Kati ya AliBaba na Amazon, nani mkali Bongo?

Samedi Amba

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
227
178
Juzi nilikuwa mtandaoni, nikastumble upon uzi unaolinganisha Alibaba na Amazon. Nikaona jinsi ambavyo wanaendana bega kwa bega kwa vitu vingi tu.

Tukizingatia pia kuwa watanzania wengi wanaelekea Mashariki china dubai nk kununua vitu.

Lakini swali linabaki, kati ya hawa magwiji wawili, nani mkali zaidi?
 
Ukali kwa maana ipi hasa?! Kama unapenda suppliers wa Kichina na unanunua kwa ujumla, Alibaba ndo chaguo sahihi lakini kama ni mnunuzi wa rejareja, kwa bidhaa kutoka sehemu mbalimbali duniani, hususani US na Europe, chaguo sahihi ni Amazon.

Na hapo hapo kama una mahaba na bidhaa za Kichina lakini ni mnunuzi wa rejareja, chaguo ni AliExpress (mdogo wake na Alibaba)
 
myplusbee,
Aha, so it depends on unakonunua. Theme ni kujua which one is more popular, regardless. Maana Alibaba pia wana suppliers kutoka Europe na Marekani, kama sijakosea.
 
Naomba uthibitisho?
Duh, sasa unatarajia upewe uthibitisho upi?! Yaani unaamini kabisa kwamba Alibaba ni maarufu kuliko Amazon?!

Google uone hata sales value kati ya Alibaba na Amazon!!! Amazon ipo sehemu mbalimbali duniani, kama Amazon UK, Amazon India, Amazon Korea, n.k; what about Alibaba?

Achana na Alexa Ranking ambayo inamilikiwa na Alibaba na badala yake tumia website yoyote unayoijua wewe na kuiamini kisha angalia web traffic estimates kati ya Amazon na Alibaba! Au unatakiwa kukumbushwa kwamba hata utajiri wa Jeff Bezos unaomfanya kuwa ndie richest man alive, sehemu kubwa ya utajiri wake unatokana na Amazon?

Binafsi sioni sababu ya kufanya yote hayo kwa sababu suala la umaarufu wa Amazon halina mjadala!!!!
 
Alibaba na Aliexpress wanasafirisha bidhaa katika bara la Africa katika nchi nyingi tofauti na Amazon unaweza ukapenda bidhaa lakini ukaambiwa this product can't be shipped to Tanzania me nimewahi Agiza Radio ya Gari kwa kutumia Aliexpress kwa kweli nilipenda huduma nilijaribu Amazon nikashindwa kwa sababu hawasafirishi baadhi ya bidhaa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue sio bidhaa bali Sellers wenyewe! Unlike Alibaba na AliExpress, Sellers wengi wa Amazon wanatoka US na other Western Countries ambao ni kama hawajaliona soko la Afrika kama walivyoliona Wachina ambazo their cheap products zimesambaa kila mahali Afrika.

All in all, you can buy ANYTHING from ANY SELLER anayeuza Amazon, eBay or any American e-Commerce Store kama vile Walmart, Best Buy n.k kwa kutumia US Forwarders kama vile My US!

Tatizo langu kwa US Stores sio Sellers wao kuto-ship to Africa bali kutotumia Posta. Tena nimekumbuka; ngoja nifanye research kama kuna US Forwarder anayetumia Posta.
 
Jamani mimi nahitaji saa kubwa kubwa zenye nembo ya DIESEL nifanyeje hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unahitaji original, unaweza kununua moja kwa moja toka kwa wenyewe hapa! Kwa bahati mbaya, they don't ship to Tanzania lakini unaweza kutumia US Forwarders kama vile My US. Shipping cost ya chini kabisa ni takribani $18, na gharama halisi za shipping zinategemeana na uzito wa saa yenyewe.

Ukishindwa kununua Diesel, unaweza kununua hata kwa Fossil hapa, na hapa (kwa smartwatches). Hawa Fossil ni Diesel's licensed watches manufacturer.
 
Asante sana mkuu.

Nataka zenye mfano huu mkuu. Hata kama sio diesel ila ziwe kubwa kubwa. Ziwe na tarehe pembeni na saa ya hivyo kama ilivyo hiyo mkuu. Sorry
IMG-20190910-WA0017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom