mtaka cha uvunguni haachi kuinama na atafutaye hachoki akichoka jua mambo yameitika,all the best mkuu.mimi naangalia kilicho andikwa siangalii id za watu sema kuna binti natamani nimfahamu ikiwezekana tuoane kama atakua bado hajawahiwa. anajijua coz pm kwake sichoki kumtumia. kwakua nipo serious naye siwezi mtaja coz hatajiskia vizuri.
hahahahaaaaaa Canta binti Mtambuzi,mzee anaumia yeye ndo alikuwa wa kwanza kumjulia hali hindu mandal....naelewa mkuu....Mkuu, hii maneno imekuja wakati muafaka niweke duku duku langu..............
Huyu Binti yangu huyu...............Nitamtaja mimi!
Mie namtaja bana potelea mbali..............Anaitwaa................CANTALISIA$........!
Huyu Binti mimi namgwaya kweli, maana kila nikiweka VIJIMAMBO vyangu hapa JF vya ujanani, lazima anitie tumbo joto na kuni-BLACK MAIL.
Ndio maana sasa nataka kubadili ID yangu ili asinijue tena................Tena naomba umwambie anikome kunifuata fuata......LOL..................... JUST KIDDING
Mkuu ukisoma hii maneno DELETE.
Mamndenyi huwezi amini,humu jf kama vile watu wanavyoweza kujenga upendo through key board hadi wakaoana na vice versa ipo (tena sana tu) watu wanaweza kuchukiana ni hatari,hujui humu jf kuna watu ni paka na panya na wanatamani wakutane wazikunje?utamchukia je mtu ambaye haumjui mkuu.
unaona sasa? hayo ndo maneno mtoto wa kiume!Bila kujali itifaki wala upendeleo. Jinsia ikizingatiwa kwa imani ya babu kutokana na miandiko yao.
1. Kongosho asali ya ODM
2. AshaDii shem la Ukwee
3. Lizzy dada langu
4.Michelle wa mapacha yangu ma3
5. Cantalasia binti Mtambuzi
6. Mwali (sifa inahifaziwa)
7.Sweetlady
8. MwanajamiiOne
9. Blaki Womani
10. Preta
11. Sweetlady
12. Afrodenzi kijukuu kiteule
13. ZionDaughter mchumba wa babu
14. King'asti
15. Russian Roulette mwoga wa kunilamba ban
16. bht my real Mamushka
17. Amyner ka ukweee
18. Obsesd kijukuu kivivu
19. Dena Amsi mtoto mtukutu
20. Fixed Point mama mkwe wangu
21. Lily Flower jidada la ODM
22. Kabakabana kjukuu chema cha ODM
23. Smile kijukuu kidekaji
24. Husninyo kijukuu cha kambo tokea mpwapwa
25. ............
26. Nimemsahau kiduchu damn me!
27. Anajijua sataki kumtaja hapa
28. Bado sina uhakika wa jinsia yake
29. Badili tabia
30. Mamndenyi... atakuwa wa kwetu Rombo huyu...
Vidume:
1. Klorokwini
2. Felo tablet
3. Fellow Tablet
4. klorokwini
5. klorokwini
6. FT
Naowaogopa?
Hamna
Nisiowapenda?
Invizibo
Alikuwa kila akija kuniona anadai SALIO..............................LOLhahahahaaaaaa Canta binti Mtambuzi,mzee anaumia yeye ndo alikuwa wa kwanza kumjulia hali hindu mandal....naelewa mkuu....
Sina nnae mgwaya, nawapenda karibu wote ila kuna mdada humu simjui, hanijui bt namchukia mpaka nikiona post zake natamani kuzifuta!wamgwaya nani weye?
Sina nnae mgwaya, nawapenda karibu wote ila kuna mdada humu simjui, hanijui bt namchukia mpaka nikiona post zake natamani kuzifuta!
Sina nnae mgwaya, nawapenda karibu wote ila kuna mdada humu simjui, hanijui bt namchukia mpaka nikiona post zake natamani kuzifuta!
thanks for your honesty SL,msalimie nitts,mwambie Easter njema.
Nani baby?...lol. Ingekuwa zamani ndio Bishanga kauliza hili swali ningekutaja kwenye nnaemgwaya.ka baby