juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Huyu alikuwa ni mchapaji wa solo wa mtu mzima ALAIN KOUNKOUkulikuwa na nene tchakou ingawa yeye hajawika sana kama kimoko na dibala
Huyu alikuwa ni mchapaji wa solo wa mtu mzima ALAIN KOUNKOUkulikuwa na nene tchakou ingawa yeye hajawika sana kama kimoko na dibala
Alikuwa ni mpiga gitaa ya solo na muimbaji pia,,na kapiga gitaa nyimbo nyingi tu,wasanii wengi walikuwa ni waimbaji na wapiga gitaaalikuwa mwimbaji sio mpiga gitaa huyu mkuu
Hao wote wawili ni mafundi wa kupiga magitaa ya solo na vyombo vingine vya mziki huko jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Congo, ingawa kwenyewe hakuna demokrasia. Sasa kumekuwa na ubishi hapa kijiweni hali iliyopelekea mvutano wa kimawazo baina ya pande zote mbili! Hivyo basi kwa sisi tunaopendelea mziki huu wa lingala, soukus,bolingo, nk.tuna maoni gani kwa wawili Hawa! Je, nani zaidi kati yao? Pia unaweza ukataka wimbo ambao unaona kila mmoja alifanya vizuri.
Na kwenye wimbo wa Abibah amepiga na Lokassa ya MbongoDalik moko katafute soukous star wamo lokasa ya mbongo, yondo sister, Luciana bokilo, ndio utamjua vizuri daliki moko
Mumie Lolo solo kacharaza Dally Kimoko kijana,sikiliza vizuri....
Dally Kimoko anaonekana hapo anacharaza solo....
Ni kweli kabisa mkuu nakusoma sana tuMosi,Hakuna wimbo hata m,moja wa Allan Konkou ambao solo ilipigwa na Didlo Dibala...
Pili,Jean Baron alipigiwa nyimbo chache sana na Diblo Dibala na wimbo maarufu wa Pardon kapiga solo Diblo Dibala lakini nyimbo kali zaidi na zilizovuma kama PANTALON MORIBA na KOUDIA NDAMBOU,solo kapiga Dally Kimoko....
Ishu hii iko pia kwa Aurus Mabele na kundi lake la Loketo ambalo Jean Baron alikuwa ni mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo akiwemo Awilo Longomba na akina balou Kanta na Lucien Bokilo ambako zipo nyimbo chache ambazo solo alipiga Diblo Dibala lakini nyimbo nyingi alipiga Dally Kimoko na baadaye alikuja mtu mmoja anayeitwa Cayen Madoka ambaye alimpigia pia Mack Makaire ambaye naye aliwahi kuwa mwanamuziki wa Loketo ya Aurus Mabele....
Kwenye Soukous Stars sijui unaizungumzia ipi,lakini ile ya mwaka 1996 ambayo ilikuwa na wanamuziki Ngouma Lokito,Yondo "baby" Sister,Shimita,Balou Kanta,Lucien Bokilo,Saladin Wizoo na Lokasa ya Mbongo,solo ya kwenye nyimbo zote hakupiga huyo Diblo maana walikuwa na mpiga solo hatari anayekwenda kwa jina la Saladin Ferreira "Wizoo" na ukitaka kusikia solo yake sikiliza wimbo unaitwa "Abba Guimo" ambao yeye mwenyewe ni mtunzi au sikiliza wimbo wa Yondo Sister unaitwa Derniere Minute....
Kwa ujumla wa hoja yako na wanamuziki uliowataja siyo kweli solo kapiga Diblo Dibala kwa ujumla wake bali kapiga baadhi tu....
Ww hujioni ulivyojipaka ......kaa ww kimya ......for sure u have nothing....than blah blah.....hujui kitu....unachekesha ...Yamekushinda. Afadhali ukae kimya tu.
Ha ha ha.Ww hujioni ulivyojipaka ......kaa ww kimya ......for sure u have nothing....than blah blah.....hujui kitu....unachekesha ...
Wakuu kuna wimbo unaitwa mondory,humo diblo kafanya balaaHao wote wawili ni mafundi wa kupiga magitaa ya solo na vyombo vingine vya mziki huko jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Congo, ingawa kwenyewe hakuna demokrasia. Sasa kumekuwa na ubishi hapa kijiweni hali iliyopelekea mvutano wa kimawazo baina ya pande zote mbili! Hivyo basi kwa sisi tunaopendelea mziki huu wa lingala, soukus,bolingo, nk.tuna maoni gani kwa wawili Hawa! Je, nani zaidi kati yao? Pia unaweza ukataka wimbo ambao unaona kila mmoja alifanya vizuri.
