Ulimkuta anaselebuka wapi?Ngabu namjua huwa ni mselebukaji anaruka majoka huyo
Kitambo, hukuona sired yake ya uchumba humu?kheee! ka baby huyo jamaa ni honey wako toka lini?
mimi wala cjajua nachukia nini
Hahaha! Konnie wala hujakosea lol.nenda kula si hasa
utajua wanakouza nyama panaitwaje.
Mie nikipaskia tu, najiona nachemsha beaker kwa bunsen burner.
sketini au kapturani.
kwa hiyo siku hizi hunigwai tena? huo ujasiri umeutoa wapi wewe?
kheee! ka baby huyo jamaa ni honey wako toka lini?