Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Arabela na Kipipi mnisamehe kwa kuwakwaza, in one way or another, mwenzenu sichukulii siriasi sana hii mambo, afu nikiendelea kujibizana mkuu atani.mind, basi tuyamalize kistaarabu, mnisamehe sana haikuwa intention yangu kuwakwaza, ndo maana sikutaja mtu yoyote nilisema in general wala siku expect haya yatatokea....
basi msiyafanye makubwa ndugu zanguni, mwaka uishe kwa amani.

naomba radhi kwenu na wengine wote ambao hawajasema kitu ila wamekwazika,
beibe nasty duuuh it still raining kama vipi njoo chemba mara moja tuzoze Ruhazwe JR kausha mkuu yaisheeee

its owkey yameisha C6 be happy
 
Last edited by a moderator:
Wasalam,

Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia.

kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu licha ya jitihada nilizozifanya za kuwatafuta ambao wangeweza kuendesha mashindano lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana. Niombe radhi sana na samahani kama kuna mtu alikwazika anisamehe bure.

Bila kuwachosha,tunamtafuta MISS CHIT CHAT 2012 amabaye ata peperusha bendera kwa mwaka wote.washiriki ni kama ifuatavyo:

1. cacico - miss aug 2012
2. Remmy - miss Sept 2012
3. Madame B - miss oct 2012
4. Ciello - miss nov 2012
5. charminglady - Nafasi ya upendeleo
6. Arabela- Nafasi ya upendeleo

ZAWADI
Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
a/ Mshindi wa kwanza atajipatia Muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wenye thamani ya TSH 16,000/= pamoja na kulipiwa JF Bronze(mchango wa jf wa thamani ya THS 20,000)
b/mshindi wa pili atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wa thamani ya Tsh 12,000/=
c/ mshindi wa tatu atajishindia muda wa maongezi wa mtandao atakao kuwa anatumia wa Tsh 8,000/=
d/ mshindi wa nne atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao anaotumia wa thamani ya Tsh 6,000/=
Masharti
- Washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura na kufanya kampeni za kuomba kura
- One member one vote
- Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec saa 6 usiku kamili.
- Zawadi zitatolewa siku ya tarehe moja asubuh.

Wadhamini
- masopakyindi - Tshs 60,000/=
- Ruhazwe JR - Tshs 42,000/=
- Samaritan Tshs 11,000/=
- Mu-sir -Tsh 10,000/=
- Chimbuvu -Tsh 5,000/=
- Jiwe Linaloishi- Tsh 3,000/
- Slave - Tshs 2,000/=
- Akijitokeza mdhamini mwingine basi zawadi itaongezeka!

Nawasilisha



UPDATE
Tumepata mdhamini mwingine anayejulikana Jiwe Linaloishi yeye anadhamini muda wa maongezi wenye thamani ya Tsh 3000 kwa mshindi atakaye shika nafasi ya nne.
Tunaomba wadhamini wengine wazidi kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona



MORE UPDATE
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa,wamejitokeza wadhamini wengine wawili kama ifuatao;- 1. Chimbuvu (udhamini wa Tshs 5,000/=) na Slave (udhamini wa Tshs 2000/=).kwa sababu hiyo zawadi za washindi zimeongezeka.Tunazadi kuwaomba wadhamini wajitokeze zaidi.

MORE UPDATE
Napenda kuwa taarifu kwa heshima na furaha kuwa,tumepata mdhamini mwingine anaitwa Mu-sir ambaye amedhamini kiasi cha Tshs 10,000/= ilikuongezea katika zawadi kwa washindi watakao patikana.kwa niaba ya wanachitchat nakupa shukrani mkuu Mu-sir.Tunaomba wdhamini wengine wasisite kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona.

MORE UPDATE
Nikiwa nafuraha tele napenda kuwapa taarifa wadau wote kuwa tumepata wadhamini wengine wa aina yake. naye ni 1. masopakyindi amedhamini tshs 60,000/=. 2. Samaritan amedhamin tshs 11,000/= kwa niaba ya wanachitchat nitoe shukrani za pekee kwa wadhamini hawa hasa kwa mdhamini masopakyindi kwa kuvunja record ya udhamini.udhamini huu ni wa aina yake,endapo kama atajitokeza mdhamini mwingine wa kiwango kizuri basi tutaongeza mchango kwenye kuchangia jf kwa mshindi wa kwanza.tunaomba wadhamini wengine wajitokeze zaidi,Hivyo basi zawadi hizi zilizo ongezeka zenye jumla ya 71,000/= zitasubili endapo akijitokeza mdhamini mwingine wa kuanzia Tshs 10,000/= ili tukiongeza na Tshs 20,000/= iwe jumla ya zaidi ya laki moja na kumchangia kifurushi kingine cha JF Gold bronze .ahsanteni
PIGA KURA SASA!

Kuna wengne wana mikoö ya wakubwa humu
 
Last edited by a moderator:
its owkey yameisha C6 be happy

nimefurahi kuna hiv,..mi najua C6 aliongea kimasihala ila namshukuru kwa kuomba msamaha halaka,nikushukuru na wewe Arabela kwa kuupoke msamaha na kukubali yaishe naomba na Kipipi uje hapa bas mpendwa tena uje na bobonge la tabasamu maana najua umejaliwa kulembua
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa Kipipi, Arabela na wengine wote wanaohisi nimekwazika.... Kiukweli sijakwazwa na mtu. Nishawahi shiriki mashindano kadhaa ingawa sio ya u-miss, Nishapitia vikwazo vingi na kuvishinda...

Hivyo siwezi kwazika na haya mashindano....

Pamoja sana!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa Kipipi, Arabela na wengine wote wanaohisi nimekwazika.... Kiukweli sijakwazwa na mtu. Nishawahi shiriki mashindano kadhaa ingawa sio ya u-miss, Nishapitia vikwazo vingi na kuvishinda...

Hivyo siwezi kwazika na haya mashindano....

Pamoja sana!!!!!!!!!

My sis yameshakwisha hapa ni amani kwakwenda mbelee hebu twende kule ule uzi wetu ule wa maandalizi kumbuka dady alisemajee??
 
Last edited by a moderator:
Nipo kwenye chama cha mabachela tukikutana tunamalizana leoleo mambo ya kugandana akuuu[joking]
ha,ha,ha...unamfahamu mtu mmoja humu anaitwa Ruhazwe JR unaonaje akakalia hicho kiti ambacho kipo waz?...mpe nafas please mfanye harus ya kufa mtu humu ndan,ambayo haijawah kutokea halafu Judgement ndio awe bestman
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom