Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Najigwaya mi mwenyewe! Hasa ninapokuwa mtungi. Nawahi bar.
sketini au kapturani.
Hahaha! Konnie wala hujakosea lol.
nilimsikia anasema anaogopa mapembe ya ng'ombe.
nilimsikia anasema anaogopa mapembe ya ng'ombe.
Niko na gobore hapa nalikoki
Najigwaya mi mwenyewe! Hasa ninapokuwa mtungi. Nawahi bar.
kwenye red hapo Lizzy,bishanga hadanganyiki,ni muda sasa nimekuwa memba humu jf,i know something about Lizzy.
mbona risasi nazo mie??
Au utalitumia kama fimbo??
Ujue huyo mie braza mama mmoja baba mmoja matumbo mbalimbali.
Kongosho mie wanikubali ama wanigwaya au nan the above?
mie nagwaya wanapouzia nyama tu.
Wewe shemeji yangu mpya nikugwaye tene??
Nisingekukaribisha kwetu utulelee mapacha wetu na ODM.
Nihonge kitu ili nikupende basi 🙂
tena yale ya nzagamba
Niko na gobore hapa nalikoki
Kulikoni tena darling?
Hahahaaa mnajuana eeh mkiwa mitungi?Unajigwaya ukiwa mtungi? Isije ikawa ule mzimu wa mipira inayovutika unakufuatia
Teh utajijuKuna raia naona anataka kunitishia maisha
Ilitakiwa uiweke hivyo ili kila mtu aone...........................LOLhakuna ninaye mgwaya humu....
Nawapenda woooooooote na woooote mna nafasi sawa kwenye mtima wangu.....
Ila hawa wafuatao mie nawazimikia kwa sana, napenda ushauri wao, inapokuja swala la utani pia hata kwa kusoma majibizano yao wananiongezea siku za kuishi....
Asprin........your my no 1
Kongosho....... Nisipokuona jamvini napata malaria
ErickB52
Bishanga......nakuzimia vibaya mno
The Finest......avatar yako inanifanya nisiache kuitazama
Mtambuzi....... I love u vere vere
cantalisia
mwali
Husninyo......siku zote hunipa tabasamu
Preta.....napenda rangi unayotumia kuandikia
sweetlady.....nakupenda haswa ukiwa kwenye siasa
afrodenzi....sina mazoea nawe, napenda unavyoshauri
ashadii...nakuadmire kutokana na posti zako
RR
figaniga, sijui kapotelea wapi mzee wa mia!
Lizzy.....upo very direct, hukwepeshi ...nakuzimia
mamdenyi
nyani ngabu
bagah
boflo...........
Amyner
nitonye
blaki woman
king'asti
kipipi
nyumba kubwa....hiyu nilimkuta kipindi ndo nimejiunga jf, nilikuwa napenda kusoma comment zake
na wengine ambao sijawataja nitaendelea kesho........
Hahahaaa mnajuana eeh mkiwa mitungi?