Kapaya na Makaba solo guitar, Lofombo bassUmemsahau flame kapaya,Alan makaba na rofomboo hawa hatari sana
Ni album ya Jean baron inayoitwa come on ma huh,huko aliichapa sana soloDu daliki moko naona balaa wewe angalia Ile solo aliyoichalaza kwenye wimbo wa awilo longomba tubwiza tubwiza, au angalia in the morning ya Kanda bongo man hapo ndio utajua daliki moja hatari
Dally King MokoDally Kimoko amepiga gita kwenye ngomà nyingi ninazozipenda kulinganisha na Diblo. Kimoko ni zaidi.
Aaah umenirudisha (mboka) nyumbani,,woooote hao ni balaaHao wote wawili ni mafundi wa kupiga magitaa ya solo na vyombo vingine vya mziki huko jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Congo, ingawa kwenyewe hakuna demokrasia. Sasa kumekuwa na ubishi hapa kijiweni hali iliyopelekea mvutano wa kimawazo baina ya pande zote mbili! Hivyo basi kwa sisi tunaopendelea mziki huu wa lingala, soukus,bolingo, nk.tuna maoni gani kwa wawili Hawa! Je, nani zaidi kati yao? Pia unaweza ukataka wimbo ambao unaona kila mmoja alifanya vizuri.