Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,931
- 1,727
Sio kweli. Lead guitar kwa maneno mengine ni solo guitar.Mkuu kwa ufahamu wangu lead guitar ni Rhythm siyo solo....
Sio kweli. Lead guitar kwa maneno mengine ni solo guitar.Mkuu kwa ufahamu wangu lead guitar ni Rhythm siyo solo....
Okay.....Sio kweli. Lead guitar kwa maneno mengine ni solo guitar.
Daliki ni mkali ila sio kwa Diblo,unless kama huzijui nyimbo alipiga Diblo,,mnazijua tu nyimbo za yondo na pepe kale ndio maanaMsimfananishe Dali kimoko na vitu vya ajabu ajabu.
Namba moko ni namba moja milele
Umesoma kichwa cha habari bosi?Bado kuna legendary Carlos Santana.
Ukizungumzia album ya sokouss star ile maarufu ni Morenite ambayo solo imegongwa na salahdin na sio Dally kimoko........tusipotoshe watuDalik moko katafute soukous star wamo lokasa ya mbongo, yondo sister, Luciana bokilo, ndio utamjua vizuri daliki moko
Huyo namba tatu jina haliandikwi hivyo na hajawahi kuwa member wa LoketoHapo waimbaji ni
1. Aurlus Mabele (wengi tulimchanganya tukawa tunamuita Loketo).
2. Jean Barron - mwenyewe, mwenye album
3. Ballow Canta, na
4. Lucien Bokiro
Tumba alisimama Awilo Longomba
Hapo kwa Jean Baron aliyepiga solo album nzima ni Dally Ndala Kimoko na sio Diblo, labda kuna wimbo wa jean baron aliutunga kipindi diblo akiwa bado loketo na kutoka katika album ya Extra BallLassier Passie wa Diblo, Extra Ball wa Aurlus Mabele(Groupe Lokheto) Mummie Lolo wa Jean Baron(R.I.P) ft Aurlus Mabele hizo zote Diblo alicharaza Gitaa balaa.
Madi, Derniere Minute, Maweke, Wapi Yo, Africa zote za Yondo Sister Dally Kimoko alicharaza Gitaa balaa. Hivyo hawa wawili wote ni noma.
Sio album zote za Loketo, album za mwanzo za loketo zote kapiga Diblo kabla hajajitoa na kuunda Matchatcha na hivyo kuwa replaced na Dally KimokoNilitaka kusema hilo.
Diblo ni maarufu sana kwenye nyimbo za Jean Baron na zake kama Matchatchaa.
Lakini Daly Kimoko amepiga nyimbo nyingi na nzuri kuliko Diblo. Angalia album zote za Loketo ndio utajua Kimoko ni nani.
wimbo ni Evelyline wa Loketo na Aurlus Mabelee solo chini ya Dally KimokoVipi na ule mcharazo katika everina ya doukous star
Huyo namba tatu jina haliandikwi hivyo na hajawahi kuwa member wa Loketo
Hii topic ni Marudio.Hao wote wawili ni mafundi wa kupiga magitaa ya solo na vyombo vingine vya mziki huko jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Congo, ingawa kwenyewe hakuna demokrasia. Sasa kumekuwa na ubishi hapa kijiweni hali iliyopelekea mvutano wa kimawazo baina ya pande zote mbili! Hivyo basi kwa sisi tunaopendelea mziki huu wa lingala, soukus,bolingo, nk.tuna maoni gani kwa wawili Hawa! Je, nani zaidi kati yao? Pia unaweza ukataka wimbo ambao unaona kila mmoja alifanya vizuri.
Anaitwa Ballou Canta ni kutoka Congo Brazaville, alikuwa mwimbaji na kundi lake ni Soukouss Star siyo LoketoMkuu ungeweka usahihi wa jina ingesaidia sana, hilo jingine naomba nifanye utafiti zaidi halafu narudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa Beniko PopolipoHivi yule Deniko aliekuwa anapiga Gitaa kwa Koffii na Madilu yupo wapi siku hizi maana jamaa nae anaweza si mchezo.