Mkuu umeongea kwa hisia sanaHuna lolote. Nimekuwa mwanamuziki kwa zaidi ya miaka thelathini na tano kwa hiyo ninafahamu ninachoongea. Sisimuliwi na mtu. Huwezi kumfananisha Tosh na wapiga solo mahiri wa Congo, kwa mfano Dally na Diblo, kwa vyovyote vile. Tosh alikuwa anapiga rhythm guitar na sio solo (labda hujui tofauti). Mpiga solo mahiri toka Jamaica enzi hizo alikuwa Junior Marvin, na bado anaendelea kwa sasa. Tosh hamfikii hata chembe mpiga rhythm Lokassa ya Mbongo. Yaani ukijiita ras ndio unaona umekuwa bingwa wa reggae na historia yake? Tosh alikuwa mpiga guitar wa kawaida sana. Heshima kubwa aliyokuwa nayo Tosh ni katika utunzi, uimbaji na uanaharakati, hilo sibishi. Wewe inaonekana ni mtu wa kusimuliwa, ndio maana unakimbilia google kupata historia. Nimeishi enzi za Tosh na Bob sihitaji kusimuliwa.
Nabeleli,Betty,Koudia Ndombou, na Pantalon Moriba hakika Dally Kimoko alifunika na kwenye Extra ball Diblo alifanya yake,wote wako vzr ila kura yangu ni kwa Dally Kimoko.Mosi,Hakuna wimbo hata m,moja wa Allan Konkou ambao solo ilipigwa na Didlo Dibala...
Pili,Jean Baron alipigiwa nyimbo chache sana na Diblo Dibala na wimbo maarufu wa Pardon kapiga solo Diblo Dibala lakini nyimbo kali zaidi na zilizovuma kama PANTALON MORIBA na KOUDIA NDAMBOU,solo kapiga Dally Kimoko....
Ishu hii iko pia kwa Aurus Mabele na kundi lake la Loketo ambalo Jean Baron alikuwa ni mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo akiwemo Awilo Longomba na akina balou Kanta na Lucien Bokilo ambako zipo nyimbo chache ambazo solo alipiga Diblo Dibala lakini nyimbo nyingi alipiga Dally Kimoko na baadaye alikuja mtu mmoja anayeitwa Cayen Madoka ambaye alimpigia pia Mack Makaire ambaye naye aliwahi kuwa mwanamuziki wa Loketo ya Aurus Mabele....
Kwenye Soukous Stars sijui unaizungumzia ipi,lakini ile ya mwaka 1996 ambayo ilikuwa na wanamuziki Ngouma Lokito,Yondo "baby" Sister,Shimita,Balou Kanta,Lucien Bokilo,Saladin Wizoo na Lokasa ya Mbongo,solo ya kwenye nyimbo zote hakupiga huyo Diblo maana walikuwa na mpiga solo hatari anayekwenda kwa jina la Saladin Ferreira "Wizoo" na ukitaka kusikia solo yake sikiliza wimbo unaitwa "Abba Guimo" ambao yeye mwenyewe ni mtunzi au sikiliza wimbo wa Yondo Sister unaitwa Derniere Minute....
Kwa ujumla wa hoja yako na wanamuziki uliowataja siyo kweli solo kapiga Diblo Dibala kwa ujumla wake bali kapiga baadhi tu....
Sikumbuki kama kuna wimbo wa Pepe Kalle ambao solo ilipigwa na Diblo Dibala lakini nakumbuka wimbo kama Hidaya wa huyo huyo Kabasele Yampanya a.k.a Pepe Kalle solo ilipigwa na Dally Kimoko....Diblo dibala ni hatari kwenye matchacha ,otieono na zile alizopiga pepe kalle
Vipi na ule mcharazo katika everina ya doukous starDu daliki moko naona balaa wewe angalia Ile solo aliyoichalaza kwenye wimbo wa awilo longomba tubwiza tubwiza, au angalia in the morning ya Kanda bongo man hapo ndio utajua daliki moja hatari
Mkuu zipo nyingi,halafu inaelekea wewe unaijua tu hidayaSikumbuki kama kuna wimbo wa Pepe Kalle ambao solo ilipigwa na Diblo Dibala lakini nakumbuka wimbo kama Hidaya wa huyo huyo Kabasele Yampanya a.k.a Pepe Kalle solo ilipigwa na Dally Kimoko....
Dally Kimkoko amepigia wengi sana kwasababu hakuwa na maringo wala bei kubwa na hili lilimuinua sana na kumfanya kuonesha kipaji chake cha hatari kabisa kwa watu wengi.....
Yaaah,ni hatari sana ile ngomaWakuu kuna wimbo unaitwa mondory,humo diblo kafanya balaa