nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Hakuna ambaye ncyempenda humu Chitchat. Wengne nkikutana nao katika lile jukwaa lnaloongoza kwa kugawa ban(Siasa) huwa wananiboa na kunichefua na huwa cwapend tukiwa kule ila nkiwa nao humu huwa nawapenda sana. Humu 2po kirafiki zaidi, hakuna ubshan wa itikadi za kisiasa au kidini.
1 love to u all..
 
shem tangu nikusifie kwenye ule uzi wangu wa CONE...umetokea kuzipenda...habari yako lakini!mbona hujanitaja kama unanigwaya?

vp pacha? U hali gani? Napga cmu yako haipatikani. Nini tatizo? Au ndo Ashura wa Makumbusho keshaiteka?
 
shem tangu nikusifie kwenye ule uzi wangu wa CONE...umetokea kuzipenda...habari yako lakini!mbona hujanitaja kama unanigwaya?

shem mi mzima, mi kiukweli koni nazipenda sana na huwa natenga budget yake kila wiki. Lol.
Shem ninavyokupenda nikugwaye!! Si bora nijiuzulu jf.
 
Ndo nimemshusha mda huu hapo karibu na nyumbani. Anafka mda c mrefu
Asante sana..napenda madereva tax waaminifu kama wewe. Kesho uje mapema kumpeleka house girl wangu sokoni.
 
Yummy,ahsante kwa kutambua uwepo wangu,baada ya hapo naomba nijilipue kama ifuatavyo:
ninayemkubali: anajifahamu.
Ninayemgwaya: Lizzy
Sababu za kumgwaya:
1.She is un predictable,hakawii kulipuka
2. Ana short fuse
3. Lovely akiwa akiwa kwenye good mood
4.Sa ingine kana dharau
Naomba nikiri sina ushahidi kama ashawahi kumsababishia mtu ban,but i will not be surprised.
Kaaaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom