Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

Hivi yule Deniko aliekuwa anapiga Gitaa kwa Koffii na Madilu yupo wapi siku hizi maana jamaa nae anaweza si mchezo.
 
Diblo ni hatari sana.hadi wimbo unaisha anakuwa amebadili key zaidi ya 8.sikiliza series zake hasa ile ile diblo series
Diblo guitar mpaka liwe computerized ukumbini hora! Nenda you tube uangalie pepe kalle abdjan 1991 ya ukumbini Dally na Caen Madoka wanavyochangamsha ukumbi anaitwa Dally kwanza!
 
Mm naona Sally kimoko yuko juu hasa kutokana na Gitaa lake linavyopigwa kwa milindimo ya Kiafrika, pia Amefanya vzr zaidi akishiriki katika nyimbo wengine, kama, likawa, pepe kale
 
Duniani kuna wapiga gita watatu wazuri waliopata kutokea (guitarist).....Tosh.....Diblo...na mzungu mmoja ...jina nimemsahau....waulize watu wa magitaa ...watakwambia vizuri
Tosh hakuwa mpiga solo guitar. Na pia huwezi kumfananisha Tosh na Dally au Diblo kwa vyovyote vile. Tosh alikuwa mtunzi mzuri na muimbaji mpambanaji, lakini sio mahiri kwa kukung'uta gitaa. Luambo Luanzo Makiadi alikuwa anapiga gitaa mpaka inalia kama iko ndani ya mayi. Na tusimsahau Dr. Nico Kasanda wa Mpallay, mmoja wa waasisi wa taasisi.
 
Dalik moko katafute soukous star wamo lokasa ya mbongo, yondo sister, Luciana bokilo, ndio utamjua vizuri daliki moko
Soukouss Stars, ukiondoa Wenge Musica, hawa jamaa miaka ya 90 ilikua ni shidaa
Balu Canta, Shimita Ngouma Lokhito, Kusala Yondo Sister,Dally Kimoko, Sahladin ilikua ni hatari
 
Dally Kimoko balaa,cheki wimbo Lusa wa Oliver Ng'oma na pia Kadhi wa Kanda Bongoman jamaa kacharaza Gita balaa.
Lassier Passie wa Diblo, Extra Ball wa Aurlus Mabele(Groupe Lokheto) Mummie Lolo wa Jean Baron(R.I.P) ft Aurlus Mabele hizo zote Diblo alicharaza Gitaa balaa.
Madi, Derniere Minute, Maweke, Wapi Yo, Africa zote za Yondo Sister Dally Kimoko alicharaza Gitaa balaa. Hivyo hawa wawili wote ni noma.
 
Diblo guitar mpaka liwe computerized ukumbini hora! Nenda you tube uangalie pepe kalle abdjan 1991 ya ukumbini Dally na Caen Madoka wanavyochangamsha ukumbi anaitwa Dally kwanza!
Wewe basi una mahaba na dally,wote ni wakali ila trust me diblo alikuwa anaitendea haki solo
 
Mm naona Sally kimoko yuko juu hasa kutokana na Gitaa lake linavyopigwa kwa milindimo ya Kiafrika, pia Amefanya vzr zaidi akishiriki katika nyimbo wengine, kama, likawa, pepe kale
Tatizo mnamjua pep kale tu na alipigiwa. Solo sana na Dally,,sikiliza soukous stars,msikilize fede lawu,shimita ,nk
 
Lassier Passie wa Diblo, Extra Ball wa Aurlus Mabele(Groupe Lokheto) Mummie Lolo wa Jean Baron(R.I.P) ft Aurlus Mabele hizo zote Diblo alicharaza Gitaa balaa.
Madi, Derniere Minute, Maweke, Wapi Yo, Africa zote za Yondo Sister Dally Kimoko alicharaza Gitaa balaa. Hivyo hawa wawili wote ni noma.
Wewe sasa tutaimba lugha moja,raiser passer ile solo ilichapwa ni hatari,wote ni wakali sema Diblo ananikera alikuwa anabadili Keys sana
 
Tosh hakuwa mpiga solo guitar. Na pia huwezi kumfananisha Tosh na Dally au Diblo kwa vyovyote vile. Tosh alikuwa mtunzi mzuri na muimbaji mpambanaji, lakini sio mahiri kwa kukung'uta gitaa. Luambo Luanzo Makiadi alikuwa anapiga gitaa mpaka inalia kama iko ndani ya mayi. Na tusimsahau Dr. Nico Kasanda wa Mpallay, mmoja wa waasisi wa taasisi.
Fanya research yako vizuri......sio unabisha kizembe...kama ww ni mvivu tembelea hata google....Peter Tosh was an accoplished guitarist...take that fact if u dont know that
 
...accoplished? Huna haja ya kuandika Kiingereza kwa papara. Unafikiri google ndio kila kitu? Hapa tunafananisha wapiga solo. Tosh alikuwa mpiga solo?
 
Back
Top Bottom