Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,494
- 145,857
wewe hamisi... Koni imehusu hapa?
Umeila leo?
wewe hamisi... Koni imehusu hapa?
Kunigwaya maana yake ni kunila koni?
kuna zawadi kwa watakaotajwa/taja?
Hivi mumeo mbona huwa anakukimbia mara kwa mara?Una hamu ya kupigwa makofi wewe!
eh kumbe we ni me?
Siku zote nadhanigi ni ke.
Umeila leo?
nimekula nusu koni. B'dae naimalizia.
Kunigwaya maana yake ni kunila koni?
Nyie watu wawili endeleeni nipate kulala vizuri usiku wa leo.....ngoja nimlaze:baby: wangu kabis niwe huru.
Ananikmbia wapi?Hivi mumeo mbona huwa anakukimbia mara kwa mara?
@ Yummy sante sana!
Ubarikiwe.
Wewe umeila leo?
:amen: na wewe zaidi maana unanifurahisha mnooo mpaka nakuota looh!
Ilikuwa tamu au chungu?
Nyie watu wawili endeleeni nipate kulala vizuri usiku wa leo.....ngoja nimlaze:baby: wangu kabis niwe huru.
hahahaha! Wewe yummy.. Hebu endelea na hamisi mi natoka.
@bishanga, mimi kuna mtu mmoja tu ndio aliwahi kuniuzi tangu nijoin jf, kiukweli nilimgwaya ila mwisho wa siku tuliongea yakaisha.
Ahsanteni wote ambao mnaona siwagwayi! Lol, ninaemgwaya itabidi ajibebe maana sina namna ya kumfurahisha.