Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
images

WARAKA WA KWANZA WA C.T.U KWA WANA CHIT CHAT WOTE

Wakuu habari zenu poleni kwa majukumu ya siku nzima

Leo sina nia ya kuigawanya chit chat wala sina nia ya kuipa msuko suko la hasha …
Ila nia yangu ni kuwaambia wana chit chat wote kuwa mna maadui wawili wakubwa wako ndani yenu wanawatafuna…
Wote nadhani mnakumbuka siku ya jumapili ya tarehe 20 mwezi huu muda wa saa nane jinsi nilivyochafua hali ya hewa ya chit chat kwenye thread ya Mzungumndali/ Marry hunbag….
Niliwaponda sana chitchat kuhusu wao kuwa majobless, wasiokuwa na kazi wala elimu…na wanawake niliwasema kuwa sio wazuri….
Nadhani mnakumbuka
UHUSIANO WANGU NA CHITCHAT
Kwanza napenda kuweka wazi mimi kama mimi chitchat niko against nao sana na napenda kuwa challenge sana watu hawa wa chitchat katika thread zao ila napenda tu niweke kuwa NINA UHUSIANO MZURI NA MEMBERS WA CHITCHAT
Kwani huwa tunashirikiana nao mambo mengi katika vitu mbalimbali…katika forums mbalimbali zilizomo humu jamvini
Kwanza ieleweke kuwa sina inyongo chochote na wana chitchat…. Ila napenda kuwa againts kwa baadhi ya mambo ambayo kwangu huwa nakuwa nina mtazamo tofauti.. na nitaendelea kuwa challenge… sitachoka… mnizoee
UHUSIANO WANGU NA MODS
Kwanza kabisa napenda kuwaambia kuwa mods wamekuwa fair kwangu kwa kipindi chote nilichokuwa ninajiingiza kwenye matatizo na chitchat kwani mods wanajua kabisa uhusiano wangu na wana chitchat kuwa ni mzuri I ndio maana huwa wanan iuliza mara kwa mara kuhusu hivi vitu ninavyopost na huwa navitolea ufafanuzi mzuri na namshukuru mungu kuwa modes wananielewa

WIMBI LA ID MBILI
Wimbi hili la id mbili limekuwa likiitafuna sana chitchat ila kwa mimi naomba niseme tu wazi kuwa SINA ID MBILI mimi ni msafi ninatumia ID moja tu ya C.T.U
Kwani wapo watu wanaotumia ID mbili wao moja wanajifanya ni wapenzi wa mambo ya chitchat ila nyingine utakuwa yeye ni kuharibu tu …. Na kuchafua hali ya hewa
Mimi naomba nieleweke wazi kuwa sina ID mbili nina double personality naweza kubadilika wakati wowote na kwa muda wowote kwenye post hii naweza kukushushua kwenye post nyingine naweza kukushauri , naweza ku act as a child, naweza kuact as a gentlemen… kwa kifupi my level of maturity ina depend na mtu nayeongea nae kwa wakati huo..sihitaji id nyingine kuongea negative na sihitaji id nyingine kuongea positive

MAADUI WAKUBWA WAWILI WA CHITCHAT
Hawa maadui wakubwa wawili wa chitchat wako humu siku nyingi sana na wote ni ma JF SENIOR EXPERT MEMBERS mmoja ni MWANAMKE ambaye yuko huko Dar na mwingine ni mwanaume ambaye yuko huku MKOANI ila mkoa huo ni JIJI
Hawa maadui ni wa siku nyingi na wako sana chitchat, ni MAARUFU kiasi kwamba thread nyingi zikianzishwa huwa watu wana wa mention sana….
Na wao huanzisha thread zao wenyewe…
Wameshiriki katika activities nyingi sana kama vile
Miss chitchat
Kukutana kwenye mikutano mbali mbali
Kusafiri

Katika kuchangia, kuandaa na kufanikisha na hata kushiriki katika activities hizo….
Hao wamekuwa ni mstari wa mbele sana katika kuchangia mambo mbali mbali ya chitchat ila ni MAADUI WAKUBWA SANA WA CHITCHAT na they work as a team
NIMEWAJUAJE?
Wiki kama tatu zilizopita nilipost kwenye thread moja iliyokuwa ikisema “chitchat inashusha hadhi ya jf” kama sikosei
Nilivyopost kukawa kuna majibizano na member mmoja hapa anayeitwa WATU08
Baada ya majibizano haya nikaona kuna mtu amenitumia message kwenye email yangu (nilishawahi kumpa email yangu huyu mdada kipindi fulani nilivyokuwa kwenye jukwaa la business niliweka thread moja na akawa ana interest ya kufanya biashara na mimi nikampa email yangu na tukawa tunachat japokuwa hatukuonana kwani bei ya kitu nilichomwambia kuwa nitamfanyia kilimkimbiza
Kufungua nikakuta ni yule Member anayetumia jina la kike wa DAR nikashtuka nikihisi amenichamba kwani anasifika kwa kuchamba watu humu ambao wanakuwa against na chitchat
Kufungua nikakutana na ujumbe huu
“mkuu nimeona post yako kuhusu chitchat nimependa sana ulivyowapa makavu hawa chitchat.. sometimes wanaboa”
Mimi nika reply nikasema
“mkuu ila wewe si mmoja wao tena ulishiriki kumchamba member mmoja wa chitchat (nikamtaja jina) miezi kadhaa iliyopita member huyo nadhani mna kumbukumbu nzuri member aliyechambwa ni yule member ambae AVATAR yake kwa kipindi hiko ilikuwa ni jamaa kavaa kofia huku amenuna kwa kupindisha mdomo wake
Akacheka sana na kusema ile geresha tu mkuu hawa mburura huwa nakuwa nao sana tu ila siwafagilii wala nini..basi tu nitafanyaje

Tuliendelea kuchat kwa muda mrefu ila kuna neno lilikuwa lina ring bell kichwani mwangu
“basi tu nitafanyaje”…. Nilijiuliza maswali mengi huyu ni nani?
Anataka nini kwa chit chat?
Je ni mwandishi wa habari?...
Je ni muuza sukari…
Je ni mwanausalama…??
Target ni chitchat…??
Je kuna mwanajf .. anamfuatilia…??

Mbona yeye anakuwa ndio yuko mstari wa mbele kwenye kuanzisha ma events mbali mbali?
Anakuwa kama analazimisha kukutana fulani na members wa chitchat…
Je kama ni mwana usalama kuna member yeyote wa chitchat alishawahi kuchafua hali ya hewa kule siasani?? Nikawa najiuliza…

Kama ni mwandishi wa habari je ni za udaku? Chitchat kuna ma celeb?
Au anataka nini huyu mwanamke?
Nilishindwa kupata majibu na binafsi sikutaka hata kukutana nae nikaishia tu kumkwepa….
Baada ya kuchat kwa muda wa takribani wiki moja aliniandikia message kuwa kuna member mwingine atakutumia message jinsi ya kuwalipua chitchat maana nimependa wewe jinsi ulivyokuwa unawa challenge….
Mie nikasema haina shida nitumie then mie nitafanya maujanja yakaisha hapo

Siku ya jumapili tarehe 20 sina hili wala lile nikatumiwa message kufungua akawa ni yule sasa MEMBER WA KASKAZINI
Ujumbe unasema hivi
“mkuu (…..) anamtaja yule member wa kike kanituma nikutumie hii message upost kwenye thread ya mzungumndali…iko sasa hivi kwenye chitchat
Kufungua ndio ile thread ya mzungumndali… na mimi nikapost ambayo mimi niliandika siku ile….kwanza kabisa nilichokifanya ni kupigiga picha ile message….kwani device ninayoitumia ina uwezo wa kupiga picha kilichopo kwenye display nadhani watumiaji wa tablets za kisasa watakuwa wanajua….
Hibyo basi
HIVYO USHAHIDI NINAO….

Ndicho nikapost ile kitu siku ile na baada ya hapo nadhani mnaona upepo wa chitchat ulivyoyumba

Sasa swali langu likawa ni hivi huyu mzungumndali ni nani kati ya wale wawili ..
Kwanini nitumiwe message saa hiyo hiyo mzungumndali kaweka thread yake?
wakati najiuliza vile baada ya post yangu ile nilipata pm nyingi sana

Mojawapo ni watu ambao walikuwa wananilaumu kwa ku post vile na wengine walikuwa wananisema vibaya sana mimi niliendelea kuwajibu wale ambao walikuwa tunajibizana kwenye thread ile

Mimi nilikuwa nafanya utani ila kuna watu ambao wali take serious … nikajiuliza nini kimetokea? Nikawa sielewi kwani haikuwa mara yangu ya kwanza kuwasema CC vibaya … na wana cc wote wanajua kuwa mimi ni Against nao japokuwa tunacheka nao na kushirikiana nao nadhani BABA V NA WATU08 wanajua hili fika……
Sasa nikawa najiuliza kuna nini??
Nikafanya utafiti mdogo mdogo na nikagundua kuna message zinatembea PM za baadhi ya member kuonekana kuwa mimi na mzungumndali ni wabaya
Hizo message chanzo chake bado sijakijua ila nasikia kuwa ni the same two members
Hao hao… nikakaa chini nikaanza kucheka…

Jina langu sawa… ila na la mzungumndali? Why nikawa sielewi kama either ni one of them au na yeye alitumiwa tu kama nilivyotumiwa mimi

Then nikapata thread kutoka kwa mkuu zebedayo michuzi kusema kuwa niombe msamaha…
Nikafikiria nikasema anyway ngoja niombe msamaha kwa sababu kuu kadhaa
1.kuwa piss off members wa cc wakati mimi nilichukulia kama utani
2.kuwafanya baadhi ya members wapate ban kitu ambacho mie sikutaka kabisa
Nilifanya hivyo wapo walinisamehe wapo ambao hawakunisamehe…

Ila kazi ya wale members 2 ikawa imekamilika KUVURUGA CHITCHAT

SAKATA LA MZUNGUMNDALI KUKATAA KUOMBA MSAMAHA
Nikajiuliza mara mbili mbili huyu mzungumndali ni nani?
Nilijua from the beginning kuwa ni mtu mwenye multiple ID na kweli … kesho yake akaumbuka ila nilishtuka kuwa alikuwa ni MARRYHUNBAG …ndio alikuwa mwenye id ya mzungumndali.. ila sasa
1.kwanini hakuomba msamaha
2.kwanini Yule jamaa wa Arusha alinitumia cha kuandika kwenye ile thread ya marry hunbag?
3. ina maana wao ndio wanacontrol id ya marry hunbag?
4 . au wao walikuwa wanafanya kazi na marryhunbag?
5. ina maana wako wengi humu sio hao tu
6. marryhunbag alikuwa ni mtu mzito humu na hao members wengine wawili ni wazito je kuna wengine wengie ambao ni wazito humu?... wako wangapi mie sijui
7. wana mpango gani na cc?

Kwa uelewa wangu ni kuwa hawa jamaa wana mtandao mkubwa sana humu tena sana na wanajichanganya na nyie kila siku na wanawatafuna kimya kimya, wanatoa siri zenu huku, na inawezekana ni watu wa usalama au waandishi wa habari na wanawajaribu kuwasoma baadhi ya members…
Kwa manufaa binafsi…
N kwa habari zilivyotufikia hivi punde zinasema yule wa kike alikuwako WhiteParty
 
Yote unayoyasema tunayajua wachafuzi ni hawa hawa matycoon ya humu .ila weka ushahidi na kama kweli kwa nini usiweke id zao?ulisema pm uliipiga picha weka tukuamini.
Na huyo member wa dar wa kike i dare to challenge u weka id zao unless we ni MCHAFUZI
 
amu taratibu mama, chaka chua tu hapa tupige story zingine bwana. Upo upo? Maisha matamu sana aisee

Last edited by a moderator:
Hivi mtu kuwa against na cc inasaidia nini?i think ni ubogus wa hali ya juu.
He he amu naingia humu kucheka tu mtaani stress,mabos wakupe stress mchumba akupe stress hata humu wasiokujua wakupe stress nyie tajaneni tu ila mi ni kucheka tu naangalia movie tu.
watu8 uje best huku
 
Last edited by a moderator:
Best kuna mpango hili jukwaa liwe kama lile la watu wazima wait and see hawa wanaotaka kuchafua humu na vi id vyao uchwara watakomaje
amu taratibu mama, chaka chua tu hapa tupige story zingine bwana. Upo upo? Maisha matamu sana aisee
 
Last edited by a moderator:
amu nipo hapa imalaseko super market, ninakununulia azam mango, alpella pamoja na vanila
Hivi mtu kuwa against na cc inasaidia nini?i think ni ubogus wa hali ya juu.
He he amu naingia humu kucheka tu mtaani stress,mabos wakupe stress mchumba akupe stress hata humu wasiokujua wakupe stress nyie tajaneni tu ila mi ni kucheka tu naangalia movie tu.
watu8 uje best huku
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru C.T.U kwa sababu mpaka sa hv sijaelewa lengo lako ni nini hasa. Wote tunajua kuwa kuna watu wana multiple id's ,nilishawahi post characters za watu kuna 1.choleric- they are very serious,2flagmatic- wapole,3melancholic-perfect,and 4.sanguine-funny, wote tuna tabia tofauti kwa hiyo kama ukija CC na wewe ni choleric wala hautapafurahia na utaanza kuleta chokochoko kama hizi unazojaribu kumanipulate watu.
Haijalishi mtu anasema nini kuhusu CC yawezekana alikujibu hivyo for his interest ili apate alichokuwa anakitaka kwako.kwa hiyo hata na wewe amekufool.
Suala la id mbili kumilikiwa na mtu wa nothern hiyo ni juu ya mtu as long as maisha yanaendelea.
Kwa CEO's huwa hatuangalii dhoruba but destiny,mfano mwaka juzi CC ilikuwa na member 8,mwaka jana kukawa na member 22,so long as tuna ongezeko la zaidi ya asilimia 100 kwa mwaka jana na mwaka huu tumeanza kwa kupokea wageni wengi ambavyo haijawahi tokea.
Kwa hiyo ninapinga tuhuma yako,na kwa members wanaohitaji kujiunga na CC karibuni sana,kwa sababu ni CC ambao tumeonesha nia madhubuti hata kusaidiana pale mmoja wetu anapofikwa na tatizo hata nawe unalijua na si hilo tu hata katika kuongeza pato la taifa kwa kutembelea maoneshoi ya kihistoria.na juzi tukawa na whiteparty. C.T.U karibu CC ila sio kwa majungu.
Asante.
Chimbuvu & Madame B

CHITCHAT WE SUPPORT ISRAEL
 
Last edited by a moderator:
Yote unayoyasema tunayajua wachafuzi ni hawa hawa matycoon ya humu .ila weka ushahidi na kama kweli kwa nini usiweke id zao?ulisema pm uliipiga picha weka tukuamini.
Na huyo member wa dar wa kike i dare to challenge u weka id zao unless we ni MCHAFUZI

Zawadi yako ipo. Ukija Mwanza nikumbushe please.
 
