Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,298
- 4,860
Ule umetawaliwa na sound effect , sio kiwango hiyo soloDu daliki moko naona balaa wewe angalia Ile solo aliyoichalaza kwenye wimbo wa awilo longomba tubwiza tubwiza, au angalia in the morning ya Kanda bongo man hapo ndio utajua daliki moja hatari