nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Nimefurahi mkuu, kumbe kweli
:washing:SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain:

asante.

Karibu sana mpendwa lakini pia usisahau :hand::hand::hand:........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:
 
Yaani kwa lugha nyingine unakuwa umefika kileleni.

Nilikuwa sijui kama huwa nakufikisha kileleni asee...:welcome:
Unamfikisha mawenzi mke wa Rejao????
Kweli wewe Shirika la Uma

30. Mamndenyi... atakuwa wa kwetu Rombo huyu...

walau umenitaja inatosha,
nakutakia pasaka ya furaha mkuu.

Yaani na wewe ukitajwa tu unafika?
Hivi ODM kawaloga?
 
Khaaa, wifi.
Nambie my darlie wifi,
Usimind sana jaman ni katika kunichekesha ila sio mambo mengine bana,
Hata kaka yako anajua ndio maana nimeanza naye!!

BTW;najiskia raha sana kwa ulinzi shirikishi huu lol!
 
Kaangilie niliowarudia zaidi ya mara moja. Utajikuta wewe na klorokwini.... sasa uchanganye na za mbayuwayu lol

Afu nna siku nyingi sana sijapata LIKE yako. Hivi unajua ukinigongea like huwa unaniongezeaga nguvu za kiume? Haya kafanye hima ili hii long weekend bibi yenu apate huduma jamii uroda shirikishi wa kutosha.
Lol... Mbavu zangu jamani.

LIKE utanidai, ntakuja kukulipa 100 kwa mpigo wewe wanijua vema...
 
ni sawa tu na hawa
:washing:SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain:

Karibu sana mpendwa lakini pia usisahau :hand::hand::hand:........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:
 
Nimekuhamisha kutoka kileleni nikakukuhamishia climax. Vipi umeshafika climax au niendelee kuongeza juhudi za kukuhamisha?

Hii post mod wakiitoa nalog off mpaka pasaka iishe:banplease:
Khaaaaaaaaaa!
Nimeshacheka sana inatosha lol!

Lzm utakua kaunta ya juu mida hii babu sio bure!!!
 
I LOVE YOU ALL

I HATE NO BODY.:welcome:

Ngoja nishushe na mistari kidogo.. Yalaiti..napenda pasi kifani tafauti hatutilii manani sikuachi leo na kesho peponi.. I love youuuu babu yake naniliu...
 
kwa kifupi najifeel conftable kwa wana chit chat wote ila mtu ambaye ni special kwangu mimi ni Sweetylady
 
utaleta maneno kwa babu muda huu huu,

mi nakuwekea 'like' mengine utahangaika nayo mwenyewe.

kwa kifupi najifeel conftable kwa wana chit chat wote ila mtu ambaye ni special kwangu mimi ni Sweetylady
 
wapi kitufe cha 'like' wakuu, babu apate chakula yake kabla ya pasaka.
 
Back
Top Bottom