Hivi mtu kuwa against na cc inasaidia nini?i think ni ubogus wa hali ya juu.
He he amu naingia humu kucheka tu mtaani stress,mabos wakupe stress mchumba akupe stress hata humu wasiokujua wakupe stress nyie tajaneni tu ila mi ni kucheka tu naangalia movie tu.
watu8 uje best huku

amu nina walakini na uelewa wako mimi from the beginning nilisema kuwa niko against na chit chat ila sina tatizo na members wa chit chat ...
mimi najaribu kuongelea watu wanaokuwa karibu na wana chit chat ila kwa maana nyingie sio tu wana spoil chitchat ila wana spoil na kuwafukunyua wana chitchat as wana chitchat....
bila ya kujua agenda yao ni nini na mbaya zaidi ni watu mnaokutana nao kwenye mambo mbali mbali ya maendeleo ya chitchat..... na kwenye mikutano mbali mbali ya chitchat na kwenye thread inshort ni watu ambao wanajaribu kupeleka gurudumu la chitchat mbele ila inaonekana wana hidden agenda yao ambayo mimi na wewe hatuijui
 
Yote unayoyasema tunayajua wachafuzi ni hawa hawa matycoon ya humu .ila weka ushahidi na kama kweli kwa nini usiweke id zao?ulisema pm uliipiga picha weka tukuamini.
Na huyo member wa dar wa kike i dare to challenge u weka id zao unless we ni MCHAFUZI

nimeshasema siwezi kumsema kwani nitakuwa ninavunja sheria ya jf kitu ambacho siwezi kukifanya
 
amu nina walakini na uelewa wako mimi from the beginning nilisema kuwa niko against na chit chat ila sina tatizo na members wa chit chat ...
mimi najaribu kuongelea watu wanaokuwa karibu na wana chit chat ila kwa maana nyingie sio tu wana spoil chitchat ila wana spoil na kuwafukunyua wana chitchat as wana chitchat....

Kwenye Nyekundu sasa kuna Chit chat bila members? Unajielewa?
 
Nashukuru C.T.U kwa sababu mpaka sa hv sijaelewa lengo lako ni nini hasa. Wote tunajua kuwa kuna watu wana multiple id's ,nilishawahi post characters za watu kuna 1.choleric- they are very serious,2flagmatic- wapole,3melancholic-perfect,and 4.sanguine-funny, wote tuna tabia tofauti kwa hiyo kama ukija CC na wewe ni choleric wala hautapafurahia na utaanza kuleta chokochoko kama hizi unazojaribu kumanipulate watu.
Haijalishi mtu anasema nini kuhusu CC yawezekana alikujibu hivyo for his interest ili apate alichokuwa anakitaka kwako.kwa hiyo hata na wewe amekufool.
Suala la id mbili kumilikiwa na mtu wa nothern hiyo ni juu ya mtu as long as maisha yanaendelea.
Kwa CEO's huwa hatuangalii dhoruba but destiny,mfano mwaka juzi CC ilikuwa na member 8,mwaka jana kukawa na member 22,so long as tuna ongezeko la zaidi ya asilimia 100 kwa mwaka jana na mwaka huu tumeanza kwa kupokea wageni wengi ambavyo haijawahi tokea.
Kwa hiyo ninapinga tuhuma yako,na kwa members wanaohitaji kujiunga na CC karibuni sana,kwa sababu ni CC ambao tumeonesha nia madhubuti hata kusaidiana pale mmoja wetu anapofikwa na tatizo hata nawe unalijua na si hilo tu hata katika kuongeza pato la taifa kwa kutembelea maoneshoi ya kihistoria.na juzi tukawa na whiteparty. C.T.U karibu CC ila sio kwa majungu.
Asante.
Chimbuvu & Madame B

CHITCHAT WE SUPPORT ISRAEL

watu wangu walikuwapo huko kwenye whiteparty na waliniwakilisha na mchango watu wangu walichangia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom